awamu ya sita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna mambo hayakuwa yakifanyika, lakini sasa hivi yanataka kuanza. Sitokubali!

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika miezi michache aliyokaa kwenye Serikali ya Awamu ya Sita, ameona mambo mengi ambayo huko nyuma hayakuwa yakifanyika lakini sasa hivi yanataka kuanza, akisisitiza hatokubali Amesema hayo baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Reli...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia ukimuachia Mbowe huru Watakukejeli

    Hapo vip!! Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai. Niseme tu ,kama Rais...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania na awamu za uongozi, ya Kwanza hadi ya Sita

    Kumekuwepo na mjadala mkali juu ya kutaka kujua watanzania tuko awamu ya sita au bado tuko awamu ya tano? Mtanzania mwenzetu Ndugu Polepole ametanabaisha kwamba tuko awmu ya tano(5) bado. Watanzania walio wengi wameaminishwa kwamba tuko awamu ya sita (6) Nimejaribu kutafakari kwa kupitia hoja...
  4. JamiiForums Tanzania Polepole: Hii sio awamu ya Sita bali ni ya Tano kipindi cha pili, aliyeondoka ni Magufuli peke yake

    Wakuu, Mbunge wa kuteuliwa na mtunga Sheria Humphrey Polepole, anadai hii awamu ya rais Samia sio awamu ya sita. Rais Samia alisema yeye ndiye rais ya awamu ya Sita. Kwamba ni awamu ya sita kipindi cha kwanza. "Hii serikali sio mpya,haikupigiwa kura, huwezi ukaita awamu ya sita, awamu lazima...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

    Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia. Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila...
  6. JamiiForums Tanzania Uhuru Day Special: Tathmini Fupi Awamu Sita za Uongozi

    Abuu Kauthar Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, awamu sita za uongozi kuanzia mwaka Desemba 9, 1961 hadi leo Desemba 9, 2021. Kila awamu ilikuwa na mambo yake kutokana na mazingira ya wakati huo. Julius Nyerere Awamu ya kwanza chini ya Rais Julius Kambarage Nyerere ilikuwa ni ya kujenga...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa Serikali ya awamu ya sita na CCM: Kustawi kwa awamu ya sita na CCM

    Kwanza nimshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kuilinda nchi yetu Naomba ieleweke hivi kila serikali iliyoko madarakani imechaguliwa na wananchi baada ya kuinadi ilani ya chama husika. Mwaka huu tunaomaliza nchi ilipitia kipindi kigumu sana kwa kuondokewa na Rais aliyechaguliwa na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliosimama kama Mawaziri awamu ya Sita, Wengine hamna kitu kabisa

    Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa! Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe. Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo. Mohamed Mchengerewa mpaka nimeanza kumfikia come 2030 akae pale juu. Huyu bwana anajitambua sana. Mwambe anajua...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia chukua hatua kali zaidi, ulikuwepo Awamu ya Tano na sasa upo Awamu ya Sita, unaijua serikali barabara!

    Rais wangu mama Samia Suluhu Hassan kuendesha serikali yenye kupata mafanikio si jambo la lelemama hata kidogo, kama unatafuta kupendwa,fahamu utapendwa na wachache ila utachukiwa na wengi sana na mwisho wa siku historia itakuhukumu. Nikupe mfano, kwa kinachoendelea bandarini, kama ukweli uko...
  10. JamiiForums Tanzania Swali kwa Serikali ya Awamu ya Sita kuhusu fedha za ufadhili toka kwa wahisani

    Kuna desturi ya hawa wahisani wanapotupatia pesa zao za misaada au mikopo yenye mashariti nafuu hutupangia pia na matumizi yake na kututaka tutii baadhi ya mashariti yao. Je, wakija taka kutupatia pesa kwa mashariti ya kuruhusu mapenzi ya jinsia moja tutazipokea? Nawasilisha kwa unyenyekevu...
  11. JamiiForums Tanzania James Mbatia: Ufanisi na kuaminika Serikali ya awamu ya sita umeondoka kabisa

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema Ufanisi na kuaminika serikali ya awamu ya sita umeondoka kabisa pia Mbatia amesema kuna mpasuko mkubwa Serikalini. Mbatia amedai kukosekana kwa uchaguzi mwaka jana kumeleta matatizo mengi na hali sio nzuri.
  12. JamiiForums Tanzania Video ya Aliyekuwa Rais awamu ya Tano hakikataa utitiri wa Mikoa, Awamu ya Sita anaweza kuipitia kama Funzo

    Wana Jf Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo. Ona wenyewe
  13. JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo: Waziri Mwambe asema Wachina walisema Dar hadi Pangani, na sio Mtwara hadi Tanga

    SERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI Waziri Mwambe amesema haya ''Kuna jambo niliweke sawa ilisemwa kuwa wachina walisema kusiendelezwe bandari yoyote kutoka Mtwara hadi Tanga,sio kweli. Hayo maneno sijui yalitoka wapi, kilichosemwa ni kwamba kuanzia Dar es Salaam hadi Pangani kusiendelezwe...
  14. JamiiForums Tanzania PART 2: Haya hapa makundi yanayofurahia ama kuridhishwa na utawala wa awamu ya sita

    Baada ya kuangazia makundi ya watu wanaochukia utawala wa Rais Samia sasa ni zamu ya makundi yanayoridhishwa ama kufurahishwa na utawala wake. 1. WAFANYABIASHARA Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita wamepita kwenye dhoruba na sekeseke zito katika biashara zao ikiwemo kubambikiwa kodi...
  15. JamiiForums Tanzania Nini vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita?

    Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
  16. JamiiForums Tanzania Maamuzi matatu ya Serikali ya awamu ya sita yanayolalamikiwa yote yapo sahihi Na Sababu zangu ni kama ifuatavyo

    Kwanza unatakiwa kujua kwamba Serikali inapokuwa inafanya maamuzi yake Inaweza isiwe sahihi Kwa mujibu WA katiba lakini ikawa sahihi kisiasa, kiuchumi, kiusalama wa nchi au kiutawala.( Constitutionally wrong but politically right etc and vice versa). Utaratibu Huu upo katika Serikali zote...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Jakaya Kikwete hana ushawishi wowote kwenye Awamu ya Sita

    Maneno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito: Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema: Barikiwa sana baba askofu kwa kuendelea kutuchotea busara na uzoefu uliopewa na Mola wetu kila...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

    Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania. " Hakuna kama Samaia " Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF)...
  19. JamiiForums Tanzania Utaratibu ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya sita wa kugawa fedha za miradi ya maendeleo kupitia majimbo ufutwe mara moja

    Kuna utaratibu uliletwa huko Tanzania fedha za miradi ya maendeleo kugawanywa na serikali kupitia majimbo mfano fedha za IMF 1.3 trilion, fedha za Tarura. Majimbo mengine yanabidadi ndogo ya wakazi, majimbo mengine yako mbele kimaendeleo kuliko mengine, na kutumia mfumu huu usimamizi wa fedha...
  20. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa maisha ni magumu awamu ya sita muelewe

    Haya habari ya mjini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…