android

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Aftermarket Accessories (Dashboard & Android TV) kwa BMW 3 series za miaka ya nyuma.

    Habari za mda Wana jukwaa, Naomba tupeane madini /maoni, hasa kwa wajuzi na Wamiliki wa BMW 3 series sedan (hasa za kuanzia 2011 kurudi nyuma). Kumekuwa na trend ya kufunga aftermarket Accessories kama...
  2. JamiiForums Tanzania Audio player nzuri kwa simu za Android

    Je kuna offline audio player nzuri kushinda hizo hapo juu zenye user face nzuri na quality nzuri ya muziki kushinda poweramp player...kama zipi basi unaweza kuzitaja hapo chini....Kwangu Poweramp na oto player ni best
  3. JamiiForums Tanzania Walichoshindwa Apple kutoka kwenye simu za Android

    Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini ๐Ÿ™‚. Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi kuzifunga apps zote alizozifungia kwa wakati mmoja kutokana na Mfumo wa iOS ulioundwa kuweza kudhibiti...
  4. JamiiForums Tanzania Google imeleta feature mpya inaitwa Simu ya dharura kwa watumiaji wa Android

    Kama unatumia simu ya android Kuna feature mpya inakuja upande wa phone ambapo Google wametambulisha kinaitwa "Urgent calling" kwenye Simu za Android. Kupitia skrini ya kupiga simu utaweza kuona feature mpya ya Call Reason - Mark as Urgent inakupa nafasi ya kumjulisha / kumwambia Mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Jolla imezindua simu inayotumia mfumo wa Linux

    Kampuni ya Jolla imetambulisha simu mpya yenye kutumia Mfumo wa linux inayofadhiliwa na jamii oda ya awali ni Euro โ‚ฌ499 mpaka kufikia Euro โ‚ฌ599. Jolla ni kampuni ya Teknolojia inajulikana zaidi kwa kutengeneza Mifumo endeshi wa Sailfish Os, ambao kwa sasa wamehamua kuweza kutengeneza kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Vita ya Android na iPhone imefikia tamati sasa

    Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone. Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kama unatumia samsung hauko salama tena

    Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa. App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa...
  8. JamiiForums Tanzania ๐—”๐—ป๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฑ ๐—ป๐—ฎ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ฏ๐—ถ๐—ป๐—ด๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—ฐ๐—ฎ๐—น๐—น

    Baada ya miaka mingi kupitia hatimaye Google wamefanya Mabadiliko kwenye app ya phone call kwa Watumiaji wa simu za Android. Lakini pia kwa Watumiaji wa iphone walifanyiwa Mabadiliko kupitia ios 26 , lakini mpaka leo ๐Ÿ˜Œ mtumiaji wa simu ya iphone akipigiwa simu hakuna sehemu ya kukata ๐Ÿ˜ au...
  9. JamiiForums Tanzania Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

    Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
  10. JamiiForums Tanzania KIOO CHA SIMU ZA ANDROID KUWEKA UFA BILA SABABU

    Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake. Ukiangalia maduka mengi ya...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa android Tv kuperuzi Netflix

    Habar za mda huuu wakuu Kwa watumiaji wa android Tv naomba kuuliza aiseh nmenunua smart tv na lengo langu nlikuw napenda kutumia Netflix ila kuna kipengele nikiwa nafungua Netflix inaniletea get started afu kwa pembeni kuna log in ila sasa nabonyeza kila pande nashindwa sehem ya kupitia...
  12. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  13. JamiiForums Tanzania Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

    Je, unatumia kifaa cha Android? Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu? Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu anaeweza kutengeneza android app kwaajili ya delivery

    Nahitaji mtu ambae anauwezo wa kutengeneza app kwaajili ya delivery mwenye uzoefu na awe tayari kunionesha kazi zake pia bei iwe rafiki
  15. JamiiForums Tanzania Kama unatumia Simu aina hii inabidi ufanye update kwenda android version 15

    Baada kucheleweshwa kwa muda mrefu kuachiwa kwa update ya Android version 15 kwenye baadhi ya vifaa vya Samsung device hatimaye wametoa list la simu inabidi wafanye update kupata android Version 15 kwenye vifaa vyao. Update hiyo mpya sio kwamba kutakua na mabadiliko Makubwa hapana ila sana...
  16. JamiiForums Tanzania This is where the beef between Iphone & Android started

    Tuelezane watu wazima hapa nani ni mkorofi kwenye biashara ya mwenzake. Iphone Vs. Android
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba mnasadie na kwa namna gani naweza kupata verification notification to my android. Nimeshindwa kabisa kulog in kwa accout zangu zote

  18. E

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Brand New Smart Android Google Tv available

    Wakuu TCL 75" QLED Android Google Tv available now โœ… Model C655 ๐Ÿ”ฅ Ram 2GB Internal Storage 32GB ๐Ÿ”ฅ Model Year 2024 ๐Ÿ”ฅ Offer Price 2.800,000/- TU CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 Location Kkoo
  19. JamiiForums Tanzania Elon Musk ameamua, iPhones na simu mahiri za Android sasa zinaweza kutumia satelaiti zake kupiga simu popote pale Duniani

    Elon Musk aendelea kutembeza bakora kwa makampuni ya simu Baada ya kuleta mageuzi katika ufikiaji wa mtandao wa kimataifa, Starlink ya Elon Musk iko tayari kupeleka muunganisho wa simu mahiri kwenye kiwango kinachofuata. Huduma hiyo kabambe ya setilaiti hivi karibuni itawawezesha watumiaji...
  20. JamiiForums Tanzania Je inawezekana ku upgrade Android 8 kwenda Android 11?

    Naomba wataalam mnijuze. Kwa simu ya Oppo R9 Plus
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ