Hamjambo wote!
1. Nimemsikia RC Mtaka akiongea Siku ya wanawake. Akijaribu kuikosoa kauli nyuma ya Kila mafanikio ya Mwanaume kuna mwanamke.
2. Anthony Mtaka kauli hiyo aliikosoa vikali kauli hiyo kwamba ni upotoshaji, uongo, na sifa za kilaghai wanazopewa wanawake.
3. Huku akisema...
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Hassani Iddi Mwamweta anaongoza ujumbe wa wakulima na wafanyabiashara kutoka Tanzania unaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Matunda na Mbogamboga ya Fruit Logistica 2026 yanayofanyika Berlin kuanzia Februari 03 hadi 06, 2026.
Ujumbe huo unajumuisha Mkuu wa...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewataka wananchi wa Mkoa wa Njombe kuendelea na shughuli zao bila hofu yoyote
Ameyasema hayo Novemba 6,2025 wakati akizungumza na Wafanyabiashara wa Makambako Mkoa wa Njombe na kuwataka kuendelea na shughuli zao za kiuchumi bila hofu yoyote kwani vyombo...
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ameonya tabia ya watumishi wa umma wanaopanga ushuru mkubwa wakiwa wamekaa maofisini bila kujua shida wanayopata wawekezaji na kisha kumtaka kila mtumishi awekeze ama afanye biashara ili anapopanga ushuru ajue shida za walipa kodi kwa uhalisia .
Mtaka...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka akiwa anaongea hivi karibuni amesema kuwa anamkubali Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kwa kuwa anaweza kutoa mawazo yake bila uoga
“Luhaga Mpina ni Mbunge Mzuri sana, anatoa mawazo yake, na uzuri wa Chama cha Mapinduzi haifungi mawazo ya Mtu”
Ukimfuatilia Mtaka utagundua ni aina ya wale watu wanaotafuta UMAARUFU kwa kutoa maneno yanayowafurahisha watu na kutafuta mifano mingi na kuizungumza kwenye jamii/ mikutano.
Na mwisho wanajizolea umaarufu kuwa ni viongozi mahiri sana. Ukija kwenye matokeo ya nafasi za uongozi unakuta hakuna...
Anthony Mtaka: "Hawa Ma-DC wanafanya kazi kubwa kutatua kero, ni vile hawana ma TV tu."
Kheri James: "Tutenge muda wa kutatua kero na si kusikiliza kero"
Ushauri wangu kwa raisi ni "unahitaji mtu kama Mtaka kuongoza tume ya mipango ndipo uongozi wako utaleta mabadiriko chanya katika jamii"
Shida kubwa ya wataalamu wengi hukimbilia kwenye formula, kanuni n.k lakini hawajui wanatakiwa kuanzia wapi na kuishia wapi.
na kuna watu wako na very good...
Mtaka ulitokea hadharani kupinga, kumshutumu na kumuaibisha waziri wa elimu Prof.Ndalichako kwa sababu ya kuzuia makambi.
Ukaenda mbali kwa kusema unapuuza maagizo yake na utafanya vile mkoa wa Dodoma mnataka kufanya.
Sasa hivi kauli ya Ndalichako imetolewa na Ummy Mwalimu, na kapiga marufuku...
"Usije kufanya siasa kwenye chanjo, uhai wako sio mali ya Kanisa lako, utakufa Kanisa lipo, uhai wako sio mali ya Serikali, utakufa Serikali ipo, uhai wako sio mali ya Msikiti, uhai wako ni mali yako mwenyewe, nenda kachanjwe”———RC Mtaka
Katika Taifa lolote lile lililo huru si ajabu kuona majukwaa mbalimbali yakishiriki katika mijadala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi.
Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuibua hoja nzito na nyingi juu ya Taifa letu la Tanzania licha ya kwamba Kuna wakati inapigwa vita.
Kama ambayo...
Kiufupi RC Mtaka ni mtu anayeamini katika kufurahisha watu washangilie kwa muda baadae kombe linafunikwa mwanaharamu anapita bila mabadiliko kutokea au kufanyika. RC ni mtu anayejijenga kupitia mitandao ya kijamii kwa lengo la umaarufu bali si utendaji.
Nashangazwa sana ni kwa namna gani...
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.
Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize...
Dkt. HASHIL, RC MTAKA NA MBUNGE MAVUNDE WAWASHUSHIA NEEMA MAFUNDI CHEREHANI
Mkutano mkuu Umoja wa mafundi cherehani wa mkoa wa Dodoma (UMACHEDO) umefanyika jana katika hoteli ya Dodoma kwa mafanikio makubwa huku ukihudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda...
Huyu mkuu wa mkoa wa Simiyu angefaa sana katika hii wizara.
Kwanza sio mpenda kiki za kijinga.
Hapendi kabisa walimu waonewe au wadhalilishwe. Ana maono na anajua namna ya kutreat wafanyakazi ili kuboresha Elimu.
Mtaka haamini katika Majengo na vifaa pekee.
Mtaka Ana amini katika walimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.