Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF