amka

Amka (Hebrew: עַמְקָה), also known in Arabic as Amqa (Arabic: عمقا), is a moshav in the Matte Asher Regional Council of Israel's Northern District, near Acre. The location of the moshav roughly corresponds the former Palestinian village, depopulated during the 1948 Arab–Israeli War. Yemenite Jews founded the village's successor Amka in 1949. In 2021 its population was 822.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Evelyn nakusalimia!! Amka kumeshakucha

    Jitokeze tupate amani ya moyo kipenzi. Ni Imani upo salama.
  2. Think2

    Wanawake wa aina hii watakuchelewesha kimaisha bro amka

    Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa. Wanaume wengi tunapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja...
  3. The redemeer

    Mzazi amka: Mlee mtoto kwa kuzingatia nuru iliyomo ndani yake,na na si kwa mazoea ya jamii

    Na Astrosecrets Tz Mtoto ni baraka mtoto ni nuru mtoto si uwanja wa mashindano ya mitihani wala si kigezo cha kutimiza ndoto zako zilizofeli. Mtoto wako ni nafasi mpya ya mwanga kuja duniani, na kila mmoja huja na ramani yake ya ndani ambayo inafichwa kwenye Tarehe ya kuzaliwa (Numerolojia)...
  4. Prof_Adventure_guide

    Hustle or Stay Broke Forever – Amka Bro, Toka Kwenye Lala Salama!

    Kila asubuhi tunayofungua macho ni golden opportunity – ni zawadi ya bei ghali mno kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ambaye hakutuamsha kwa bahati mbaya, bali kwa sababu kubwa sana. Mungu hakuipeleka pumzi yako leo kwa makosa, kuna jambo anataka ulitimize. Lakini tatizo ni moja tu: watu wengi wanakaa...
  5. Killing machine

    Amka mpira unakuibia haki yako ya msingi

    Kuna Mambo mengi ya ajabu na ya hovyo Yana fanywa na viongozi wetu lakini wanainchi wapo kimya Kuna mikataba ya hovyo Ina fanyika lakini wanainchi wapo kimya Kuna billions zinaibwa zinafichwa na mafisadi lakini wanainchi wapo kimya Watu wanauwawa watu wanatekwa nakutupwa wakiwa mahututi...
  6. EstherSaid

    Mwanaume haibiwi anaenda mwenyewe😹🙌 Amka dada‼️

    Ww kama mwanamke mwenye akili timamu usiwahi kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke mwenzio au kumletea Fujo yoyote kisa anatembea na bwana ako...mwanamke anatongozwa..na Kwa madai ya kwamba alijipeleka mwenyew..swala linarudi pale pale kwamba huyo mwanaume na yeye alikubali ilhali anajua ana mke...
  7. THE BEEKEEPER

    Amka na hii

    #AMKA_NA_HII Tambua kuwa ndege wengi tunao waona huenda baadhi yao sio ndege halisi. Angalia pichani haya ni mambo ya Artificial Intelligence. Ndege yupo kazini.Ama kweli dunia inakwenda kasi sana.
  8. R

    Mkurugenzi wa Habari Ndugu Mobhare Matinyi amka uongeze speed ofisi yako imepoa sana kuelekea uchaguzi

    Mobhare Matinyi nipo hapa kukumbusha majukumu yako ila siyo kushurutisha ukafanye kwa mbinu gani. Napenda kukumbusha kwamba wananchi wanasema ofisi yako haina mchakamchaka wa ubunifu kuelekea uchaguzi. Ofisi imekaa kimya kama wizara ya mambo ya Nje. Hapana changamsha nchi kwa makala na habari...
  9. GENTAMYCINE

    Watangazaji wa Kitanzania waliokoa BBC hasa Kipindi cha Asubuhi cha 'Amka na BBC' acheni huu Unafiki wenu na hi Chuki yenu

    Yaani Klabu ya Yanga ikifanya vyema katika Mechi zake zozote zile huwa mnatangaza tena kwa Bashasha zote. Ila Yanga SC hiyo hiyo ikifungwa (kama ilivyofungwa jana na Ihefu FC huko Highland Estates Mbarali) hamtangazi na huwa mnajifanya hamjayapata Matokeo. Lakini Klabu ya Simba hata ikifungwa...
  10. P

    SoC03 Ndoto ya Kijana leo...

    NDOTO YA KIJANA LEO Kulikuwa na kijana mdogo aitwaye Leo, aliyeishi katika mji mdogo uliojaa vurugu na utawala usio bora. Kila siku, alikumbana na ukiukwaji wa haki za binadamu, ufisadi, na kukosekana kwa uwazi na uwajibikaji katika serikali yao. Leo alikuwa na ndoto ya kuishi katika nchi yenye...
Back
Top Bottom