Katibu mkuu wa TEC, Fr. Dr. Charles Hugo Kitima, BSc, MSc, PhD na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam Jude Thadeus Ruwa'ichi OFMCap wameufyata mkia baada ya walei wa Kanisa hilo wakiongozwa na Lucy Michael na Katekista Joseph Ludovic, waliojitokeza wazi wazi kukosoa na kupinga...
About 100 Catholic congregants on Monday, January 5, 2026, protested at the Vatican Embassy in Tanzania, where they submitted a formal letter of complaint against two senior Church leaders.
The protest targeted the Archbishop of the Archdiocese of Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, and...
Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema nyoka anawasifu wa kuhifadhi mazingira na kuleta uwiano lakini...
"Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap.
katika homilia aliyoitoa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Misa...
Sitashangaa ukute Task Force inapanga kumteka Askofu Yuda Tadei Ruwa'ichi kwa sababu amezungumzia kuhusu utekaji. Adui unayemuweza, usiamuachie Mungu 2910. By Vicensia Shule
Askofu Jude Thadeus Ruwa'ichi akizungumza leo Oktoba 14, 2025 katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam ametoa tamko la baraza la maaskofu kupitia kamati ya haki na amani kuhusu uchaguzi mkuu 2025 na...
Baba Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam ameteuliwa kuwa mmoja wa wajumbe wa wizara (Dicastery) ya Mashirika ya Kitawa ya Maisha ya Wakfu na Mashirika ya Maisha ya Kitume Ulimwenguni kote ofisi zikiwa makao makuu Vatican.
Ni miongoni mwa wa Afrika watano walioteuliwa katika...
Tupende kushughulikia mambo yetu kwa msingi wa ukweli zaidi, msingi wa haki, msingi wa amani na msingi unaompendeza Mungu. Kusudi tuweze kweli kudai kwamba sisi ni kisiwa cha amani, katika yale yanayoendelea zama hizi katika nchi yetu, nashauri tusithubutu kujiita kuwa ni kisiwa cha amani...
Askofu Jude Thadeus Ruwaichi, JImbo Kuu la Dar es Salaam kilipo Kituo cha Msimbazi
Nchini Tanzania, utekaji haramu ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 253 cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16, Toleo la 2022. Kifungu hiki kinasema kwamba:
“Mtu yeyote ambaye anamteka mtu mwingine kinyume...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amemzawadia kiasi cha...
Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
Wakuu,
Askofu mkuu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam anaongea na waandishi wa habari juu ya Pugu Marathoni lakini pia amegusia swala la maadili ya jamii. Amesema amefurahishwa na kauli dhabiti ya Rais Ruto wa Kenya juu ya kulinda maadili ya nchi hiyo na kupinga hadharani mambo ya ushoga.
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.