amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waleta Fujo na Wavuruga Amani Wajikuta Kwenye Mtego Mkali

    My people, Hawa watu wasio itakia meme nchi yetu wanajikuta katika mtego ufuatao Kwanza wakiandamana kuna uwezekano wa kuingia mwaka 2026 wakiwa selo au hospitalini wakijiuguza,kwahiyo watakuwa wamejichagulia wenyewe wauanze vipi mwaka Na wasipoandamana basi ndio itakuwa mwisho wa mikakati...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bila Mange Kimambi nchi ingekuwa na amani sana. Kwa muda mchache aliofungiwa taifa limetulia sana

    Tangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa. Kila siku alikuwa anaweka vitu vinavyoleta taharuki, mikataba ya rasilimali, utajiri wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwaka huu ndo nimejua kuwa CCM ni chama pekee kinachosimamia agenda ya Amani ya Tanzania yetu. Hongera CCM kwa hili

    Kuna vyama nchini vinatumwa na mabeberu kuharibu amani ya Tanzania yetu, wanahangaika kwa mabeberu mpaka wameitwa masokwe lakini bado. Mfano; Hiki chama cha Chadema ndicho chama cha vurugu nchini, kipo radhi kikeshe bunge la ulaya kwa lengo la kuhatarisha amani ya Tanzania yetu. Ni vema wakajua...
  4. JamiiForums Tanzania Haki ni kama ng’ombe wa maziwa na amani ni kama maziwa!

    Kuna watu wengi wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kuhubiri amani bila hata kutaja tu neno haki. Kwa maoni yangu, hawa wameshindwa kutumia muda wao wisely. Wanapaswa wawekeze zaidi katika kuhubiri haki, kwasababu haki ikitamalaki amani itapatikana automatically, more or less. Analogically...
  5. JamiiForums Tanzania Heri tukose haki, hewa, na maji lakini tuwe na amani

    Wengi wanawalaumu bure watawala wetu kwa kusisitiza amani bila haki. Wanawalaumu watawala bure kwa kushindwa kutatua matatizo ya kijamii kama vile upatikanaji wa maji. Wanawalaumu kwa kutunyima haki lakini wakatupa amani huku tukisota na wao wakiishi kwa amani. Tunababana kwenye misururu...
  6. JamiiForums Tanzania Msanii Beka Flavor aomba radhi, atoa ujumbe wa shukrani na amani

    Msanii wa Bongo Fleva, Beka Flavor, ametoa ujumbe wa shukrani kwa Mwenyezi Mungu akisema uhai ni kwa mapenzi na rehema zake, si kwa ujanja wa binadamu. Katika ujumbe huo, amewaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa ajili ya ndugu wote waliotangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani. "Zamani nikiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna kibaraka, haramia au gaidi ataruhusiwa kuandamana popote pale Tanzania

    Ndugu wadau wa heshima na wa maana sana JF, Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

    Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii. Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini watawala wetu wanalazimisha amani wakati hawanayo hiyo amani?

    Ukimsikiliza mkuu wa machawa mkumbo madelu akihimiza amani, unashangaa. Kunawezekana kuwa na amani bila haki? Je, amani inalazimishwa au inatokana na aina ya maisha ya wahusika? Je, hawa wanolazimisha amani wanayo amani? Wanaijua amani bila kuijua haki? Je, amani ni nini na inasababishwa na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiliba: Shughuli za kiharakati lazima zisisitize amani na upendo siyo kueneza hofu na chuki kwa wanajamii

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Taasisi za Elimu, Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 akielezea shughuli za kiharakati zinazoendelea mitandaoni amesema shughuli za uharakati lazima isimamie misingi ya kudumisha amani, upendo na kuunganisha taifa na siyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vipi huko chawa, mnakunywa amani?

    Nyie Vyawa, mnakunywa amani? Kuoga je? Kwanza hamuogi nyie maana ni wachafu wa mwili mpaka akili. Watu wanaandamana mpate haki za kupata huduma bora bila kukosekana huduma na uwajibikaji pale mambo kama haya yanapotokea. Ila sababu mna vichwa tupu mnawaona wanaharibu amani nyie mnataka amani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Cheo na Amani kipi bora?

    Nimeuliza hili swali sababu dalili zilishaonekana kama mama alikuwa hapendwi na baadhi ya watu ingawa idadi imeongezeka mara dufu Hivi angeamua kujikalia pembeni kama Majariwa angepungukiwa na nini tofauti anavyoishi kwa kukosa amani ya moyo na kusakamwa na kila mtu?
  14. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam Amani ni muhimu kuliko Maji

    Kwa sasa, Jiji la Dar es Salaam linakumbwa na adha ya Maji, nawashauri Amani ni muhimu zaidi kuliko Maji, lindeni sana Amani kuliko Maji Nawasilisha
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini tume iliyoundwa inaomba taarifa za uvunjifu wa amani sio matukio ya mauwaji?

    Jambazi anaweka wezi kuomba wananchi wajue kilichotokea ndio haya. Hii tume inataka kujua nani kavunja amani tu ?. Kama mumeona wanacho kisema ni wazi vifo sio kazi yao.
  16. JamiiForums Tanzania Tuhuma Vs Amani

    My people, Tuchukulie kwa mfano ndege za Air Tanzania ni za kigogo mmoja wa Serikali, je hii itaathiri vipi maisha yako? Tuchukulie kwamba mtoto mmoja wa namba one anamiliki matoy makali nyumbani kwake,je wewe mwananchi wa buza,mbagala,chanika au songwe huko unaathirika vipi kwa kipindi hiki...
  17. JamiiForums Tanzania Mnaolalamika mwezi mzima maji hayatoki msizue taharuki mitandaoni, tuendelee kulinda amani, amani ni bora kuliko maji

    Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji Utawasikia wapumbavu "Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake. Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea" Sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Tangu nijue sina umuhimu wowote hapa duniani, nimekuwa mwenye amani sana!

    Sihangaikii chochote naacha nature iamue! Sihofii chochote Sipambani kutafuta furaha maana najua sitakuja kuipata Mimi ni kakitu kadogo sana na Sina maana yoyote hapa duniani
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yaomba wananchi watume taarifa za uvunjifu wa amani zilizotokea wakati wa uchaguzi

    Tume imeanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32). Inawaalika wananchi na wadau wote kutoa taarifa, ushahidi, maoni na mapendekezo yatakayosaidia kufahamu ukweli wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
  20. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakazi wa Dar waomba Amani iendelee kudumishwa kwani inastawisha Shughuli za Kiuchumi

    Wakazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kuzingatiwa na kudumishwa kwa amani nchini, wakisema ndio msingi wa ustawi wa maisha ya watu. Wamesisitiza matishio ya vurugu yanavyoathiri shughuli za kiuchumi na biashara, hasa Desemba ambayo mara nyingi huwa mwezi wenye faida. Mfanyabiashara wa vifaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…