Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii.
Sitaingia katika sababu za kufikia hapo.
Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda.
Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
1. Mpaka sasa ndugu zetu wameuwa, watoto na rafiki zetu, vijana wetu wa kike na kiume zaidi 3,000. NDIYO zaidi ya ELFU TATU PLUS.
2. Si amejitangaza kuwa mshindi kwa kura feki za namba za kubumba? Jibu ni NDIYO kajitangaza
3. Si wamejikusanya huko uchochoroni Dodoma na kujiapisha na kujipa...
Mara nyingi kadiri siku zinavyosonga mbele inatarajiwa werevu uongezeke lakini kwa Tanzania ni kinyume chake.
Badala ya nchi kuzalisha wataalam inazalisha machawa wajinga. Hawa kila siku wanawaza na kubuni ujinga na uovu.
1. Fikiria, wakati nchi nyingi zinazidi kuimarisha mifumo yao ya haki...
SAMIA ASIRUHUSIWE KABISA KUGOMBEA URAIS NA KAMA ANALAZIMISHA, MCHAKATO WA KIKATIBA UANZE WOTE UPYA.
Awamu ,Awamu inapatikanaje ? Kwa wa Katiba Awamu inapatikana kupitia UCHAGUZI MKUU, Kwa Kiongozi kupigiwa Kura !!.
Kiongozi gani anayepigiwa kura uchaguzi kuwania Urais??
Ni yule ambaye...
Mtaje waziri aliyekosekana kwenye picha ya pamoja na mawaziri mara baada ya Kikao cha mwisho cha baraza la mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu,Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.
ukiweza Taja na sababu ya kutokuwepo kwake ?
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo maarufu zaidi cha utangazaji cha ITV kwenye kipindi cha DK 45 amesema haya,
Pamoja na mambo mengine mengi Kafulila anasema kama Kuna kitu Rais Samia anaweza kujivunia ni...
Nimefanya tathimini ya miradi yote iliyofanywa na serikali ya awamu ya 6 nikapata gharama halisi ni 8.7 Tilioni.
Hii inajumuisha miradi yote iliyosajiliwa chini ya tume ya mipango kwa wastani wa miradi 1300 inayojengwa kote nchini ikiwemo ile ya ufadhili na ubia.
Jumla ya deni la taifa ambalo...
TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA 6
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 12.03.2025 amewasilisha mafanikio ya TRA kwa kipindi cha miaka 4 ya Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
Kuna kitu mie kinanitatiza sana jamani hivi kwenye utawala wa magufuli iwe ni Busisi au Kamanga, kwa kupitia vivuko hivi hivi tunavyoambiwa havitoshi sasa hivi mbona tulikuwa hatukalishwi kiasi hiki hapa kivukoni jamani, au ni mie tu naona hii shida?
Maana sidhani kama tatizo ni wingi wa vivuko...
Kwa niliyosikia akisema Erick Kabendera, halafu unasikia mtu anabeza maridhiano na kuyaita upuuzi. Taifa lote tusimame na kumpuuza kwa nguvu zote. Kama nchi, tumepiga hatua kubwa kutoka katika hali ile.
Tuwapongeze Mama Samia na Mbowe.
Kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe ameonekana kwenye video akikamatwa wakati anaongea na waandishi wa habari. Hapo ni kabla ya kufanya maandamano ambayo hata kama angeyafanya katiba ya Jamhuri ya Muungano haimkatazi. Mheshimiwa Mbowe amekamatwa pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA akiwepo mkamu...
Aliyemuweka SSH madarakani nani kama sio Magufuli? Magu aliona mbali akamuweka mtu ambaye ataendeleza legacy yake.
Ni mradi hupi aliouanzisha Magu umesimama? Miradi mingi imekamilishwa na mingine bado inaendelea kukamilishwa! Akili kubwa ya Magufuli itaendelea kuendeleza taifa hili vizazi...
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi.
Profesa Mkenda amesema hayo leo Agosti 30 jijini Dodoma wakati akizindua ripoti ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi ya mwaka...
Jana iliwekwa orodha ya watu zaidi ya 40 ambao hawajulikani walipo (wametoweka) na wala mabaki ya miili yao hayapo.
Je, ni nani yuko nyuma ya matukio haya? Je, ni jeshi la polisi au tunawasingizia tu? Je ni wahalifu? Ikiwa ni wahalifu je wanauwezo wa namna gani?
Nadhani vyombo vya ulinzi vina...
Shalom,
Ifahamike kuwa ndani ya Bunge la Tanzania kuna wabunge wa Hovyo Sana ambao elimu za za darasa saba, na form 4 za hovyo tu.
Hawa wabunge kinara wao ni yule Mbunge mpumbavu ambae amenunua hadhi ya kitaaluma ambayo hana akijiita Dr.Musukuma huyu kiumbe ni mpumbavu sana na katika mazingira...
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la reli nchini (TRC) amesema asilimia 70 ya ujenzi wa reli ya kisasa umefanywa na awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwa mantiki hiyo, awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilihusika na asilimia 30 tu🤣
My take:
Legacy inafutwa kwa kishindo, mnyonge...
Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje.
Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea.
Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani...
Wakuu Salam,
Hakuna kipindi kigumu serikali ya awamu ya Sita inapitia kama hili la kuitwa wezi na wabadhirifu.
Hizi shutuma ni kubwa na kama sio kumbeba Magufuli kimzobe mzobe 2015 almanusura CCM iteme bungo.
Sasa ivi shutuma ni nyingi na " wanafiki" wame mute na wamegeuka " chawa" ili...
Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Akitoa taarifa hiyo, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura...
Kwa muda mrefu sana, Maendeleo ya Tanzania yamekuwa yakirudishwa nyuma na mambo mbalimbali ikiwemo
1. Hujuma kutoka mataifa jirani
2. Hujuma za wafanyabiashara wakubwa
3. Ujinga wa Watanzania
Kusema ukweli tangu nimeanza kupata akili nimesikia mipango mingi sana ya nchi yetu ambayo mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.