awamu ya sita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    Awamu ya sita imevunja record ya kufuturisha inaonekana ni Sehemu ya ilani ya CCM

    Hello. Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha. Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama. Siyo samia siyo mwinyi na mawaziri kila mmoja anapambana kuonyesha ufundi wa kufuturisha.
  2. S

    Makubaliano yamefanywa Muungano umevunjwa rasmi bila maandishi wala tangazo na Zanzibar inaruhusiwa kujifanyia kila kitu isipokuwa kuwa na jeshi

    Nashangaa sana kwamba Watanzania wengi, hasa watu wa bara, hawajagundua kwamba awamu ya sita imevunja muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar bila maandishi au matangazo. Hadi sasa kuna makubaliano kwamba Zanzibar watajifanyia kila kitu ambacho nchi rasmi inafanya isipokuwa hawatakuwa na jeshi...
  3. figganigga

    Serikali ya awamu ya Sita inanuka damu za Watoto wetu

    Salaam Wakuu, Yaani sasa ndo nimegundua kwamba, Mtu akipata madaraka kwa kumwaga damu, anakuwa ananuka damu hata aoge kwa jiki. Juzi Karikaoo wakati wa Uzinduzi wa Soko lililoungua, baada ya Wakina Samia kufika, soko zima likawa linanuka damu za watu. Watu wakawa wanatema mate chini.. Yaani...
  4. M

    Hivi yule mkuu wa wilaya Tabora aliyepewa ukuu wa wilaya na Magufuli kisha akatumbuliwa awamu ya sita alirudi kazini?

    Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza. Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani. Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani. Alikuwa rapa wa CCM! Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
  5. Prof_Adventure_guide

    Awamu ya Sita Imeua au Inaminya Soko la Utalii Tanzania?

    Oya, huku mtaani hali ni tete kinoma! Hivi hawa wakubwa wanachukulia watu ni mazuzu au? Mlipiga kelele watu "wajiajiri," vijana tukajichanganya tukaingia kwenye mchaka wa kufungua makampuni ya utalii (tour companies). Tukaingia kichwa kichwa, tukauza hadi viwanja na kukopa mapesa ili tu tusake...
  6. M

    Mfumo dume, chuki wivu na udini ni baadhi ya sababu kwa watu kueneza chuki dhidi ya utawala wa awamu ya sita

    Binafsi sioni kama Rais Samia ana makosa ambayo yeye ndiye Rais wa kwanza kuyafanya, Kama ni mambo ya kutekwa yalikwepo toka enzi ya Dr Ulimboka Kama ni uchaguzi wenye udanganyifu ccm haijawahi kushinda bila wizi ndiyo tabia yake Ufisadi upo toka kipindi cha nyerere Maisha magumu toka...
  7. tonicimmobility

    PostGE2025 Rais Samia: Mwisho wa awamu ya sita usipimwe tu kwa majengo na vitu vinavyoonekana, bali kwa tabasamu la utu kwenye nyuso za Watanzania

    Rais Samia leo katika ufunguzi wa bunge jijini Dodoma amemalizia kwa kusema Rais Samia amesema Namuomba mungu mwisho wa utumishi wa awamu ya sita usipimwe tu kwa vitu, majengo na vitu vinavyoonekana bali kwa tabasamu la utu litakaloachwa kwenye nyuso za watanzania
  8. baz kaiza

    Watanzania wote wenye akili timamu adui yetu tunamjua Ila lawama kazibeba Mama. Huyu mama namuonea huruma sometimes

    Watanzania, adui yetu tunamjua. Tatizo ni kwamba tayari ameshameza mifumo yote ya nchi, vyombo vya dola na mihimili yote viko chini yake. Juzi Mwenda Pole alitupa kama wake up call, akitaka tuamke, lakini bado tuko usingizini. Wengi wanamlaumu Mama, lakini ukweli ni kwamba huenda naye kamezwa...
  9. Mto wa mbu

    GE2025 Kulikoni mbona maandamano ya Oktoba 29 yanazidi kushika kasi

    Nikiri kuwa mwanzoni nilikuwa nachukulia poa swala la maandamano ya tarehe 29 October. Niliona kama Mange anapoteza muda. But ukweli ni Kwamba maandamano yanazidi ku gain momentum. Tumeanza kuona viongozi wa chama na serikali wameanza kutoka na kutoa vitisho. Tumeona Hadi Chawa kina Haji...
  10. A

    DOKEZO Chonde chonde Serikali ya Awamu ya Sita, mtaleta machafuko nchini

    Kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, amani nchini itatoweka 1. Viongozi wa vyama vya upinzani vyenye kuonesha kuungwa na jamii (km CHADEMA na ACT-Wazalendo) wanawekewa vipingamizi visivyo na misingi, na kuekelea wapiga kura, wanaowaunga mkono, kutokushiriki Uchaguzi Mkuu, kinyume na haki yao...
  11. Orketeemi

    Ukweli ni upi kuhusu Serikali ya awamu ya sita?

    Nawaita hapa wote. Wadau wa CCM , wadau wa vyama vya upinzani, wasio na vyama na watu wengine. Maneno mtaani ni mengi kuhusu Serikali ya awamu ya sita. Yanasemwa mengi kuihusu ikiwemo ufisadi unaofanywa na Rais , familia yake pamoja na watu wa karibu yake. Lakini haya husemwa kila awamu...
  12. W

    SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  13. Lucas mwashamba

    Faida za elimu bure awamu ya sita

    Ndugu zangu watanzania, Leo sina maneno mengi ya kuongea nanyi Bali nimewaletea tu matokeo na FAIDA ya ELIMU bule katika awamu ya sita Hakika mama katufikia watanzania na tuna mpenda na tunatamba nae na ELIMU tunasoma bule na hakuna necta la Saba wala kidato Cha pili SI kwenda tu mbele kwa mbele
  14. Wakusoma 12

    Kwanini serikali ya awamu ya sita haisikilizi kabisa maoni ya wananchi?

    Sijajua kuhusu awamu ya kwanza lakini awamu ya pili ya rais Mwinyi, awamu ya tatu ya Mkapa na awamu ya nne ya Jakaya Kikwete ziliundwa tume za kutosha ili kujibu na kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali ya kijamii na mengine kuyaondoa katika utekelezaji ikiwa jamii ilionekana kutoyaunga mkono...
  15. M

    Chalamila na Msando ni muda wenu wa kuchunga ndimi zenu

    Chalamila na Msando ni muda wenu wa kuchunga ndimi zenu, kuna uwezekano mkubwa mkaingia mikono ya Raia wenye hasira kali
  16. Nyani Ngabu

    Mapya ya ‘awamu ya sita’!

    Hii serikali inayojiita ya awamu ya sita ina mambo yake ya kipekee sana! Kwangu, hii serikali, ndo serikali pekee ninayoweza kusema inaongozwa kwa kutumia akili ndogo sana. Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, viwango vya akili vya watendaji wake ni vya chini mno. Na mifano yake ni mingi sana...
  17. Ojuolegbha

    Zaidi ya shilingi Bilioni 17 zimetolewa na Serikali ya awamu ya sita mkoani Tanga kwa ajili ya ujenzi wa hospitali sita (6) za wilaya

    Zaidi ya shilingi Bilioni 17 zimetolewa na Serikali ya awamu ya sita mkoani Tanga kwa ajili ya ujenzi wa hospitali sita (6) za wilaya, Ukarabati wa hospitali tatu (3) na Ukarabati na. umaliziaji wa hospitali moja (1). Wilaya zilizonufaika ni Jiji la Tanga, Wilaya ya Handeni (kwa halmashauri ya...
  18. E

    Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
  19. R

    GE2025 Serikali ya awamu ya sita imetoa Bilioni 5.7 ujenzi wa shule mbili Mkoani Mara

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule mbili mkoani Mara ambazo ni shule ya Sekondari ya Wasichana Mara pamoja na shule ya Amali Butiama (Butiama Technical Sec School) Fedha hizo zimetolewa...
  20. DR HAYA LAND

    Je yaliyotekea awamu ya tano na awamu ya sita ya yapi hasa yamebadilika kuna uwezekano mkubwa Mzee kijana kaambiwa inatosha sasa kama super black.!

    Tusimpongeze MTU wala kumbeza tuache muda uongee Ila kunauwezekano Mzee Kijana na super black wakawa wamewekwa pembeni bila wao kupenda Kwakuwa nikiuchambua uongozi wa awamu ya tano na sita sioni Kama umetafautina sana. Kwa kuangila mambo Kama "Good governance " na n.k.
Back
Top Bottom