Askofu Shoo ameyasema kauli hiyo leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre Hou, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 nchini.
Akijibu hoja ya Athuman Mwachuma kuhusu baadhi viongozi wa dini kuwajengea chuki vijana katika mahubiri yao, Askofu Shoo amesema kuwa vijana wasikimbilie kuwalaumu viongozi wa dini kwa sababu yaliyotokea Oktoba 29, 2025 kwani kabla na baada ya uchaguzi tulifanya jitihada kuwaleta vijana pamoja
Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza suala la haki kuzungumzwa.
"Ningetamani neno haki liingizwa katika wimbo wetu wa taifa, Naamini...
Friends and Our Enemies,
Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante).
Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu.
Katika...
Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema ni makosa kuacha kujitokeza kushiriki kupiga kura, huku akiwataka Watanzania wasikubali mtu yeyote awaondolee haki na wajibu wao wa kuchagua kiongozi wanayemtaka.
Akizungumza leo...
Mkandarasi wa Kampuni moja ya ujenzi mjini moshi(jina kapuni kwa sasa)anadaiwa kuingia mitini na shilingi Milioni 51 alizopewa na Askafu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Asseblies of God(T,A.G).Glorious Shoo.
Mkandarasi huyo aliingia mkataba na kupewa kiasi hicho cha pesa kama malipo ya awali kwa...
"Sisi Viongozi wa dini, Viongozi wa kiroho tunahitaji kuhimiza pamoja na haya mambo haya ya kisiasa au mambo yanayohusu uchaguzi Mkuu, Kuhimiza maboresho katika utoaji wa huduma muhimu kwa jamii. Ustawi wa watu unategemea upatikanaji bora wa huduma za afya, elimu, maji safi na huduma nyingine za...
Akitoa salamu za ujumbe wa Pasaka leo April 20,2025 katika Kanisa Kuu la Usharika wa Moshi Mjini, Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, amesema “Mungu ametupa nchi nzuri sana Tanzania, tuipende nchi yetu, kila mmoja ajitoe kuona...
Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Frederick Shoo, ametoa wito kwa viongozi na mamlaka zinazohusika na uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia maoni ya wananchi pamoja na ushauri kutoka kwa viongozi wa juu na wadau mbalimbali wenye...
Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Askofu Dkt. Fredrick Shoo amewataka wananchi kutokuwa tayari kuona yaliyofanyika katika chaguzi zilizopita yakijirudia katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2025.
Askofu Shoo ametoa kauli hiyo Machi 16,2025 katika ibada ya kufungua jengo jipya la Kanisa Usharika wa...
NA SAMWEL JOHN LEMA
Hivi karibuni Jimbo Kuu Katoliki jimbo la Nairobi lilikataa na kurejesha mchango wa fedha kutoka kwa Rais wa Taifa la Kenya Mhe William Samoei Ruto na Gavana Johnson Sakaja, likisema halitaki kutumika kisiasa.
Askofu Mkuu Philip Anyolo, ambaye ndiye Askofu wa jimbo la...
Salaam wanaforum wenzangu
Wiki chache zilizopita tulishuhudia askofu Shoo akimnadi Rais Samia kuwa aongezewe miaka mitano tena huku akisema huyu mama amefanya mambo makubwa sana katika kipind hiki alichokaa madarakani
Soma pia:
Kuelekea 2025 - Askofu Shoo: Mungu amepanga Rais Samia kuwa Rais...
Wakuu,
Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150 milioni na Rais Samia Suluhu Hassan, akisema ni taarifa zenye lengo la kuvunja nguvu sauti ya...
Wakuu,
CCM na polisi, bila manyanyaso kwa wapinzani mnaweza kutoboa kweli?
=====
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024...
Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), hivi leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa linaloendelea nchini.
Dkt Shoo amesema kumekuwa na makosa mengi katika Ucahguzi huu ikiwemo kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani...
Baraza la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) limewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27. Wito huo umetolewa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo...
Nashangazwa sana hawa watu ambao kutwa kumsema askofu shoo kwa maneno yake ya kumsifu Rais samia lakini watu jamii nyingi ya Watanzania ni mandumilakuwili tu leo hii akitokea askofu akimpiga spana Rais samia watu wale wale waliokuwa wanamsema askofu watageuka kumsifia askofu shoo! Hii nchi ina...
KKKT Ina MKUU MMOJA TU
Naona KKKT imepamba moto kutokana na matamshi ya mmoja wa Maaskofu wake. Kwa kimbelembele nilicho nacho naomba umma wa watanzania uelewe yafuatayo:
1. KKKT ina Mkuu mmoja tu. Dereva wawili hawawezi kuendesha gari moja kwa wakati mmoja.
2. KKKT hakuna cheo kinaitwa “Mkuu...
"Rais tuliyenaye mama Samia (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) haitaji kupigiwa debe kwa njia zisizofaa kwa sababu Mungu ameshamuweka ni Rais wetu sio tu wa kipindi hiki kimoja (mtanishangaa na kusema Askofu Shoo kapiga siasa, aah mimi nilionyeshwa na niliyasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.