awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia na awamu ya pili ujenzi wa sekondari za kata zote nchini

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili. Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
  2. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona wabunge washamba wa kamera kama awamu hii

    Nimeangalia matangazo ya bunge kwa siku tatu mfululizo waheshimiwa wengi ambao ni wageni mjengoni, wamekuwa na katabia kama ka mashabiki wa mpira wa bongo wakiwa uwanja wa taifa wanavyofanya pindi camera ikiwazoom kwenye tv la pale uwanjani nadhani mwafahamu wanavyo fanyaga. Kituko hiki...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua adai madeni ya Awamu ya Kenyatta ni chanzo cha mishahara kuchelewa kulipwa

    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amedai Serikali yao inapata changamoto ya mishahara kuchelewa kwa kuwa Serikali haina fedha kutokana na ukopaji uliopitiliza uliofanywa na utawala uliopita wa Rais wa zamani Uhuru Kenyatta. Watumishi wa umma katika Kaunti 47 nchini Kenya wamekaa kwa miezi...
  4. JamiiForums Tanzania CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  5. JamiiForums Tanzania TTCL inadai Tsh Bilioni 21 ila haijui inayemdai

    Hawa watu sijui ni wanamdharau mama au ni nini hiki? Yani inawezekanaje usimjue mdeni wako? -- Ukaguzi wa CAG umebaini TTCL ina madeni makubwa ya TZS bilioni 21, lakini uongozi haukuweza kutambua wadaiwa husika. Shirika hilo limetoa pendekezo kwa bodi kufuta deni la bilioni 7.51.
  6. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya aibu sana kwa Utawala wa Hayati Magufuli baada ya Sabaya kukiri alikuwa akitumwa kutekeleza uovu

    Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli. Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli awamu hii hakuna utekaji, unyang'anyi na mauaji?

    Kwa uzoefu wangu kwa awamu nilizoshuhudia matukio ya utekaji na matukio mengine karibu awamu zote huwepo tofauti kubwa huwa namna yanavyotekelezwa na kuripotiwa. Nimekuwa napitia comments nyingi sana humu JF ni kana kwamba mambo yamebadilika sana. Je, ni kweli? Awamu iliyopita inatupiwa lawama...
  8. JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita, Vitendo vinaongea zaidi kuliko Maneno

    Tunasema tunataka kukuza ajira kwa vijana, tumepata mikopo kwa ajili ya kukuza Teknolojia. Tunasema Teknolojia ndio kila kitu kwa Dunia ya sasa, tunashauri vijana wajifunze na kuwekeza kwenye teknolojia, ni Vema na Haki, yet tunasababisha kitendea kazi muhimu (bundle) kisishikike; hapo tunajenga...
  9. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

    Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya. Twitter Zitto Kabwe yuko kimya kabisa au ndiyo kusema asali tamu sana?
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hili wapinzani wawe na shukrani sana, awamu ya 5 isingewezekana

    Kwa kweli sasa maisha yamekuwa mazuri na mama amefungua sana Ikulu na Nchi ujumla. Natembea barabarani na mwona na Mbowe naye kwenye mabango. Hii isingewezekana awamu ya Tano. Mbowe ashukuru sana. Sasa atulie tu ale taratibu. Mama ana huruma hawa jamaa walipata mateso sana na shida wakati ule...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Katazo na Marufuku ya Michango mashuleni hapa Nchini ni Kongole kubwa kwa Awamu ya 5 na ya 6. Michango ilikuwa mzigo kwa wananchi

    Moja ya Vitu ambavyo Serikali inapaswa kupongeswa navyo katika swala la Elimu ukiachilia mbali miundombinu ya madarasa nk basi huachi kabisa kuipongeza serikali hii inayoongozwa na Dk. Samia Suluhu pamoja na ile ya mtangulizi wake Hayati John Magufuli kwa katazo na marufuku ya Michango mashukeni...
  12. JamiiForums Tanzania Mtaje kiongozi yoyote wa awamu ya tano aliyekuwa maarufu lakini siku hizi hasikiki...

    Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Awamu hii kama una silaha usitembee nayo. Utawala wa kambare, kila mtu anasharubu. Unaweza jikuta unaua mtu bure

    Huko barabarani siku hizi madereva wa magari ya serikali wamekuwa wababe kupitiliza! Nchi inaongozwa kwa sheria na taratibu! Usalama barabarani unaongozwa na sheria za usalama barabarani. Lakini bahati mbaya sana madereva wa magari ya serikali na polisi, Trafiki ,wanaUsalama, wanajeshi...
  14. JamiiForums Tanzania Wengi tungeswekwa magerezani awamu ya tano wakati Serikali inataka IP adress za accounts zinazoikosoa, tunashukuru JamiiForums mlitusimamia

    Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali. Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa...
  15. JamiiForums Tanzania "Block farming" ni agenda ya kitaifa au ni agenda ya CCM Awamu ya Sita?

    Nianze kwa kusema hata mimi nauona mwanga kwenye kuwekeza kwenye kilimo chenye tija kutokana na ukubwa wa nchi yetu yenye kila kitu kinachofaa kwa kilimo, ufugaji na uvuvi. Hofu yangu kuu kuhusu huu mkakati wa Waziri Bashe na Rais Samia wa block farming nauna kama vile hauna tofauti na ule wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza kilele cha miaka miwili ya awamu ya 6 asubuhi hii

    RAIS SAMIA KUONGOZA KILELE CHA MIAKA MIWILI YA AWAMU YA 6- LEO SAA 4 ASUBUHI HII. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Machi 19, 2023 atakuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha miaka miwili ya Uongozi wa Awamu ya 6 unaoongozwa na yeye mwenyewe...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Je, wasiojulikana walichangia chochote kwenye upatikanaji wa Fedha awamu ya Tano?Je, waliopotezwa thamani Yao inaweza kulinganishwa na miradi?

    Awamu iliyopita kuliibuka kikundi cha wasiojulikana, wanapewa nguvu kubwa kiasi kwamba binadamu walioripotiwa kupotea au kutokuonekana au kutekwa vyombo havikuona umuhimu wakuwatafuta Kwa kigezo kwamba wamejiteka wenyewe. Kisiasa tulielezwa kwamba KAZI NI moja Tu, miradi ya maendeleo. Hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania Ajira Serikali awamu ya sita

    Wasalaam! Nani anaelewa kuhusu Ajira za SERIKALI ya AWAMU YA SITA? Kuna madaktari wetu wapo mtaani miaka 4 sasa. Kuna walimu wetu waliosomeshwa kwa pesa za wananchi, kwa mkataba wa kurudisha pesa hizo baada ya Ajira, lakini wapo mtaani miaka 4 na zaidi. Kuna wataalamu wetu WA kilimo wapo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya kipindi cha Samia hawachapi kazi kabisaHawachapi kazi kama awamu ya 5

    Kipindi kirefu sana sasa sijasikia DC amemsweka mtu ndani kwa saa 24 au 48 Kipindi cha Magufuli ilikuwa ni kawaida kusikia DC kamsweka mtu ndani sababu kadhaa DC inakuita anakuhoji akiona umemzidi kwa hoja basi anaagiza uwekwe ndani..😂😂😂 Ilikuwa wafanyabishara, wanasiasa, viongozi wa dini...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita inajali Wananchi wake

    Waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ukweli ni kwamba serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inawajali sana wananchi wake kupitia utekelezaji wa mradi mkubwa wa ujenzi wa Bomba la mafuta la Tanzania na Uganda Serikali ya Rais Samia Suluhu imetoa Kiasi cha shilingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…