Nimepita Arusha kuelekea kanda ya ziwa, kuanzia pale KIA (Kilimanjaro International Airport) mpaka nimefika Arusha town hakuna trafiki barabarani.
Zaidi ya kukutana na barrier za Wanajeshi pale Kikatiti na hapa Monduli.
Tena wanajeshi ni wengi sana kuanzia hapo Tengeru mpaka mjini.
Hakuna cha...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Arusha una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (7) ambayo ni
Arusha Mjini
Longido
Karatu
Ngorongoro...
Yani Kila siku unasikia kuna hili mara lile huko alipo Paul Makonda! Hadi sasa bila shaka kuna pesa nyingi zimetumika katika kuyafanya hayo maandalizi ya kumpokea Mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu.
Yani kila nikiangali uupuzi unaoendelea kufanyika hasira za kinyaru zinazidi kupanda kwa hawa...
Gharama zinatumika kubwa sana! Na ninachokiona na kujiuliza je hizi bwebwe zote hizi Makonda anazozifanya katika kampeni hizi pesa zote anazitoa wapi?
Je anahuwakika wa kushinda na baada ya kushinda anauhakika wa kula uteuzi mkubwa wa uwaziri? Na hapo ndipo atakapozirejesha hizo pesa zote...
Mgombea ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amefanyiwa dua ya kumwombea kushinda uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025.
Dua hiyo ambayo pia imeombea amani katika uchaguzi imefanyika leo Jumanne Septemba 9, 2025 katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamuwa Tanzania...
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameteuliwa na Chama chake CCM kuwa mgombea wa Ubunge jimbo la Arusha Mjini kupeperusha bendera ya chama hichi kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Soma Pia: Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini
Mke wa mbunge wa zamani Arusha Felix Mrema kadhulumiwa nyumba na kutupiwa vitu vyake nje.
Licha ya mahakama kuu Arusha kutoa uamuzi wa mgawanyo wa mali kati ya Milka Mrema na mume wake Felix Mrema lakini kazuiwa kuingia kwenye nyumba yake ambayo iliuzwa kwa mmiliki mpya.
Sasa hivi mama huyo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Arusha Mjini kimechukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya jumla ya wanachama kumi na wawili (12), wakiwemo watano waliokuwa bado hawajajiondoa kwenye chama na saba waliokimbia chama kwa kujiunga na vyama vingine wakati mashauri yao ya...
Paul Makonda ameshinda kwa kupata kura zaidi ya elfu 9 ambayo ni sawa na 97% na kuwaacha mbali wenzake kwenye kura za maoni ya ccm kwenye jimbo la Arusha mjini.
Wasiompenda msukuma mwana kolomije Paul Makonda sasa watakuwa nae sana hapo mjni
===============
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Habari za Muda huu
Kila nikiangalia Siasa za Arusha zinaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania. Naomba kuuliza
i. Makonda ana vinasaba gani na Mkoa wa Arusha. Hata kama Arusha kila mmoja ana haki ya kugombea, Makonda amekaa Arusha kwa kipindi gani mbali na kuwa Mkuu wa Mkoa
2. Je! katika...
"Kwa mujibu wa utafiti ulioongozwa na Benki ya Dunia ulikadiria kuwa kuwekeza dola 1 katika maji safi hutengeneza faida ya dola 4 ya kiuchumi kutokana na kupunguzwa magonjwa ya matumbo (diarrhea) na kupoteza uzalishaji kazi ", Huu Ni mfano mzuri wa jinsi huduma rahisi kama maji safi inavyoweza...
Mheshimiwa Mrisho Mashaka Gambo,
Mbunge wa Arusha Mjini,
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa heshima na taadhima, ninayo furaha kubwa kukuandikia waraka huu kama kijana na mkazi wa Arusha, nikiwa miongoni mwa waliothamini kwa dhati utumishi wako wa dhati kwa watu wa jiji letu na taifa...
Nimezaliwa na kukuwa Arusha.
Hakuna uchochoro wa mji ambao kwakweli siufahamu.
Naona Makonda kama mvamizi tu.
Mji haujui, hajui watu wake, matatizo yake na wala hawezi kuyasemea matatizo ya watu wa Arusha kama vile angewasemea watu wa kule kwao koromije.
Arusha kwake ni kama ngazi ya...
Baadhi ya wananchi katika Jimbo la Arusha Mjini wameeeleza nia yao ya kumuona Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Mrisho Gambo akirejea tena katika jimbo hilo kwa kipindi cha mwaka 2025- 2030 ili aendelee kuwasemea wananchi wakimtaja kuwa mfanyakazi hodari na mwenye kuijua vyema Arusha...
Mimi kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya Makonda anaenda kupita mwisho pale bungeni atapewa uwazir wa aina yoyote kama sio uwaziri mkuu mana Majaaliwa kwa za ndani ameshatolewa kwenye mfumo msisahau MAKONDA ndio mtu aliepndeekeza Samia we mgombea mweza wa Magufuli 2015 kwaio mama anahisi bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.