Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amesema haiwezekani kuwazuia vijana kuandamana wanapokuwa na hasira zinazotokana na kero mbalimbali zinazowakabili katika jamii.
Akizungumzia matukio ya Oktoba 29, Prof. Tibaijuka alisema yaliyotokea yalikuwa janga kubwa, huku akihoji...