atolewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto wa mbu

    GE2025 Jakaya Kikwete aondolewe kwenye orodha ya waangalizi wa chaguzi za SADC na AU

    Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana. Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu. Uku kwetu bila aibu...
  2. JanguKamaJangu

    Familia ya Juma Maganga yamlilia Rais Samia awasaidie ndugu yao atolewe Jela Sudan Kusini

    Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo watashindwa kulipa fidia ya milioni 30 kama ilivyoamriwa na mahakama ya huko. Licha ya adhabu hiyo...
  3. Mayor Quimby

    Dr Kimei atolewe bungeni akafundishe finance UDSM muda wake uliobaki

    https://www.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk Sio sawa mtu mwenye werevu mpana kama wa 'Dr. Kimei' kwenye maswala ya finance kwa mazingira yetu kuondoka bila ya kutoa elimu ya finance kwa viongozi wa baadae. UDSM inatakiwa kuandaa programme ya MBA ya Finance and Banking huku Kimei akiwa kama...
  4. Scared

    Tumeamia psg arsenyani lazima atolewe tu

    Katika mechi ambazo zilikua za ajabu ni real Madrid na arsenyani yaani walikutana pipa na mfuniko nikajua labda Madrid ataonyesha mpira mzuri kumbe Naye bangusilo hakuna kitu kabisa aisee rasmi nawaunga mkono psg sababu wanaiweza hii kazi Kule dembele Kule barcola huku achirafu hakimi huku...
  5. Mbangaizaji wa Taifa

    Sylvester Kasulumbai: Mbowe amechoka atolewe tunataka fikra hasa toka kwa vijana

    https://youtu.be/Ps_At3HbjrE?si=ZUrRKKExyS_OxZ_z Mbunge mstaafu wa CHADEMA Maswa anatamani Mbowe awekwe kando ili zipatikane fikra mpya
  6. M

    Kwanini Man City atolewe wakati alipata goli nyingi ugenini?

    Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty. Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani. Au kanuni zimeshabadilika
  7. M

    Mamelodi hana maajabu lazima atolewe, Yanga anaenda nusu fainali kwa kishindo ijumaa ijayo

    kila msimu mamelodi huwa anatolewaga kwenye hizi hatua za mtoano. hizi ndio records zake mfululizo zamu ya yanga kumtoa imeshafika
  8. Torra Siabba

    Msimamizi uwanja Nyamagana atolewe mara moja

    Ndugu wana Jukwaa, juzi January 31 Rais Mama samia Alikua Nyamagana Mwanza kwaajili ya kugawa vizimba na mitumbwi ya kisasa kwa wavuvi zoezi ambalo lilifanyika kandokando ya ziwa victoria na baadae Mh Rais alikuja Uwanja wa Nyamagana kwaajili ya kuzungumza na wananchi waliokua wakimngojea Mh...
  9. M

    Wale tuliotaka Sawadogo atolewe jana na aingie Kipenzi chenu Mkude naomba Analysis yenu tafadhali

    Mpaka Sawadogo anatolewa Simba SC ( kama sijakosea ) ilikuwa imefungwa Goli Moja ila baada ya kuingia Mkude Simba SC ikaongezwa Magoli mawili. MINOCYCLINE sijui Mpira hivyo nawaomba Mashabiki wa Simba SC mliokuwa mnataka Sawadogo jana atolewe na aingie Kipenzi chenu Mkude mje na Uchambuzi wenu...
  10. T

    Tetesi: Moto unalipuka Dodoma, Mzee mpiga debe atolewe🤐

    Jamani jamani nimeinyaka nimeinyaka jamani Busara ni muhimu jamani humo ndani ya cc kimenukishwa na Mzee wa Msoga kama vile kanusa kama nabii akasema jamani jamani. Ni hivi wenye nguvu ndani ya chama wanataka haki itendeke come juwa come rain wanataka kujua ni jambo gani Hayati JPM na Mzee...
  11. BARD AI

    Waitara nusura atolewe Bungeni kwa kugoma kukaa

    Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara nusura atolewe nje ya ukumbi baada ya kuonyesha kukaidi agizo la Mwenyekiti wa kikao alipomtaka akae chini. Hali hiyo imetokea ndani ya bunge leo Jumatano Novemba 9, 2022 wakati Bunge lilipoketi kama Kamati ya Mipango kwa ajili ya kujadili Mpango wa Taifa...
Back
Top Bottom