Wakuu habari ya kuamka,natumai mmeamka salama
Kama kichwa cha habari ,kinavyojieleza ,mimi(29) nimesomea clinical medicine nikaamua kuishia ngazi cheti yaani Certificate in clinical medicine 2023 (Njombe)ila changamoto ni kwamba nina deni kubwa chuoni around 2.5M na nyumbani sioni mwanga wa...
Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa.
Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana.
Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%.
Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea...
Mimi nafanya kazi kwenye ofisi moja ya umma. Niko upande wa utawala. Ofisi yetu mostly imeegemea zaidi kwenye mambo ya kitechnical au Engineering.
Waajiriwa wengi ni mafundi na wasimamizi wao ni wahandisi.
Hawa wahandisi sijui tatizo liko wapi. Mimi nahisi kwakuwa wanamezeshwa vitu vingi sana...
Mahafali ya 28 ya Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) kwa ajili ya kutunukiwa Astashahada na Stashada yanafanyika leo Ijumaa Desemba 15, 2023 Ilala Jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi wa shughuli hiyo ambayo inafanyika kwenye Ukumbi wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) ni Mkurugenzi...
MBUNGE DKT. PIUS CHAYA AMEIOMBA SERIKALI CHUO CHA AFYA NGAZI YA CHETI
Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya akiuliza swali lake kwenye wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Jumatatu Mei 22, 2023 bungeni jijini Dodoma.
Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya ameomba...
MTU ANAHITAJI MSAADA WA MAWAZO, NA CASE YAKE NI KAMA ILIVYO HAPA
Kama nilimaliza Degree yangu 2014, kisha mwaka 2016 nikasoma kozi ngazi ya cheti, na mwaka 2019 nikatumia elimu ngazi ya cheti kuomba kazi kupitia sekretariate ya Ajira, nikafaulu ule usaili na kupata kazi, na sasa nalipwa kama...
Habari za wakati huu kila mmoja,poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa.
wapendwa naomba kujuzwa kati ya vyuo hivi LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL,KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,TANGA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,MTWARA COLLEGE OF...
KUMBUKA KUZINGATIA UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI KAMA IFUATAVYO
Wahitimu wa kidato cha nne waliohitimu kuanzia mwaka 2015 hadi 2019 wanaruhusiwa kutuma maombi.
Waombaji wa Mafunzo ya Ualimu katika vyuo vya Ualimu vya Serikali wanatakiwa kujisajili na kufanya maombi kielektroniki kupitia tovuti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.