andiko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Lile lililosemwa kwamba ni andiko la Rioba mbona ni kama la 'Mwajuma Ndala Ndefu' akimnanga 'Chausiku' kwa kumchukulia bwana

    Yaani mtu amekabidhiwa TBC, chombo cha habari kikubwa halafu kwenye kuaga baada ya kukalia kiti miaka 10 anashukuru hakutumbuliwa na anaenda mbali zaidi eti anawananga wabaya wake hivi kweli? Mtu wa level ya Ryoba!? Kwa dhamana aliyokuwa nayo kwa Taifa na usomi wa kuitwa 'Dr' inawezekana kweli...
  2. F

    Mchungaji Emaus Mwamakula unakosea kutoka na andiko lako la hivyo Facebook,kwamba hao mashekhe ndiyo wamebeba agenda ya waislamu wote? Andiko la hovyo

    JE, WAISLAMU WAMPIGIA KAMPENI SAMIA? Andiko hili la Emaus Mwamakula ni la hovyo kabisa!!!!!! Why amegenerilize? Viongozi wa wote wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi nzima [Tanzania Bara?] wamekusanyika muda katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es katika 'Kongamano la Amani Kuelekea...
  3. Ni andiko gani fupi ungependa kushare hatimae liweze kugusa maisha ya mwana JF yoyote

    Utasifika kwa UCHAPAKAZI, Utaheshimika kwa MAFANIKIO, Utasujudiwa kwa UTAJIRI, Utaenziwa kwa UTU.
  4. SI KWELI PreGE2025 Zitto ameandika 'Hawa ndio wanadai tususie uchaguzi, wakati wao wanaburuzana mahakamani kwa ajili ya kudhulumiana mali za chama chao'

    Katika chapisho lililopigwa pini kwenye ukurasa wake wa X, Zitto Kabwe ameikosoa vikali CHADEMA kwa kile anachokiita unafiki na kukosekana kwa mfano wa kuigwa. Amedai kuwa ni unafiki kwa viongozi wa chama hicho kuhimiza ususiaji wa uchaguzi huku wakiburuzana mahakamani kuhusu mali za chama...
  5. Andiko la biashara

    Habari. Naomba Kama Kuna mtu yuko mkoa wa Kagera anafahamu au KUJUA kuandika busness plan/andiko la biashara tuwasiliane 0762276275
  6. Nipo tayari kutoa milioni 5 kwa mtu atakayenionyesha hili andiko

    Habari Wakuu. Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo. Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh...
  7. Andiko Hili Huthibitisha kwamba Watu hujua Mambo ya Mbele (Spiritual Foresighting)/ ClairVoyance, Wengine Huyasema Na Wengine Huchagua Kuyaweka Siri

    Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia.. Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020.. Ambao Ulikuwa...
  8. Ukristo unaruhusu ndoa ya mke wapili kwa mujibu wa andiko hili

    Ukisoma Biblia, kutoka 21, 10. Inasema "Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa." Ukisoma toka mwanzo utagundua kuwa utagundua hapa yamezungumziwa mambo ya kuachia watumwa.. Sipingi hilo, lakini kitendo tu cha...
  9. Andiko hili katika Biblia ndio kifungu katili zaidi kuwepo Duniani. Je, ni kweli Mungu aliamrisha ukatili wa namna hii?

    Mzuka Wana jamvi. Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita kushoto mapema. Kwa wasiojua Kiswahili au Foreigners nimewarahisishia kazi.
  10. Huduma ya maji yarejea Kijiji cha Kemakorere, andiko la Mwanachama wa JF lawafikia RUWASA

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime wana changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa, hatimaye huduma imerejea. Aidha, Mdau alidai kuwa Ofisi za Wakala wa Maji na usafi...
  11. S

    Sura ya 4 ya andiko la Mpina nimelia kwa uchungu nchi inavyochezewa

    TAARIFA RASMI YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA KWA VYOMBO VYA HABARI YA TAREHE 29 JULAI 2024 SURA YA NNE MADHARA YA UTOAJI VIBALI KIHOLELA, KUSAMEHE KODI NA MABADILIKO YA SHERIA YA SEKTA YA SUKARI 1.0 Uamuzi wa kutoa...
  12. Andiko lisemalo " Kila nafsi itaonja mauti" ni swali na sio jawabu. Wachina wameanza kujibu. Babu zetu walikaribia kabisa kupata jawabu

    Sisi wafuasi wa dini za kiafrika tuna amini kwamba Mwenyezi Mungu (Chanzo cha vitu vyote ) alituumba wana wa dunia na kutuweka kwenye sayari ya dunia ili tuweze kujibu maswali mbalimbali ambayo yeye Mwenyezi Mungu ametuuliza. Moja kati ya swali ambalo Mungu ametuuliza ni " Tutafanya nini ili...
  13. Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Tukiwa tuna siku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga. My take Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga. Dhambi ipo kwa mtu ambaye...
  14. Andiko la Mwisho la Ole Mushi;Ukoloni unarudi Tanzania

    Andiko la mwisho la Ole Mushi hebu lipitie👇🏿 UKOLONI UNARUDI TANZANIA? Na Thadei Ole Mushi. Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi...
  15. Andiko la Thadei Ole Mushi lilivyonifikirisha

    Mimi si msomaji mzuri sana wa Maandiko Matakatifu , lakini ninafahamu kidogo kwamba ndani ya Biblia kuna kisa kilichomhusu Yesu na Petro , inaelezwa kwamba Petro alijaribu kupita Juu ya Maji kama alivyokuwa anafanya Yesu , yaani Yesu alikuwa na kawaida ya kukatiza tu Juu ya Maji bila kuzama...
  16. Mwenye Smart Watch hii Inakuhusu usije tuletea andiko Humu JF Kama Ushuhuda

    Jamaa adakwa kupitia saa janja yake baada ya kuonekana asubuhi muda ambao alitakiwa kuwa anaota (saa nane usiku) kumbe kachoma calories 500 😃😂!.
  17. Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania afanikiwa kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kuandika andiko linaloelezea kile alichokifanya

    Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania, bwana Elia Wilinasi ameitendea haki field yake ya mafuta na gesi baada ya kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kufanikiwa kuandika andiko zima ya kile alichokifanya...
  18. Je, andiko hili la kiislamu kwa Wayahudi linawezekana kuwa sababu za chuki hizi?

    Kuna hili andiko la kiislamu linaloonekana kuamrisha Wayahudi wachinjwe hadi ambao watakuwa wamejificha nyuma ya mawe, je inawezekana kuwa sababu za hizi chuki? sahih muslim 2921 Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying: You and the Jews would fight against one another until a...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…