anna tibaijuka

Anna Kajumulo Tibaijuka (; born 12 October 1950) is a Tanzanian politician and United Nations official. She was a Chama Cha Mapinduzi (CCM) Member of the National Assembly for Muleba South constituency during 2010 to 2020 and served as the Minister of Lands, Housing and Human Settlement Developments from 2010 to 2014.
Tibaijuka is also a former Under-Secretary-General of the United Nations and executive director of the United Nations Human Settlements Programme (UN-HABITAT). She was the second highest ranking African woman in the UN system, after Deputy Secretary-General Asha-Rose Migiro, until her resignation in 2010 to run for political office in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Troll JF

    Professor Anna Tibaijuka hana Moral Authority kuisema Serikali

    Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin...
  2. Waufukweni

    Prof. Tibaijuka: Nilipendekeza iundwe Tume ya Kijaji, ingepunguza kelele za ICC kuliko tume ya Rais matukio ya Oktoba 29, 2025

    "Rais alisema ataunda tume jambo jema kabisa na mimi nikaona kwa uzoefu wangu tuunde tume ya kijaji, ukienda Kwenye account ya X utaona kwamba nilipendekeza i iundwe tume ya kijaji. Sasa kama ilivyo mambo mengi labda haikueleweka tangu Tanzania iundwe haijawai kuunda na tume ya kijaji...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Prof. Anna Tibaijuka: Mikataba kutopelekwa Bungeni ni madhambi

    Wakati akihojiwa na Crown Tv Prof. Anna Tibaijuka amesema Mikataba yote inahusu Rasilimli za Taifa inapaswa kupelekwa Bungeni lakini isipopelekwa ni madhambi” Soma Pia: Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta taifa pamoja na kiongozi wa upinzani yuko gerezani
  4. Waufukweni

    Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani

    Mwanasiasa mkongwe Prof. Anna Tibaijuka, akizungumza na Salim Kikeke kwenye Kikao Na Kikeke, anaeleza kuwa ni ngumu kulileta pamoja taifa wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani.
  5. DuaZaMama

    PostGE2025 Anna Tibaijuka: Tusimpe Shetani nafasi ya kutugawa kupitia propaganda za Udini kwa kuwatuma vijana kushambulia viongozi wa dini

    Mbunge wa zamani wa Muleba Kusini na waziri wa Ardhi katika serikali ya awamu nne Prof. Anna Tibaijuka kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Anaandika; "Wakati tunasubiri Tume ya Uchunguzi kutupa taarifa na majibu ya kina kuhusu mauaji ya 29 Oktoba, uwajibikaji stahiki na mbinu za kuliponya taifa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Anna Tibaijuka: Utekaji bila kukomeshwa utazaa ugaidi. Mtu akikosea apelekwe Polisi na Mahakamani

    Kiuhalisia Tanzania imeendelea kuwa ngumu sana! Vitisho na hofu kwa wananchi zimekuwa kubwa sana Unaogopa kusema kitu kwa hofu ya kutekwa Mungu atusaidie sana tuondoke huku. Mama Tibaijuka naye kasema ukweli mtupu maana matukio ya namna hii ni lazima tu yatazalisha ugaidi mkubwa sana na hata...
  7. Waufukweni

    KUMBUKIZI | Prof. Anna Tibaijuka: Mtu ukiwa mwadilifu, ku-survive ni ngumu sana, mizengwe itatafutwa tu

    Profesa Anna Tibaijuka akizungumza kupitia Wasafi TV, Januari 24, 2025 alisema, "Tumefikia mahali ambapo Mtu ukiwa mwadilifu, ku-survive ni ngumu ni ngumu sana, mizengwe itatafuta tu"
  8. britanicca

    Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

    Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu...
  9. The Burning Spear

    Prof. Anna Tibaijuka: Ukiwa muadilifu serikali ya CCM lazima utengenezewe zengwe

    Namwona huyu mama kimwili ni CCM ila ndani ya moyo wake ni No reform No election..msikilize hapa.
  10. JanguKamaJangu

    Profesa Anna Tibaijuka: Serikali inahitaji kukosolewa, sio unaenda Bungeni unabaki kupiga makofi tu

    Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema ukiwa ni mtu wa kupiga makofi tu Bungeni huisaidii serikali Akizungumzia kuhusu demokrasia na chimbuko lake Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka amegusia sakata la Katiba mpya nchini Tanzania kwa kusema ''Vijana mtachoka sana kuja kusubiri katiba mpya''...
  11. JanguKamaJangu

    Profesa Anna Tibaijuka: Mgombea Mbinafsi aruhusiwe katika Chaguzi za Tanzania

    Akigusia siasa nchini Tanzania, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema mfumo wetu kwa sasa unatambua wagombea kutokana na vyama vyao ni wakati sasa mfumo uruhusu wagombea binafsi Kuhusu sakata la machafuko nchini Congo Profesa, Anna Kajumulo Tibaijuka anasema Tatizo ni serikali ya nchini...
  12. Crocodiletooth

    Anna Tibaijuka: Kuchukua umeme kutoka vyanzo mbalimbali nafuu, ni kwa usalama wa Taifa letu

    Ameandika prof. Anna tibaijuka katika ukurasa wake wa X: UMEME KUTOKA ETHIOPIA (km 1500) HADI ARUSHA UNAKUWAJE RAHISI KULIKO WA KUTOKA RUFIJI (Km 650)? Taarifa hii ilitushangaza na hata kutushtua wengi. Nikaona nijielimishe kwa wahusika Wizarani. Nikaelezwa umeme utanunuliwa kutoka Station ya...
  13. Mr Why

    Ushauri: Rais Samia mpe kazi Prof. Anna Tibaijuka, ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi

    Ushauri wangu kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia ampe tena kazi Prof Anna Tibaijuka kwasababu ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi akili kubwa kama hii isistaafu mapema Prof Tibaijuka ana uwezo mkubwa sana wa masuala ya utumishi vilevile anaweza kuwa kama mama mwenye busara Kwa miaka...
  14. J

    Profesa Tibaijuka: Trump kusitisha misaada ARVs zitaadimika Afrika. African Union iitishe kikao maalum kuweka mkakati

    Mbunge wa zamani wa Muleba, Prof Tibaijuka amesema kitendo cha Rais Trump wa US kusimamisha msaada ya kimataifa kitaleta Kiama Tanzania na Afrika Pia soma > Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika Trump amezuia misaada ya sekta za afya...
  15. D

    PreGE2025 Prof. Anna Tibaijuka asikilizwe kuhusu Mgombea Binafsi. CCM iache woga na udikteta

    Bandugu, msomi mwenye degree 15 Prof. Tibaijuka amekuja na hoja ya mgombea binafsi katika chaguzi zetu. Prof amejenga hoja kwamba kulazimisha watu kujiunga na vyama vya siasa ni udikteta wa kivyama na hasa CCM kama chama tawala. Prof anatolea mfano wa magwiji wa demokrasia duniani, Marekani...
  16. W

    Prof. Tibaijuka: Utaratibu wa Mgombea Binafsi utaimarisha vyama vya siasa nchini

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muleba Kusini na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema kuzuiwa kwa mgombea binafsi nchini kumeifanya Tanzania kuwa na demokrasia ya udikteta wa vyama. Ameyasema hayo leo Septemba 14, 2024 alipokuwa akitoa mada ya ushiriki wa wanawake...
  17. R

    Prof. Anna Tibaijuka, ulikaa kimya wakati unahudumu katika Serikali kandamizi ya hiki unachokikemea sasa kulinda maslahi yako, na sasa kaa kimya!

    Wenye akili hatutakusikiliza! Ulikuwa sehemu ya mfumo kandamizi, hukusema lolote ukitetea kwenda "chooni". Leo usitudanganye, ni kwa vile uko nje ya mfumo, lakini huna dhati ya moyo kutetea haki! Kama ulikubali kushirikiana na wauaji wa wakati ule, leo nyamaza! Nyamaza kabisa, wahutubie hao...
  18. P

    Rushwa Ilivyo Muharibia Prof. Anna Tibaijuka

    Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano duniani. Ila nyota yake ilizimwa kama mshumaa baada ya yeye kuingia kwenye siasa. Kutokana na uchapa...
  19. J

    Profesa Tibaijuka: Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ila limeshindwa kuregulate mafuriko!

    Waziri wa zamani wa Ardhi ameandika ukurasani X kwamba Mafuriko ya Rufiji hayajasababishwa na Bwawa la Mwalimu Nyerere lakini pamoja na kuzalisha Umeme Bwawa lilitakiwa kuregulate mafuriko Limeshindwa Tibaijuka amesema Tudai kujua kwanini na kurekebisha tukitambua Hasara ya kutekeleza miradi...
  20. Mjanja M1

    PreGE2025 Anna Tibaijuka: Kimfumo uwezekano wa kutangazwa mshindi ukitokea upinzani haupo

    Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Anna Tibaijuka, ametoa pole kwa familia ya aliekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa. "Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo...
Back
Top Bottom