CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,729
- 5,919
Huyu mkuu wa mkoa wa Simiyu angefaa sana katika hii wizara.
Kwanza sio mpenda kiki za kijinga.
Hapendi kabisa walimu waonewe au wadhalilishwe. Ana maono na anajua namna ya kutreat wafanyakazi ili kuboresha Elimu.
Mtaka haamini katika Majengo na vifaa pekee.
Mtaka Ana amini katika walimu, wanafunzi, wazazi na miundombinu.
Tofauti na itikadi za viongozi wengi ambao hujisifia Majengo na madawati na Kisha kudhani hao watoto watajifundisha wenyewe.
Mtaka ameweka motisha kwa walimu katika mkoa wake. Hii inachangia walimu kufanya kazi kwa kujituma.
Unaweza kuangalia alipoikuta simiyu na Sasa ikoje katika matokeo.
Ni wazi kuwa huyu mheshimiwa angesaidia sana Elimu Yetu.
Waziri aliyeko anafanya kazi ipasavyo lakini binafsi naona amefeli katika baadhi ya Mambo.
1. Kushindwa kushirikiana na waziri wa tamisemi na utumishi kuhakikisha walau walimu wanapanda madaraja kwa wakati.
2. Kufanya utafiti na kuboresha elimu ili angalau wanaomaliza vyuo waweze kujiajiri.
3. Kuwezesha masomo ya sayansi kwa vitendo na kufanya majaribio mbali mbali shule za sekondari badala ya kujibia mtihani pekee, hili kafeli