awamu ya sita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Serikali ya awamu ya sita?

    Nawaita hapa wote. Wadau wa CCM , wadau wa vyama vya upinzani, wasio na vyama na watu wengine. Maneno mtaani ni mengi kuhusu Serikali ya awamu ya sita. Yanasemwa mengi kuihusu ikiwemo ufisadi unaofanywa na Rais , familia yake pamoja na watu wa karibu yake. Lakini haya husemwa kila awamu...
  2. W

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Faida za elimu bure awamu ya sita

    Ndugu zangu watanzania, Leo sina maneno mengi ya kuongea nanyi Bali nimewaletea tu matokeo na FAIDA ya ELIMU bule katika awamu ya sita Hakika mama katufikia watanzania na tuna mpenda na tunatamba nae na ELIMU tunasoma bule na hakuna necta la Saba wala kidato Cha pili SI kwenda tu mbele kwa mbele
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya awamu ya sita haisikilizi kabisa maoni ya wananchi?

    Sijajua kuhusu awamu ya kwanza lakini awamu ya pili ya rais Mwinyi, awamu ya tatu ya Mkapa na awamu ya nne ya Jakaya Kikwete ziliundwa tume za kutosha ili kujibu na kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali ya kijamii na mengine kuyaondoa katika utekelezaji ikiwa jamii ilionekana kutoyaunga mkono...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila na Msando ni muda wenu wa kuchunga ndimi zenu

    Chalamila na Msando ni muda wenu wa kuchunga ndimi zenu, kuna uwezekano mkubwa mkaingia mikono ya Raia wenye hasira kali
  6. JamiiForums Tanzania Mapya ya ‘awamu ya sita’!

    Hii serikali inayojiita ya awamu ya sita ina mambo yake ya kipekee sana! Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana. Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, viwango vya akili vya watendaji wake ni vya chini mno. Na mifano yake ni mingi sana...
  7. JamiiForums Tanzania Zaidi ya shilingi Bilioni 17 zimetolewa na Serikali ya awamu ya sita mkoani Tanga kwa ajili ya ujenzi wa hospitali sita (6) za wilaya

    Zaidi ya shilingi Bilioni 17 zimetolewa na Serikali ya awamu ya sita mkoani Tanga kwa ajili ya ujenzi wa hospitali sita (6) za wilaya, Ukarabati wa hospitali tatu (3) na Ukarabati na. umaliziaji wa hospitali moja (1). Wilaya zilizonufaika ni Jiji la Tanga, Wilaya ya Handeni (kwa halmashauri ya...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali ya awamu ya sita imetoa Bilioni 5.7 ujenzi wa shule mbili Mkoani Mara

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule mbili mkoani Mara ambazo ni shule ya Sekondari ya Wasichana Mara pamoja na shule ya Amali Butiama (Butiama Technical Sec School) Fedha hizo zimetolewa...
  10. JamiiForums Tanzania Je yaliyotekea awamu ya tano na awamu ya sita ya yapi hasa yamebadilika kuna uwezekano mkubwa Mzee kijana kaambiwa inatosha sasa kama super black.!

    Tusimpongeze MTU wala kumbeza tuache muda uongee Ila kunauwezekano Mzee Kijana na super black wakawa wamewekwa pembeni bila wao kupenda Kwakuwa nikiuchambua uongozi wa awamu ya tano na sita sioni Kama umetafautina sana. Kwa kuangila mambo Kama "Good governance " na n.k.
  11. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Mahusiano ya Kimataifa yameimarika Awamu ya Sita

    Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameliambia Bunge la Tanzania kuwa Ushawishi wa Tanzania katika medani za Kimataifa umeongezeka chini ya Serikali ya awamu ya sita na kuiwezesha Tanzania kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika mashirika ya Kikanda. Majaliwa amebainisha hayo...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zainab Katimba: Serikali ya Awamu ya Sita Imefanya Juhudi Kubwa Kuimarisha Michezo Shuleni

    Zaidi ya shilingi Bilioni 2.4 zimetengwa na serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa mwaka 2025 kwaajili ya Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi na Sekondari. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba wakati wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kitaua soka la Tanzania.

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kinatisha

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Watawala wa awamu ya sita wanamwogopa Habinder Seth wa IPTL

    Zito Kabwe anayejulikana kama chawa wa serikali ya awamu ya 6 amelipuka kwa kuitolea uvivu serikali ya awamu ya 6 kwa kitendo chake cha kuendelea kumlea fisadi na gwiji la Escrow Habinder Seth. Ikumbukwe fisadi Seth aliwekwa jela kwa miaka 4 na serikali ya awamu ya 5 , lakini mara baada ya Rais...
  16. JamiiForums Tanzania Wizara ya viwanda na biashara yataja mafanikio miaka minne ya serikali ya awamu ya sita

    Wizara ya Viwanda na Biashara imepata mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo uendelezaji wa miradi ya kielezo na kimkakati; upanuzi na ujenzi wa viwanda; uendelezaji wa teknolojia mbalimbali; atamizi na ubunifu; utafutaji wa masoko ya bidhaa za Tanzania ndani na nje ya nchi; ubora...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki nchini Tanzania, hivi mmegundua sasa ni msimamo rasmi wa Kanisa lenu kuwa serikali ya awamu ya sita ni onevu inayominya haki na demokrasia?

    Hivi waumini wa Kanisa la Katoliki nchini mmeshagundua kwamba hadi sasa, kupitia matamko ya viongozi wenu, ni msimamo rasmi wa kanisa kwamba serikali ya awamu ya sita chini ya CCM ni serikali onevu inayominya haki na kukandamiza demokrasia nchini? Kinachotokea sasa nchini kimefananishwa hata...
  18. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wilayani Kwimba: Tulitishwa na fisi wakati wakwenda shule. Tunashukuru awamu ya sita kutujenga shule karibu

    Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Kwimba, mkoani Mwanza, wameeleza namna ambavyo walilazimika kutembea umbali wa kati ya kilomita 10 hadi 30 kila siku kwenda shuleni kabla ya serikali ya awamu ya sita kujenga shule mpya karibu na makazi yao. Wakizungumza na Jambo TV, baadhi ya...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kwa nini umasikini na kukata tamaa kumeongezeka sana awamu ya sita?

    Tiririka
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanganyika wanafunguliwa mashtaka mabaya mabaya awamu ya sita?

    Heshima sana wanajamvi. Nijikite katika mada moja kwa moja. Tangu awamu ya sita ianze kuitawala Tanganyika timeshuhudia Watanganyika wakipewa kesi kubwa kubwa. Awamu ya sita inaongozwa na Mzanzibar hatujawahi kusikia au kuona akiwabambikia Wazanzibari wenzake kesi za uhaini au kesi za ugaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…