android

  1. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  2. JamiiForums Tanzania Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

    Je, unatumia kifaa cha Android? Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu? Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu anaeweza kutengeneza android app kwaajili ya delivery

    Nahitaji mtu ambae anauwezo wa kutengeneza app kwaajili ya delivery mwenye uzoefu na awe tayari kunionesha kazi zake pia bei iwe rafiki
  4. JamiiForums Tanzania Kama unatumia Simu aina hii inabidi ufanye update kwenda android version 15

    Baada kucheleweshwa kwa muda mrefu kuachiwa kwa update ya Android version 15 kwenye baadhi ya vifaa vya Samsung device hatimaye wametoa list la simu inabidi wafanye update kupata android Version 15 kwenye vifaa vyao. Update hiyo mpya sio kwamba kutakua na mabadiliko Makubwa hapana ila sana...
  5. JamiiForums Tanzania This is where the beef between Iphone & Android started

    Tuelezane watu wazima hapa nani ni mkorofi kwenye biashara ya mwenzake. Iphone Vs. Android
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba mnasadie na kwa namna gani naweza kupata verification notification to my android. Nimeshindwa kabisa kulog in kwa accout zangu zote

  7. E

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Brand New Smart Android Google Tv available

    Wakuu TCL 75" QLED Android Google Tv available now ✅ Model C655 🔥 Ram 2GB Internal Storage 32GB 🔥 Model Year 2024 🔥 Offer Price 2.800,000/- TU CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 Location Kkoo
  8. JamiiForums Tanzania Elon Musk ameamua, iPhones na simu mahiri za Android sasa zinaweza kutumia satelaiti zake kupiga simu popote pale Duniani

    Elon Musk aendelea kutembeza bakora kwa makampuni ya simu Baada ya kuleta mageuzi katika ufikiaji wa mtandao wa kimataifa, Starlink ya Elon Musk iko tayari kupeleka muunganisho wa simu mahiri kwenye kiwango kinachofuata. Huduma hiyo kabambe ya setilaiti hivi karibuni itawawezesha watumiaji...
  9. JamiiForums Tanzania Je inawezekana ku upgrade Android 8 kwenda Android 11?

    Naomba wataalam mnijuze. Kwa simu ya Oppo R9 Plus
  10. JamiiForums Tanzania Pentesting; Jinsi ya kuexploit na kuaccess Free Unlimited Internet kwenye Android na iOS kwakutumia Tunneling Apps.

    Hello Ni wakati sasa tunajifunza jinsi ya kutafuta loopholes kwenye ISP yeyote unayehitaji, katika makala hii tuenda kujifunza jinsi Gani tunaweza tumia udhaifu wa ISP na kupata free internet access unlimited na capped (yenye ukomo) N:B; huu Uzi ni Kwaajili ya elimu pekee na sio vinginevyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Application yangu hii hapa kwa sasa ni ya android ipo testing naomba ushauri wako..

    Hello wakuu nimetengeneza application ya simu inayohusiana na Real estate jisajili tumia weka comments...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Google inaachana na Chromebook na laptop zao zitaanza kutumia Android

    Hii ni kushindana vizuri zaidi na iPad za Apple ambazo inatawala soko la tablet na kuongeza ufanisi kwa kuwa na OS moja ambayo inafanya kazi kote simu, tablet, laptop, tv, magari etc. Kazi hii itachukia miaka kadhaa na Chrome itabadilika pole pole kuwa Android...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Android Masada tafadhali

    Habari wadau. Kuna hii simu yangu Aina ya Samsung, nahitaji msaada namna ninaweza kuondoa hii option ya message nibakiwe na moja. Ninayohitaji kuondoa ni hiyo niliyoweka alama ya X Asante
  14. JamiiForums Tanzania Android tv box yenye channel zote za michezo habari na burudani..

    Nauza android tv box yenye iptv account, Unapata channel zote zaidi ya 9000+ premium kuanzia super sport, canal sport, na bein sport, channel za watoto habari na music zote live mechi zote live ligi zote kubwa.. Movies na series zaidi ya 30,000+ kwa kutumia wifi internet yako hapo home au...
  15. JamiiForums Tanzania Android users tuna kikao cha dharura

    Habari Wakuu, Kama ilivyo kwa simu za Google Pixel 4a na 4a 5G kuzima ghafla, pindi unapozipeleka kwa fundi jibu linakuwa kuwa "mashine imekufa." Niko na Google Pixel 4a 5G ambayo imezima ghafla, na nilipopeleka kwa fundi, jibu lilikuwa kama kawaida: mashine imekufa. Ikiwa kuna JF member...
  16. JamiiForums Tanzania NAUZA ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACCOUNT YENYE CHANNEL ZOTE ZA DSTV MOVIES NA SERIES

    ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACC.. INA CHANNEL ZOTE ZA DSTV ZA MICHEZO, BURUDANI, HABARI, MUSIC.. SUPER SPORT ZOTE LIVE.. KAMA UNA INTERNET NYUMBANI AU OFISINI HAUNA HAJA YA DIKODA WALA MALIPO YA MWISHO WA MWEZI.. channel zaid ya 9000+ PIA KUNA MOVIE ZOTE NA SERIES ZOTE FULL HD MPAKA 4K RESOLUTION...
  17. JamiiForums Tanzania Ipi Microsoft Office for Android konki kwa bei nafuu?

    Wakuu naomba kujua App ya Microsoft kali kwa gharama nafuu. Kila kitu cha Microsoft office nachofanya kwenye PC nifanye kwenye Tablet Nimejaribu Microsoft 365 App inanigomea. Nadhani tablet yangu haisapoti
  18. JamiiForums Tanzania Android 15 ndani ya Google Pixel

    Just in Android 15 ndani ya Google Pixel. Kwa harakaharaka Google wameamua kuwa serious kwenye swala la security kwani wameleta private space inayokuwezesha kuweka data zako na ku run application nje ya launcher ya kawaida. Lakini pia hatimae Google wameleta Theft protection, je uu utakua...
  19. JamiiForums Tanzania Tcl android tv inauzwa

    Nauza tcl android tv inch 43 mali safi Napatikana Banana
  20. JamiiForums Tanzania Mobile Apps (iOS & Android) and Website Designers in Tanzania

    In today’s fast-paced digital landscape, businesses need to establish a strong online presence to remain competitive. Whether it’s a dynamic mobile app or a visually appealing website, the digital face of a company significantly impacts customer engagement and brand reputation. Mobile apps and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…