askari

An askari (from Somali, Swahili and Arabic عسكري ʿaskarī, meaning soldier, or military) was a local soldier serving in the armies of the European colonial powers in Africa, particularly in the African Great Lakes, Northeast Africa and Central Africa. The word is used in this sense in English, as well as in German, Italian, Urdu and Portuguese. In French, the word is used only in reference to native troops outside the French colonial empire. The designation is still in occasional use today to informally describe police, gendarmerie and security guards.During the period of the European colonial empires in Africa, locally recruited soldiers designated as askaris were employed by the Italian, British, Portuguese, German and Belgian colonial armies. They played a crucial role in the conquest of the various colonial possessions, and subsequently served as garrison and internal security forces. During both World Wars, askari units also served outside their colonies of origin, in various parts of Africa, the Middle East and Asia. In South Africa the term refers to former members of the liberation movements who defected to the Apartheid government security forces.

View More On Wikipedia.org
  1. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Myahudi anachapika huko Lebanon! Askari wanazidi kufa huko! Alikurupuka?

    Inaonekana jamaa wa Hezbollah walijipanga zaidi ardhini kuliko angani! Leo na jana wayahudi wamepokea sana kichapo! Halafu hawaongei wanawaacha wayahudi wenyewe waongee! Ukiona wamagharibi wanaripoti jua hali ni mbaya sana! Seven more Israeli soldiers killed in Lebanon, says military Seven...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Jeshi La Polisi mkoa wa Kusini Unguja lathibitisha kifo cha Askari wake ambaye alitoweka tangu mwezi Agosti akiwa msituni

    Wanabodi, Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja muda mchache uliopita limetoa taarifa kuhusu kifo cha Askari Haji Machano Mohamed wa kikosi cha Valantia (KVZ). Askari huyo alitoweka tarehe 08/08/2024 wakati akihudhuria mafunzo ya uongozi katika Chuo cha Uongozi cha Jeshi la Kujenga...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Swali: Kama askari wa Tanzania hawawezi kupiga risasi 32 na kukosa shabaha. Kwa nini Tigo walitoa taarifa za Lissu kwa maafisa wa serikali?

    Simple mathematics
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nanyi Askari mtoshewe na mishahara yenu.

    Nukuu👇👇 Luka 3:14 (KJV) Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu. Ni zaidi ya miaka2000 tangu hii sentensi isemwe. Ukisoma vzr mstari huo yohana mbatizaji anaanza kuwaambia Askari maneno haya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanaopewa ajira kwenye vyombo vyetu vya ulinzi wawe wanaoipenda kazi hiyo kwa moyo na kujivunia kuifanya

    Yanayoendelea sasa kwa baadhi ya askari wa jeshi la polisi ni matokeo ya watu kufanya kazi wasiyoipenda. Hawawezi kuifanya kwa ufanisi. Hapo zamani za kale kimbilio la waliokosa ajira ilikuwa fani ya ualimu. Kilichotokea ni kushuka kwa kiwango cha elimu nchini kwasababu ya kukosa morali ya...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA

    Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasimi ya kuwakamata watu 14 ikiwemo baadhi ya Viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe, Lissu na Lema, ambapo wamedai kuwa viongozi hao wamekamatwa kufuatia mpango wa maandamano. Wanawashikiria kwa sasa wanahojiwa kwa ajili ya hatua za kisheria. Kamanda...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA imeonekana nchi nzima na hofu ya vyombo vya dola ni kubwa sana. Je huu ni ushindi kabla ya mechi?

    Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania. Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mara: Abiria 16, Dereva na Kondakta wakamatwa kwa tuhuma za kumpiga Askari wa Usalama Barabarani

    Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio hilo lilitokea Septemba 18, 2024, saa 12 jioni katika mkoa wa Mara. Akizungumza kuhusu tukio hilo...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawarudisha Askari Polisi waliotimuliwa kazi

    Mahakama Kuu Tanzania imewarudisha kazini askari polisi watatu waliokuwa wakifanya kazi uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo namba 9432 ya mwaka 2024 iliyokuwa mbele ya Jaji Mtembwa, Mahakama Kuu Tanzania masijala ndogo ya Dar es Salaam ambayo inahusisha maaskari...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Askari Mgambo – (317 positions) at Dar es Salaam City Council September 2024

    Position: Local Militia (317 positions) General Requirements: Tanzanian citizen Completed Form Four or Six Must have a National ID or NIDA number Fluent in Kiswahili and English Physically and mentally fit, confirmed by a government doctor No history of drug abuse Ready to work anywhere within...
  11. Msanii

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi waliohamishwa hivi karibuni bila kupewa fedha ya uhamisho

    Dear Mama Samia, Pole na majukumu ya kulitumikia taifa letu. Kwa heshima na taadhima, naomba kukufikishia kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi ambao wamehamishwa hivi karibuni lakini bila kupewa senti tano ya uhamisho. Kwa upande mmoja, uhamisho huo wa ghafla na usio na posho za uhamisho...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Askari wa Ukraine waliopelekwa Kursk wahoji sababu ya kupelekwa huko wakati Urusi ikifunga njia za kutokea.

    Askari kadhaa wa Ukraine wameonesha dalili za wazi za kujuta na kulaumu uamuzi wa kupelekwa huko wakati wakianza kuzingirwa na majeshi ya Urusi. Kwa mujibu wa askari hao ambao hata majina yao hawakupenda kuwekwa hadharani ni kuwa maangamizi kwao yalianza tangu siku ya mwanzo ya jaribio lao na...
  13. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Magari ya Maji taka yamwaga maji kwenye Makazi ya Polisi Oysterbay

    Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari. Simu yangu ina tatizo la camera, lakini nathibitisha kesho nitapata picha nzuri zaidi. Dereva wa Gari la majitaka anatamba...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa ni hatari zaidi kugombana na askari kuliko mganga, Hawa watu ni ngumu sana kuwajibishwa, Asiesikia ajiandae kisaikolojia

    Navyosema kugombana ni kuingia kwenye 18 zao hata kama wewe hujafanya kosa, jiepushe na mazingira hayo Kwa matukio yanayozidi kuendelea ambayo wengi tunayasikia imekuwa ni wazi hawa watu wana kinga kubwa sana, hata kukiwa na ushahidi uliosambaa nchi nima na watu kwa pamoja kudai haki bado ni...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari wa Tanzania wanaoshiriki Mkutano Nchini Marekani wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha

    Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani. Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari wanatukamata Wafanyakazi wa SGR kisa tumesema Mkandarasi hajaingiza malipo yetu ya NSSF

    Sisi Wafanyakazi wa Ujenzi wa SGR kwa hapa Lot 1 ambayo inahusisha Dar – Moro baada ya kulalamika kuhusu Mkandarasi Mkuu, Yapi Merkezi kuwaondoa watu kazini kwa gia ya likizo huku wakiwa hawatulipi stahiki zetu ikiwemo, malipo ya NSSF, kumeibuka baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi wanatukamata...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Askari aliyeua kwa risasi raia wanaoandana kwa Amani namwita gaidi

    Wasalaam Askari polisi aliyeenda chuo akasoma akaelewa ukakamavu anawezaje kufyatua risasi ya moto na kumpiga mwandamanaji Mtanzania aliyebeba bango? Askari ameapa kulinda raia na mali zao, Je kuwapiga risasi ya vichwa Watanganyika hawa wa simiyu ni haki? Huyo askari ni gaidi, akamate...
  18. yahooo

    JamiiForums Tanzania Msije mkashangaa yule mama Askari akishinda kesi, Nimekumbuka Ile kesi ya zamani ya zombe

    Nawataarifu tu wadau huyu mama Askari anayetuhumiwa kuwatuma vijana kufanyia udhalilishaji Kwa Binti wa yombo anaweza akatoboa kinyume kabisa na matarajio ya wengi: Mfano wa kesi inayotaka kufanana na hii ni Ile ya aliyekuwa bosi wa jeshi la polisi miaka ya Nyumba somebody zombe, alituhumiwa...
  19. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Chombo Huru kichunguze tukio la Binti kubakwa na kulawitiwa, Kauli za Polisi zinatia shaka kupatikana Haki yake

    Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka kuhusu haki ya huyo binti. Baadhi ya Askari wamekuwa wakitoa kauli zinazoonesha wazi kumkandamiza...
  20. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Askari Monument bado tunayo.

    Sanamu ya Askari bado tunayo licha ya ujenzi wa njia ya mwendokasi unaondelea Posta barabara ya Azikiwe Maamuzi mazuri maendeleo yasifanye tukapoteza utambulisho wa Bongo Dar es salaam wengi wetu tumezaliwa tumeikuta, tumekuwa tukiona toka utotoni na tungependa iendelee kuwepo na kutunzwa.
Back
Top Bottom