amani ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam ni Dharau, Inachochea Machafuko, Badala ya Kuomba Radhi Anawatisha Wananchi” ✅

    Ni muhimu serikali iache kiburi. Kuomba radhi ni ishara ya uungwana na uwajibikaji, siyo udhaifu. Badala ya kutisha wananchi kwa kauli za kupiga na kuwavunja miguu, viongozi wanapaswa kutafakari: vipi iwapo polisi wakiwapiga wananchi nao wakaamua kupigana nao? Hayo matamshi siyo ya hekima, ni ya...
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kulinda Amani ya Watekaji na Wauaji, tutalinda Amani ya Nchi pekee

    Tunataka kuona kaka zetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona dada zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona wazazi wetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona babu zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona watoto, wajukuu na vitukuu vyetu wakiifurahia hii nchi. Hatuwezi tukawa tunaishi...
  3. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kulinda amani ya mafisadi, watekaji, wauaji na watu wasio malengo mazuri na nchi yetu, Tutalinda amani ya nchi pekee

    Hatuwezi kulinda amani ya watu ambao hawako tayari kupigania usalama wetu nchini. Hatuwezi kulinda amani ya watu ambao wanaiba pesa zetu. Hatuwezi kulinda amani wanaotuteka na kutuua kisa ni kuwa WAZALENDO kwa nchi yetu. Hatuwezi kulinda amani ya watu wanaonormalize UFISADI, hii sio sawa na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Amani ya Nchi Yetu: Ukweli na Uhalisia

    Mara nyingi viongozi wetu huimba wimbo wa amani kana kwamba ni mali ya kila mmoja wetu. Lakini ukweli mchungu ni kwamba amani hiyo ipo kwao tu—sisi wananchi wa kawaida hatuioni wala kuifaidi. Ni sisi tunaotekwa. Ni sisi tunabambikiziwa kesi. Ni sisi tunadhurumiwa. Ni sisi tunaotukanwa na...
  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu itumike kutufundisha kuwa Amani ya Taifa letu haichezewi, waasisi wa Taifa letu wameturithisha amani tuitunze na kuilinda

    Ndugu Watanzania wenzangu, linapokuja swala la Amani ya Taifa letu tusichukulie poa, tuwakemee watu wote wenye vimelea vya kuleta vurugu nchini mwetu, hii amani tuliyo ni utajiri tosha, tuepuke upotoshaji. Waasisi wetu walituachia amani, tuendelee kuilinda kwa uzalendo mkubwa, navipongeza...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Mashimo: Watanzania Tuitunze amani ya nchi yetu kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu

    Mchungaji Mashimo amefanya mkutano na viongozi wa Dini mbalimbali Agosti 13, 2025 jijini Dar es Salaam kwa lengo la kufikisha ujumbe wa amani kwa Watanzania hasa kuelekea kwenye kipindi hiki cha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika 29 Oktoba mwaka huu Chanzo: Kishamba Media
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Polepole anavuruga amani ya nchi. Anavyotaka kuzungumza kesho, anataka kusema nini?

    Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini. Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Picha Hizi Za Mateso Ya Watoto Kutoka Gaza Zimenibubujisha Machozi ya Huzuni .Watanzania tutunze Amani na kuwalaani wanaotaka kuchochea Machafuko

    Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana ,inaumiza sana na inahuzunisha sana kuona ,kutazama mateso ya njaa wanayopitia Watoto wanaoishi eneo la Gaza. Watoto wanaangamia ,watoto wanateseka kwa vita ,watoto wanapoteza maisha kwa njaa ,watoto wanabakia mifupa mitupu kwa kukosa chakula ,watoto...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama kuna wanachama hai milioni 13 kwanini utishie amani ya nchi kama kiongozi mwenye mapenzi na nchi yako?

    Mzee Wasira alibainisha hivi karibuni, kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinao wanachama hai wasiopungua milioni kumi na tatu. Sote tunajuwa hakuna nchi yoyote duniani inayoruhusu chaguzi zake kuwa huru wapiga kura halali wanaojitokeza kupiga kura idadi yao haiwezi kuzidi asili mia 75; kwa hiyo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kada wa CCM na sheikh anayefurahia Watanzania watekwe na kuuwawa ili kulinda Amani ya nchi

    Ndio kusema hajui kama kuna Mahakama? Amependekiza watu wakatwe vichwa ili amani iendelee kuwepo 👇
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mawinda: Isifike mahala mkaona amani ni upuuzi puuzi tu,ety tukinukishe baada ya hapo utaenda wapi?

    Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, leo Julai 5, 2025 amehutubia mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa hema jipya la Askofu Mwamposa (Arise and Shine). Katika hotuba yake, Mawinda amesisitiza kuwa Watanzania wanapaswa kulinda amani ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Tuilinde amani ya nchi yetu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wananchi kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani huku akiwahakikishia kuwa serikali itatekeleza wajibu wake ipasavyo "nitoe rai kwa kila mmoja wetu kuhakikisha kila mmoja analinda na kuitunza tunu ya amani na utulivu wa nchi kabla wakati na baada ya...
  13. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Mkatoliki kesho wahi Misa Takatifu ya Asubuhi kuanza vema mfungo kwa ajili ya Haki na Amani ya Nchi yetu

    Tumsifu Yesu Kristu Mkatoliki mwenzangu kanisa linaongozwa na utii Kesho Misa ya Asubuhi...tolea ombi hili tuu...Mungu Aliangazie taifa letu Haki na Amani Azichome roho na mioyo ya wote wanao gandamiza haki na kupoteza au kuweka amani yetu rehani...awachome kwa moto mkali wa Mungu Roho...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Hananja: Kiongozi wa dini acha kuleta taharuki lete suluhu, tuonyeshe hilo kundi kwa ushahidi hawa ndiyo wanateka

    " Watu hawaheshimu katiba wanataka kuvunja Amani ya nchi na ndio maana wanaropoka hovyo hovyo nyie chukulieni masihara vita ni kitu chengine kukitokea vita hapa wote tutafutana ,ufike hatua tutunze Amani yetu",alisema Hananja.
  15. mshale21

    JamiiForums Tanzania Kama kweli tunataka mabadiliko, basi No reforms no election isiishie mitandaoni, iwekwe kwenye matendo bila kuvuruga amani ya nchi

    Kama kweli watanzania tuna nia ya mabdiliko ya kweli ya uchaguzi, ili kura zetu zithaminiwe na wabunge watuheshimu sisi wapiga kura na tusiitwe tena kenge, ili bunge linapoona kuna sitofahamu katikati ya jamii ya kitanzania na mamlaka husika kuwa kimya kama ilivyo sasa basi liweze kupaza...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kikwete: Uchaguzi usiwe chanzo cha kuhatarisha amani ya nchi yetu

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa vitendo na kuhakikisha kuwa amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa vinaendelea kudumishwa, hasa katika kipindi hiki kinachoelekea uchaguzi. Akizungumza Mei 25, 2025 katika...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa anasema yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kulinda amani ya nchi. Mzaha si mzaha!

    Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe. Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari. Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Profesa Munguza: Hatutomvumilia yeyote anayetaka kuharibu amani ya nchi yetu

    Rais wa taasisi ya International Peace Information (I.P.I) inayojihusisha na masuala ya elimu ya utunzaji wa amani nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki, Profesa Wilson George Munguza, amesema kuwa taasisi hiyo iko tayari kushirikiana kikamilifu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini...
  19. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kichaka cha 'TUILINDE AMANI YA NCHI' kinapaswa kufyekwa ili tuweze kuendelea kama nchi

    Bilioni 31 za ukarabati uwanja wa Mkapa zimeibiwa mchana kweupe, Tunaomba maelezo juu ya matumizi ya pesa hizo - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi" Tume ya uchaguzi sio huru, Uongozi wote na watendaji ni wateuliwa wa mgombea wa CCM, Tunaomba reforms zifanyike...
  20. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Epuka mihemko ya kijinga ili kulinda amani ya nchi yako

    UZI MAALUM Ikiwa taifa lolote litaingia kwenye machafuko (vita au mapigano ya wenyewe kwa wenyewe) kwasababu ya siasa, dini, makabila, n.k - yafuatayo ni baadhi ya matokeo ambayo yanaliandama taifa lililoingia kwenye machafuko. Kabla sijaorodhesha matokeo hayo kwanza rejea mataifa ya Afrika...
Back
Top Bottom