angela kizigha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Fisadi Angela Kizigha tunamtaka, tunamtafuta.

    Jamani tusaidieni kutupa location alipo Angela Kizigha. Fisadi hilo mama. Lazima tulitembelee
  2. Agent-47

    Nimejaribu kum search Mtoto wa Angela Kizigha kwenye mtandao unao track import/export ya magari. Mmh!

    Mtandao wa Singapore wa tradedata una taarifa lukuki kuhusiana na mambo ya trade na shiptments mbali mbali. Kwa wanaofanya biashara international wanautumia sana. Basi nimeweka jina la mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Angela Kizigha (mpambe mpendwa wa mama). Katika miezi ya hivi karibuni, ameingiza...
  3. The Burning Spear

    Audio: Magufuli akiviagiza Vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua aliyelipwa mabilion ya pesa kuhusu sare za polisi

    GT Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa. Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..
  4. Zanzibar-ASP

    Huenda Ufisadi wa tenda ya sare za Polisi Anjela alikuwa mbuzi wa kafara tu

    Hakuna mtu wa kawaida kuweza kupata tenda nzito nzito za majeshi bila mkono wa mwanasiasa mkuu katika nchi. Haya ni maswali muhimu. 1. Anjela alipataje pataje ile tenda ya ununuzi wa sare za Polisi kirahisi rahisi hivyo? 2. Anjela alipataje ujasiri wa kuvuta mpunga mrefu vile na kupotea nao...
  5. econonist

    Angela Kizigha ndio Nyota wa mchezo.

    Kwa mujibu wa Polepole huyu Angela Kizigha anaonekana ni untouchable. Kwamba Madam Kizigha alikuwa ana kesi ya ufisadi wa kusambaza sare na vifaa vya jeshi la polisi na alikuwa akamatwe na kushtakiwa kwa ufisadi. Ila baada ya kifo Cha Magufuli hakukamatwa Wala kufunguliwa mashtaka. Cha...
  6. Chachu Ombara

    Polepole: Angela Kizigha alituhumiwa kwa ufisadi sare za Polisi, sasa hivi yupo ofisi binafsi ya Rais

  7. Nobunaga

    Watoto wa vigogo CCM wapenya ubunge EALA

    Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha majina manane kati ya 26 kwenda kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala). CCM inaungana na vyama vya ACT-Wazalendo na Chama cha Wananchi (CUF) kuhitimisha michakato ya ndani ya kuwapata wagombea wa nafasi hizo. Katika Bunge la Eala...
  8. B

    Tenda Majeshini: Angela Kizigha (Mbunge) anapata wapi audacity ya kutapeli/kuibia Jeshi la Polisi/Serikali zama hizi?

    Nilidhani zama hizi za Magufuli watu sote watakuwa wamenyooka na hasa ndani ya CCM Lakini wapi! Je tunaweza kujua who is behind this project (Angela Kizigha)? Na hao ma Godfathers wake wataendelea kumlinda mpaka lini? Sitaki kuamini kuwa Mheshimiwa Rais ata vumilia mafisadi kama huyu mama...
  9. Escobar

    Just for my info, mwenye CV ya Angela Kizigha please!

    Najua waliopiga kura (Wabunge) wamezingatia vitu vingi sana kumchagua mgombea yeyote aliyeshinda, huyu mama ameshinda kwa kura nyingi sana so am interested to know her in details hivyo kama kuna mwenye kumfahamu naomba nami nijue ueledi wa mwakilishi wetu huyu anayeenda kupambana na kina...
Back
Top Bottom