Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati.
Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule.
Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime.
Askofu Bagonza kwa nini...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema hali ya sasa ya kisiasa nchini, baada ya kuenguliwa kwa Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina, inathibitisha hitaji kubwa la wadau wa siasa kurudi mezani kujadiliana.
Akizungumza...
Askofu Bangonza kwenye waraka wake ameeleza mambo mengi sana kuhusu CCM kugeuza nyundo alama ya chama chao kuwagonga wasiokubaliana nao.
Lakini kamalizia na Aya aliyoijaza mambo yanayotaka TAFAKURI ya kina. Askofu Bagonza Kaandika hivi:
"Wamesahau Mungu wetu haongeki na hapokei maelekezo. Kwake...
Wakuu, nawasogezea wino mzito wa Askofu Dkt. Benson Bagonza alioutumia kuwasilisha fikra tunduizi kupitia ukurasa wake Facebook
===
WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani?
Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele...
Anaandika Askofu Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook:
HEKIMA, AKILI na Ujanja/Hila.
Leo 17/8/2025, KKKT imetafakari juu ya kuongozwa na HEKIMA ya Mungu. Mtume Paulo anasema, “Hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho; lakini hekima hiyo si ya hapa duniani...
Wakuu,
Kuna haja ya kumlinda Askofu Bagonza kwa wivu mkubwa sana.
Jana kufuatia mwenendo wa Kesi ya Lissu, Askofu Bagonza ameshusha waraka mwingine kupitia ukurasa wake wa Facebook. Ameandika yafuatayo:
MAHAKAMA “IMETUPINDUA”: Tuishtaki wapi?
Bila kuathiri mwenendo wowote wa kesi...
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook.
HII SIYO GALA NI KUGALAGALA
Nawapongeza CCM kwa dinner gala ya kuchangisha fedha za kampeini. Hatujaambiwa zimepatikana ngapi mpaka sasa, lakini matokeo ya awali yanaonyesha ushindi. Tuombe mtangazaji...
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook.
====
MKEKA WA CCM: Mashaka ni Mengi Kuliko Matumaini.
CCM ni kama Marekani. Uchaguzi wake unawala macho hata wasiohusika. Leo mkeka umeshangaza watu. Mimi nimejikaza na kufanikiwa kutafakari haya:
1. Waliokatwa...
Anaandika Askofu Benson Bagonza wa KKKT Karagwe, kwenye ukurasa wake wa Facebook.
====
FUNGA MDOMO, KALAMU, ROHO… halafu?
Leo tumeamka na taarifa za kufungiwa kwa baadhi ya waandishi wa habari kwa sababu Bodi ya ITHIBATI imewatema. Eti hawana vyeti. Jamii yetu ina viroja:
1. Wenye vyeti...
Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza anasema "wapo wanaowaua wenzao kwa kisingizio cha kulitetea taifa, ndugu hao watakufa na taifa litabaki alafu litawasahau"
:
Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza kuypitia ukurasa wake wa Facebbok
====
Uimara wa nchi hautokani na wananchi kutokosoa wala kutotukana. Uimara na mshikamano wa taifa hutokana na wanaokosolewa au kutukanwa; kuwa na ngozi ngumu na ustahimilivu.
Kiongozi siyo tu...
Askofu Bagonza akihubiri katika Ibada ya kuweka Wakfu Vifaa na Alama za Kanisa zitakazotumiwa na Askofu Mteule wa Dayosisi ya Mwanga, amesema.
Wafalme wabaya na watawala wabaya ili wafanikiwe, huwa wanaanza kuchafua hekalu. Hekalu likishashachafuka na kudhoofika, unabii hukoma, na wafalme...
"Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda. Tukiikaribisha serikali kutuamulia nani ni nabii wa kweli na nani ni nabii wa uongo tutajikuta tunalazimika kupeleka nakala za mahubiri yetu kwa viongozi wa vitongoji siku ya ijumaa kabla ya jumapili ili watukubalie kama...
Askofu Bagonza amesema kuwa kuna mambo mawili magumu siku kugombana nayo siku hizi, kama uwezo wa kuepuka ugomvi wa hayo mambo mawili, yaepuke kwani huwezi kuyashinda
Amesema ugomvi wa kwanza ni kugombana na Gen Z, sisi tuna bahati gen z wetu washamba washamba bado wamelala, ila haina maana...