android

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu nataka nihamie iPhone, nasubiri iPhone 12. Je, nitakosa nini cha Android?

    Mimi ni mpenzi wa Android hasa Samsung miaka mingi na napemda sana hizi high end devices zake. Ila Samsung ananiangusha kitu kimoja tu, Camera, 📷 yake sio nzuri sana kulinganisha na hata simu za kawaida za Pixel za Google, hata leo wame-launch Note 20 ila sioni kitu cha maana kipya. Product za...
  2. JamiiForums Tanzania Fahamu usiyoyajua kuhusu Imei namba ya simu yako

    IMEI NUMBER NI NINI? IMEI ni kifupi cha " International Mobile Equipment Identity". Hii ni number ambayo inatumiwa kukitambua na kutofautisha vifaa ambavyo vinatumia cellular network. Cellular network ni network ambayo unatumia kupiga simu au kuunganishwa na internet. Kwa simu zenye sim card...
  3. H

    JamiiForums Tanzania How to install Ogwhatsapp on Android

    Hi everybody, - I started using an android phone, I want to use the ogwhatsapp application on my new android phone but have not yet known where to download and install it for safe, easy and best. - I did my own research online, there were so many versions provided and so much information that...
  4. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza bidhaa mbalimbali, Tunapatikana Kariakoo Ndanda st

    Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa Ni imara na haikati misumeno Ina watts 550 Ina sehemu ya kusagia nyama Ina warranty mwaka mmoja Bei 1,350,000 tu Tunapatikana kariakoo ndanda st Tunadeliver free kwa dar pia. Call/text/WhatsApp 0656666662.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa iphone na simu za Android

    Wakuu hivi utofauti wa simu ya I Phone za simu za android kama Samsung,Oppo ni upi? Je, i Phone yenye Storage ya 16GB inaweza ikawa tofauti na Samsung yenye storage ya 16 GB Hapa nazungumzia utofauti kwenye jinsi inavyofanya kazi na uwezo wa kuhifadhi mafaili Achana na suala la chaji na...
  6. JamiiForums Tanzania Tujadiline kuhusu ujio wa toleo la Android 11

    Salaam wadau, Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii habari ya ujio wa "Android 11" sasa najiuliza hawa Google vipi, Mbona Updates kila baada ya kipindi kifupi? Binafsi hii inafanya kwa upande wa simu kuwa outdated haraka sanaa. Leo hii simu ya Android ya miaka 5 iliyopita...
  7. JamiiForums Tanzania Blackberry walikwama wapi (utawala wa iphone & android)?

    Brackberry moja ya kampuni iliyouza smartphones kwa sehemu kubwa ya dunia. Unaikumbuka app ya BBM ilivyokuwa inaelekea kuipeteza facebook. Ilifika hatua brackbeery ilikuwa na marketshare ya zaidi 50% marekani na 20% duniani, unajua ukiliteka soko la US kwa kiasi hiki basi hata huko kwingine ni...
  8. JamiiForums Tanzania Developer anayefanya sybmission ya kwenye playstore na appstore anahitajika

    Habari wanajamvi, Kuna wadau nimekutana nao hapa Ionic Woocommerce - Themes-Coder Wanafanya kazi nzuri sana. Sasa kuna mteja alitaka kusubmit app yake, na hana ios/playstore credentials. Sasa kama unaweza kusaidia katika hili, tuonane inbobo. Asanteni, na jumapili njema
  9. JamiiForums Tanzania Je, naweza ku update Android mpya kutoka kwenye android 7.0?

    Swali langu ni hili wakuu: Naweza kuweka Android mpya version iliyotoka kwenye simu ya Android 7.0 mfano tecno wx4 na kadhalika? Na je, system ya simu yako ikiwa inataka ufanye update update inakuja ikiwa features gani? Interface, UI?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

    MAANA YA ku-ROOT ku-ROOT maana yake ni kuweza kupata uwezo au access ya system files zilizopo kwenye simu yako ambazo kwa kawaida zinakuwa zimejificha au kuzuiwa kwa mtumiaji ili asiweze kuzifikia , kwa kiingereza naweza kusema its an ability to obtain administrative access or rights on the...
  11. JamiiForums Tanzania INAUZWA TABLET inauzwa

    Jipatie tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha, inakwenda kwa bei ya 100,000 mazungumzo yapo. Napatikana Mbeya nicheki kwa 0767142928 karibu tufanye biashara.
  12. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata Android 10 kwenye Samsung

    Wale watumiaji wa Android OS, leo nimefanikiwa kuupdate kwenda Android 10 kutoka Android 9 (pie). Nimeona tu kwenye simu yangu notification ya new software updates. Bado sijaanza kuifurahia ila mwanzo tu naona iko poa.
  13. JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako... Mi naanza na mobdro app noma sana Link ya kudownload MOBDRO Charlie mobdro.apk ============
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini ni muhimu ku-restart simu yako angalau mara 1 kwa wiki

    Ni wazi kuwa smartphone zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku kiasi kwamba pale simu yako inapokuwa imezima angalau kwa dakika chache unakuwa na wasiwasi wa kushindwa kufanya mambo yako ya kila siku. Lakini ni kweli kwamba “kila kitu huchoka” nahisi hii ni sababu ya wewe kuendelea kusoma...
  15. JamiiForums Tanzania Software development and graphics design services

    Karibu, Tunatoa huduma zifuatazo kwa bei nafuu: 1. Graphics design a. Logo Design b. Brochure Design c. Banner Design d. Flyer Design e. Products Brand Design f. Software Layout Design 2. Software Development a. Website Design and Development b. Blog Design...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Use samsung health on a rooted device

    How to Use Samsung Health on a rooted device
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…