Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Bw. Coaster Kibonde na Mgombea Mwenza Azza Haji Suleiman, wamejitokeza Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, Njedengwa Jijini Dodoma, kuchukua fomu ya uteuzi kugombea nafasi ya Urais na kubainisha kuwa wamejipanga kikamilifu kuhakikisha wanashinda...
Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu, ambaye ni Mwalimu na Mwandishi mahiri wa Makala , Mwl. Makungu Mussa Sweya, jana 2/7/2025 alichukua na kurejesha fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwl. Makungu Ms amesema...
Wakili wa kujitegemea Tumsifu Kweka, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, leo amejitokeza rasmi kuchukua fomu za kuwania ubunge katika Jimbo la Siha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kweka alifika katika Ofisi za CCM wilaya ya...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, Baisa Baisa amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge Jimbo la Mtwara Mjini.
Baisa, amekabidhiwa fomu hiyo leo Julai 1,2025 na Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara, Fadhili Ukasha
Soma pia...
Mbunge wa Jimbo la Mchinga Salma Rashid Kikwete amejitokeza kuchukua fomu kuwania tena kwa mara nyingine ubunge wa Jimbo la Mchinga
Amechukua fomu hiyo mapema leo kwenye Ofisi za Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Mjini na kukabidhiwa na Mohamed Lawa ambaye ni Katibu wa CCM Wilaya hiyo
Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
Mm nafuatilia nyendo zako za kisiasa, Kama nilivyoripoti hapa jamiiforums juzi kuwa Mangungu angechukua fomu jumamosi kWa ajili ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa jimbo la kilwa kaskazini kupitia chama cha mapinduzi, ni kweli Jana Mangungu ametinga ofc za CCM Wilaya zilizopo eneo la Kilwa...
Shabani Rashidi Said, amechukua fomu ya kuwania udiwani wa Kata ya Bukoba Mjini.
Ikumbukwe Ndg. Shabani ndio alikuwa diwani wa kata Bakoba 2020 mpaka 2025.
Almasoud Dauda Kalumuna (KAMALA) leo Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ikumbukwe Kamala mwaka 2020 alichukua fomu na mara baada ya kura za maoni ndiye alikuwa msindi wa kwanza kati ya watia nia 57 Jimboni Bukoba Mjini japo...
Wakuu
Naona jimbo la Kawe watu wanalichangamkia sana.
===
Geofrey Timoth amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Timoth amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025 na Katibu wa Vijana CCM Wilaya, Amos Richard. Jimbo hilo...
Mwanasiasa Fadhili Fabian Ngajilo rasmi amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa mara ya tatu kupitia chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari Ngajilo baada ya kuchukua fomu hiyo kwenye ofisi kuu ya ccm wilaya ya iringa mjini amekishukuru chama cha...
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Aklin Ndelwa amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea udiwani wa kata ya Mbalatse wilayani Makete mkoani Njombe
Baada ya kuchukua fomu leo Juni 28,2025 amesema "Moja ya mambo ya msingi ambayo ninaamini endapo mtaniunga mkono na chama changu pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.