Takribani Watanzania 236 waliokuwa wamekwama nchini Dubai kutokana na hali ya usalama Mashariki ya Kati wamerejeshwa nyumbani salama.
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) lilituma ndege maalum ya gharama nafuu kufuatia mivutano ya kivita kati ya Marekani, Israel, na Iran iliyosababisha mashirika...
Wakuu,
Baada ya hali ya hewa kuchafuka mashariki ya kati ATCL imetangaza kusimamisha safari zake za kwenda na kurudi kutoka Dubai kwa muda mpaka pale watakapotangaza tena huku ikiendelea kufuatilia hali hiyo kwa ukaribu.
Wakuu,
ATCL imeomba radhi (hata kama tunajua ni ya mchongo) lakini Msigwa kapata nguvu za kumwambia Zungu mwana ukome:BearLaugh::BearLaugh:.
Ila Zungu itakuwa alisahau kuwa serikali/chama kikizingua inabidi useme mitano tena🤣🤣, katoka nje ya script😂😂.
Ila ATCL tuambieni, hivi shida ni nini...
Wakuu,
Nacheka ka mazuri🤣🤣🤣 kwahiyo mtu akitoa povu lake taasisi/shirika linapozingua ni uvunjivu wa sheria? Nakojoaaaaaa😆😆😆😆. Chawa kafikiwa 😆😆
Kelvin Raphael (Zungu) alitoa povu lake jana baada ya ndege za ATCL kudelay safari, ambapo ATCL imekuja kuomba radhi muda si mrefu! Gerson Msigwa...
GT
Huyu dogo alijitia ujuaji sana wakati sisi tunaikosoa serikali kwa maovu yeye kajitia ujuaji na kuitetea.
Sasa jana ATCL wamemsomesha namba kidogo tu na kuanza kutoa mapovu je ataomba msamaha kwa ATCL ngoja tusubiri...
Na akae akijua haya ndo madhira wanayopitia watanzania wa kawaida...
Safari yangu ya kurejea Dar es salaam baada ya kukamilisha kazi yangu Bukoba imeanza asubuhi ya Februari 21, 2026 kwa ndege TC 101, mali ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Kasheshe imeanzia uwanja wa Ndege wa Bukoba, hauna umeme.
Baada ya kuwekwa foleni kwa masaa 3, baadae ilibidi wahudumu...
Niliagiza mzigo kutoka dar kuja kigoma jana tar 15/08/2025 kupitia ATCL kutokana na uharaka niliokuwa nao, ambapo mzigo huo ulifikishwa saa 4 asubuhi na ratiba ya ndege ilikuwa inaonyesha inaondoka saa 7 mchana ilikuwa inafika kigoma saa 10.
Jioni nimeenda kufuatia mzigo huo nikaambiwa...
Kwa mara ya kwanza, ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imetua katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya majaribio ya awali kabla ya kiwanja hicho kuanza rasmi kuhudumia Watanzania.
Akizungumza baada ya kuipokea ndege hiyo, Waziri wa Ujenzi...
Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
Akijibu hoja iliyoibuliwa na Mwandishi wa Habari kwenye kikao maalumu baina ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na wahariri, kuhusu changamoto ambayo imekuwa ikijitokeza kwa nyakati tofauti kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kushindwa kuzingatia muda na ratiba za safari, Msajili wa Hazina, Nehemia...
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imethibitisha kuwapo kwa udanganyifu wa tiketi za ndege uliohusisha wakala mmoja wa Kariakoo, anayefahamika kama Yasmin Ladha wa kampuni ya Space Travel. Wakazi 32 waliokuwa safarini kutoka Guangzhou, China, walibaini kuwa tiketi zao za kurudi hazikuwepo katika...
DODOMA — Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inakabiliwa na changamoto kubwa baada ya ndege nne za Airbus A220 kutokutumiwa kwa siku 279 hadi 721 kutokana na matatizo ya kiufundi na upatikanaji wa vipuri.
Pia, ndege aina ya DASH 8 Q300 haijatumika kwa zaidi ya miaka saba licha ya kugharimu zaidi...
Ripoti ya CAG ya mwaka wa fedha 2023/2024, iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, imeonesha kuwa mashirika kadhaa ya umma bado yanaendelea kupata hasara kubwa licha ya uwekezaji mkubwa wa serikali.
Kwa mfano, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) ilipokea ruzuku ya serikali ya shilingi...
Shirika la Ndege Tanzania ATCL limeongeza mapato yake kutoka Shilingi Bilioni 254 mwaka 2021 hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.5 Februari mwaka 2025, ikichangiwa na Ongezeko la Ndege na safari za ndege kwenda nje ya nchi, kulikofanywa na Serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya...
Kitendo cha serikali ya Magufuli kununua ndege za biashara halafu kwa kipindi kifupi biashara ikatoa majibu kuwa ni biashara kichaa lakini serikali yake ikaendelea kuagiza ndege zingine. Alipoingia Samia nilitarajia aidha angeuza ndege zote za biashara au angesitisha mpango wa kuongeza ndege...
Swali:
Je ni lazima kuendelea kununua mandege ya kampuni ya Boeng?
---
LICHA ya mafanikio yanayopatikana kwenye Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Kamati ya Bunge ya Miundombinu imesema matatizo ya kiusanifu ya injini za Airbus A220-300 ambazo zimekuwa zinapata hitilafu mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.