amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haki na Amani

    Haki na Amani. Wanasiasa wa Africa, au Tanzania malazote Kwenye majukwaa utakuta wanazungumzia tudumishe Amani. Swali Huwa najiuliza, Mbona awazungumzii swala la Haki na Usawa, Maana Palipo Na Haki Amani utamalaki pia Haki ni ngao kubwa ya Amani, Kwa Nini Amani Imekua kama kichaka cha...
  2. JamiiForums Tanzania Amani ya Nchi:Mhimili wa Serikali, Bunge, Mahakama Kimya! Mhimili wa 4 The Media Hatunyamazi, Leo Saa 3:30 Angalia Star TV, Usikose!

    Wanabodi Kuna hali tete fulani ya amani na usalama nchini, mihimili 3 ya Serikali, Bunge na Mahakama, hawawezi kuzungumzia, sisi Media ambao ni mhimili wa 4 usio rasmi, tunuweza kuzungumzia jambo lolote ambalo serikali hawawezi, Bunge haliwezi, na mahakama haiwezi. Moja ya jambo hilo ni hili...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

    Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga. Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini. Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari. Niite wito...
  4. JamiiForums Tanzania Samia na CCM mnatumia nguvu ya dola kulazimisha uchaguzi ufanyike jinsi mnavyotaka, Je, hamuoni mnahatarisha amani ya nchi? Je, hii ni Haki?

    Maoni yametolewa, Ukweli unaonekana hata na mtoto mdogo anaweza kutambua changamoto kubwa inayoipa doa tume ya uchaguzi na kuifanya kuwa batili na isiyoweza kusimamia haki. TEC wametoa maoni yao, Waziri mkuu mstaafu Warioba ametoa msisitizo huo, vyama na taasisi mbalimbali wamesisitiza kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Haki ikikosekana, Amani ipo Mashakani

    1. Amani pasipo haki, Ni wapi umeiona?, Kwa hadithi sikumbuki, Ajabu'li kuliona, Walo juu mishikaki, wa chini hakuna dona, Haki Ikikosekana, Amani I Mashakani 2. Wanahubiri Usawa, wanaiba wakigawa, Mifumo imepagawa, Dhoofu yataka dawa, Wamewajaza machawa, waimbe nchi I Sawa, Haki Ikikosekana...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi chokochoko za KIDINI zinazo endelea zinachochewa zaidi na matamko ya TEC, kwa maslahi ya Amani ya Taifa letu naomba tuache.

    Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko. Nchi ikichafuka...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda mwanaume ambaye ‘ana stress za maisha’ kuliko yule mwenye amani?”

    Inaonekana mwanaume mwenye presha ya maisha, anahangaika na kodi, anafuatwa na madeni, na bado anampenda mpenzi wake kwa moyo wote, ndiye anayependwa zaidi kuliko yule aliyestabilize, hana stress, anakwambia “relax tu, maisha ni mafupi.” Ni kwamba wanawake wanapenda action movie kuliko...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania: ilipotoka na maangamizi ya sasa – Haki ni the real plug ya amani

    Kabla ya haya ma-clowns waliopo sasa ku-run the streets, Tanzania ilikuwa imejengwa na real OGs kama Mwalimu Nyerere — the Godfather of peace and unity. Back in the day, watu walihustle kweli kupata uhuru; siyo hizi cheap talks tunaskia sasa. Old heads walikuwaga na wisdom kali, kama vile...
  9. JamiiForums Tanzania MSIGANO wa HAKI na AMANI katika Jamii (RIGHTS & PEACE Friction in a Society)

    Wakuu, Mjadala wa wazi kwa raia wa tabaka zote kuhusu msigano wa 'Haki' na 'Amani' katika jamii Mfalme mkuu wa Uingereza (The Great Alfred of Anglo-Saxons) aliwahi kudokeza hivi RIGHT AND PEACE Which one comes first? Both rights and peace maintenance are crucial, and prioritizing one over the...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nusrat Hanje: Mtoto wetu aliyezaliwa Singida anataka kuvuruga Amani, Hatutakubali tunakwenda na Dkt. Samia

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki...
  11. JamiiForums Tanzania DURU: Utangamano, Amani na Ustawi. Taifa linaelekea wapi?

    Ustawi Taifa lolote linalotazama Ustawi na maendeleo yake huzingatia utangamano na Amani. Utangamano '(compatibility ) ni uwepo wa pamoja(coexist) licha ya tofauti za Raia katika rangi, Imani, itikadi za siasa na Utamaduni. Amani ni utulivu unaoletwa na uwepo wa maridhiano na haki. Amani si...
  12. JamiiForums Tanzania Rev. Eliona Kimaro: Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana

    Na Rev. Eliona Kimaro Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana Hapatakuwa na amani kama hakuna haki, ukiona amani ipo mahali ujue ni kazi kubwa ya haki iliyotangulia, haki inatengeneza amani. Tujitahidi kutenda haki katika familia zetu, katika mitaa...
  13. JamiiForums Tanzania Yeyote Anayetaja Amani Bila Kutaja HAKI, Ni Mnafiki, Tumzomee.

    Kuitafuta haki kwa anayeonewa na kunyimwa haki yake, ni tendo halali na takatifu, na ni wajibu wa msingi. Siku hizi wadhulumaji wa haki za wananchi , ili waendelee kudhulumu haki za wananchi, wanajificha nyuma ya neno amani, lakini hawathubutu kutaja HAKI. Amani ni zao la HAKI, huwezi kuitaja...
  14. JamiiForums Tanzania Duru : Utangamano, Amani na Ustawi. Taifa linaelekea wapi?

    Ustawi Taifa lolote linalotazama Ustawi na maendeleo yake huzingatia utangamano na Amani. Utangamano '(compatibility ) ni uwepo wa pamoja(coexist) licha ya tofauti za Raia katika rangi, Imani, itikadi za siasa na Utamaduni. Amani ni utulivu unaoletwa na uwepo wa maridhiano na haki. Amani si...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  16. JamiiForums Tanzania Wenye kuhitaji madarasa ya ukuaji wa kiroho ili kupata uhuru wa kweli na amani ya ndani mcheki Mwalimu hapa

    [4/25, 13:22] Dr Rwakiunge Anointing Oil For Everything: Yes, hilo linawezekana tena kwa urahisi sana. Kwenye mada yetu ya Nguvu za Ziada (Paranormal abilities) tutakayoanza kuisoma mapema wiki kesho, tutajifunza mengi sana na hilo likiwemo ili wanaotaka kufanya bilocation wafanye na huo ndio...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Awaahidi Wananchi Uchaguzi Mkuu Utakuwa Wa Amani, Huru, na Wa Haki, Kama Ulivyokuwa wa Serikali za Mitaa 2024

    Hotuba ya Rais Samia, jana usiku, pamoja na mambo mengine, aliongelea kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, akisema kuwa Serikali yake itahakikisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa wa amani, huru na wa haki. Maneno haya pia Rais Samia aliyatamka mwaka 2024 wakati akiwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Tumepokea makada wetu 21 waliojeruhiwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimepokea majeruhi 21 wanaodaiwa kujeruhiwa na askari wa Jeshi la Polisi katika tukio la Aprili 24, 2025, wakati wakielekea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia kesi ya mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Naibu Katibu Mkuu wa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Hilda Newton bado hajapatikana, Tunachofahamu alichukuliwa na polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar Es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo April 25...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameamua kutumia njia za amani kudai haki zao, lakini watawala wanatumia Maguvu kuharibu Amani

    Mpaka sasa, hakuna mwananchi hata mmoja, hakuna chama cha siasa chochote cha upinzani hata kimoja, wala hakuna taasisi hata moja, imetumia nguvu kudai haki za kikatiba zinazogandamizwa nchini. Jambo la kusikitisha ni kuwa madai hayo ya haki za msingi za kikafiba za wananchi, yanayofaiwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…