Kuna Mwalimu chuo kikuu mzumbe ndani ya Morogoro anafanya elimu Kama Biashara anatoa assignment ambayo tunatakiwa kuondoka Zaidi ya page 80 Na haturuhusiwi kuprint eti tukusanye softcopy Kwa CR's ndio wakaprint kwenye stationary yake tu yeye bila kuprint kwake unapata ziro imagine me Na printa...
Huyu Haji Manara aliutaka udiwani wa Kariakoo dola ya CCM ikamuweka lakini baada ya kuwekwa hapo kama diwani namuona amekuwa mtangazaji Wasafi na pia anaigiza maigizo ya Kombolela!
Muda gani anakuwa anafanya kazi ya udiwani? Au udiwani sio kazi nzito na serious kihivyo kumfanya mtu awe busy...
Kuna huyu kijana anaitwa Gasper Comic kwa kweli yuko vizuri sana lakini ni kama jamii haimuoni hivi
Most of the times anazungumzia masuala Tanzania kwa kutumia jina la Malawi
Mwamba yuko vizuri sana lakini jamii bado haijamzingatia
Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana
Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani
Kuna mengi sana yananishangaza mno na bado yanakuja
chafya ngumu
min -me
Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote .
Anayetekeleza kati ya hayo ni adui wa Tanzania na anapaswa kukamatwa mara moja.
Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).
Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka.
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika
Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
anafanya
dar
dar es salaam
genocide
hii
hotuba
hotuba ya rais samia
kazi
kitima
kitu
kusikiliza
majangili
mass killings
nzito
rc chalamila
taarabu
taifa
taifa letu
wakati
wanawake
wanawake wa dar
wazee
wazee wa dar
Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 5068, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Nikāḥ" (Kitabu cha Ndoa):
Tafsiri:
Jamaa alikuwa anatembeza sana kiboko. Na hakuwa na maadili kabisa. Aliwachukulia wanawake kama ni chombo cha starehe tu.
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili Oktoba 12, 2025 anafanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni katika Uwanja wa Community Center.
https://www.youtube.com/live/FfJn75bEH7Y?si=XT0o3ke-vz7q0bIs...
Yaani alikuwa kila siku anaongea kwa kuficha ficha anaacha kumwaga Kila kitu hadharani sijui alikuwa anaficha ficha nini mwisho wa siku wamemnyakua kabla hata mengine hajaongea
Kapata alichokuwa anakitafuta. Kama umeamua kumwaga mambo Yao wewe nyooka tu kama Kapteni Tesha sio unaongea kwa...
Wakuu nimekuta na hii video sehemu, Mchungaji anawasimanga vijana na kuna mahala anaenda mbali zaidi mpaka kusema Vijana hawezi hata kudai haki, wakipewa Elfu 5 tu wavaa T-shirt.
Hii mijadala ya dini na siasa imekuwa yakawaida sana hivi karibuni na mpaka wa Viongozi wa dini kuonekana wanafanya...
Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako haki yako.
Hizi sms zao watumiane wao uchaguzi gani? situmeshasema hakuna uchaguzi sasa hizi sms za nini??
Niende kuchagua nani ? na ili iweje sasa
Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.
Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.
Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema...
Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini
Kuna watu ambao tayari wamepata ajira serikalini, wamepangiwa vituo vya kazi, na wanaendelea kupokea mishahara kila mwezi. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha...
Huu ni utafiti wangu binafsi naomba mwenye pingamizi aje kwa comment. Asanteni
Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu