arsenal

An arsenal is a place where arms and ammunition are made, maintained and repaired, stored, or issued, in any combination, whether privately or publicly owned. Arsenal and armoury (British English) or armory (American English) are mostly regarded as synonyms, although subtle differences in usage exist.
A sub-armory is a place of temporary storage or carrying of weapons and ammunition, such as any temporary post or patrol vehicle that is only operational in certain times of the day.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Arsenal yabeba ubingwa wa EPL, baada ya kuukosa kwa miaka 22

    Arsenal have officially been crowned 2025/26 Premier League champions after rivals Manchester City F.C. failed to keep pace in the title race following their draw with Bournemouth on Tuesday night. The result leaves Arsenal Four points clear at the top of the table with just one match...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mpira leo naona utaitendea haki Arsenal: Itapata ubingwa ikiwa imekaa sebuleni!

    Imepita zaidi ya miaka 20 tangu Arsenal iteae ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza. Pamoja na kucheza soka safi la kuburudisha huwa wanaishia kunawa tu! Lakini hatimaye inaelekea soka linaenda kuitendea haki Arsenal itwae ubingwa ikiwa nje ya uwanja. Hadi muda huu Man city kachapwa 1-0. Matokeo...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera ARSENAL kwa kutwaa Ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya kupita Miaka 22

    Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja. Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
  4. JamiiForums Tanzania Dakika/saa chache zijazo Arsenal watatangazwa bingwa wa EPL na siku chache zijazo kuwa mabingwa wa UCL

    🎶🎶Watatii (finale) Watatupenda (finale) Referee (finale) Puliza kipenga (finale) Oooh watatii (finale) Watatupenda (finale) Referee (finale) Puliza kipenga (finale) 🎵.
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe Vale Nafaka ni Shabiki wa Arsenal.

    Mimi siyo shabiki wa hii timu ya Arsenal lakini naiombea ichukue ubingwa wa FA Premier league na Uefa UCL. Ila nimependezwa sana na huyu binti sikujuwa ni shabiki wa Arsenal. Si mwengine bali ni Valentina Gabriel al maarufu Vale nafaka nembo ya taifa mrembo wa taifa binti mrembo mwenye uzuri...
  6. JamiiForums Tanzania Arsenal wazindua jezi mpya ya nyumbani ya msimu wa 2026/27

    Arsenal wanazindua jezi mpya ya nyumbani ya msimu wa 2026–27 kabla ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Champions League final.
  7. JamiiForums Tanzania Machozi, jasho, damu, kukata tamaa,masimango, kejeli na kuendelea kupambana mpaka ubingwa, Arsenal the club, funzo la maisha

    Nitalia arsenal atapo beba ubingwa, hakika hii ni kubwa kuliko, funzo kubwa kwenye maisha linatolewa na arsenal, mara ya mwisho kubeba ubingwa wa epl nadhani ilikua 2003/2004. Ni miaka 22 imepita bila kukata tamaa, wameshindwa sana, hawa kukata tamaa, na sisi sasa tujifunze. hujapata bahati ya...
  8. JamiiForums Tanzania Arsenal tunachambua mchele kabisa

    Tumeshaingia fainal Kishindo kikubwa cha dunia kubeba kombe uefa bila kufungwa
  9. JamiiForums Tanzania Leo Atletico Madrid atamfunga Arsenal na kuingia Fainali ya UEFA. Huu sio utabiri, ndivyo itakavyokuwa

    Habari zenu, Leo nusu fainali ya Uefa itakuwa ndo mwisho wa safari ya Arsenal kwani Atletico ndie atakayeshinda mechi hii, huu sio utabiri ndivyo inavyokwenda kutokea.
  10. M

    JamiiForums Tanzania FT: Arsenal 1 - 0 Atletico Madrid | UEFA Semi Final 2nd Leg | Emirates Stadium | 5 Mei 2026

    Atlético Madrid wanatarajiwa kuwa wageni wa Arsenal katika uwanja wa Emirates, kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League, mchezo utakaopigwa saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Nusu fainali ya kwanza iliyofanyika katika uwanja wa Metropolitano jijini Madrid...
  11. JamiiForums Tanzania Man City anapigwa leo na Everton! Arsenal tunatangaza ubingwa mapema!

    Pickford golini leo hatoruhusu chuma iingie. Beto ataweka chuma tunamaliza mchezo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Atletico Madrid 1-1 Arsenal | UEFA Semi Final First Leg | Riyadh Air Metropolitano | 29 Aprili 2026

    Atletico Madrid wanatarajia kuikabili Arsenal kwenye dimba la Riyadh Air Metropolitano, katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza ya UEFA Champions League, kuanzia saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Mechi ya marudiano (2nd leg) inatarajiwa kupigwa Jumanne Mei 5, 2026 kwenye Uwanja wa...
  13. JamiiForums Tanzania WHAT A SHAME TO Viktor Gyökeres; Arsenal tunatahitaji Mchezaji Bora kwenye lile eneo la Victor better more to use Gabriel Jesus sio hii takataka

    Guys wajinga sio Bongo tu na Mwangosi na Dube wana Role Model wao huku England. I was very FLABBERGASTED a such Professional Player, you turn a clumsy cross while you've an option to score or give a cross earlier before the critical deadlock from the two defenders. Number of goals this season...
  14. JamiiForums Tanzania FT: Manchester City 2-1 Arsenal | EPL | 19.04.2026 | Etihad

    MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️ Uchambuzi wa Mdau: Manchester City Rayan Cherki: Ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha pasi 10 za mabao (assists) katika msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu tangu Dimitri Payet afanye hivyo msimu wa 2015-16. Rekodi ya Nyumbani...
  15. JamiiForums Tanzania Mechi yakuamua Msimu | Man City vs Arsenal | Premier League- Round 33 | Etihad Stadium | 12:30 Jioni

    MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️ Uchambuzi wa Mdau: Manchester City Rayan Cherki: Ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha pasi 10 za mabao (assists) katika msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu tangu Dimitri Payet afanye hivyo msimu wa 2015-16. Rekodi ya Nyumbani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Arsenal -Uganda achachamaa dhidi ya matokeo mabovu, anuia kuishtaki kwa uzembe, na atadai fidia isipoeleza mkakati wa kurudisha kiwango

    Shakibi mmoja wa Arsenal nchini Uganda ameshindwa kuvumilia matokea mabaya inayopata timu na ameichapa notice ya malalamiko na kudai kuwa atachukua hatua za kisheria dhidi ya Klabu, wachezaji wake wa kikosi cha kwanza pamoja na meneja wake Mikel Arteta kufuatia uchezaji usiokubalika dhidi ya...
  17. JamiiForums Tanzania FT | Arsenal 1-2 Bournemouth | EPL | 11.04.2026 | Arsenal washikwa Bega na Bournemouth

    Arsenal, ambao ni vinara wa Ligi Kuu England (EPL), wamepoteza mchezo huo kwa mabao 2-1 dhidi ya Bournemouth katika dimba la Emirates. Matokeo hayo yanaifanya Arsenal kubaki na alama 70 baada ya kucheza michezo 32, huku wapinzani wao wa karibu, Manchester City, wakiwa na alama 61 na michezo 30...
  18. JamiiForums Tanzania Wachezaji 9 wa Arsenal wajiondoa kwenye Timu za Taifa kisa Majeraha

    Wachezaji tisa wa Arsenal sasa wamejiondoa kwenye majukumu ya timu zao za taifa. Orodha hiyo inajumuisha William Saliba, Gabriel Magalhães, Leandro Trossard, Jurriën Timber, pamoja na Eberechi Eze, Bukayo Saka, Declan Rice, Noni Madueke, na Piero Hincapié Bado haijawekwa wazi watakaa nje ya...
  19. JamiiForums Tanzania FT | Arsenal 0-2 Man City | Fainali Kombe la Carabao | Wembley | Man City Bingwa!

    Leo katika dimba la Wembley inapigwa fainali ya Kombe la Carabao. Arsenal (The Gunners) dhidi ya Manchester City (The Citizens). Arsenal mara ya mwisho kubeba Kombe ilikuwa msimu wa 2019/2020 hivyo wana miaka sita bila Kombe. Je, leo watatwaa Kombe hili ama tabu kuendelea? Mchezo huu...
  20. JamiiForums Tanzania Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL haya yatatokea.

    Endapo Arsenal itatwwa ubingwa wa EPL mambo mengi yanaweza kutokea/kubadilika. Haya 👇ni baadhi tu. 1. Paul kagame atakuwa kibonge maana Arsenal ndo club aioendayo duniani. 3. Mashabiki wa manjesta unaited watazidi kukonda japokuwa uwezekano wa wa kumaliza kwenye top four ni mkubwa kwao. 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…