Maoni yametolewa, Ukweli unaonekana hata na mtoto mdogo anaweza kutambua changamoto kubwa inayoipa doa tume ya uchaguzi na kuifanya kuwa batili na isiyoweza kusimamia haki. TEC wametoa maoni yao, Waziri mkuu mstaafu Warioba ametoa msisitizo huo, vyama na taasisi mbalimbali wamesisitiza kwamba...
Hii ndio njia pekee na dawa ya Mua40 Itakayokomesha hicho kikundi cha kigaidi kisichojulikana na vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania.
Kinachoteka watu mchana-usiku kupoteza na kuua raia Nchini Tanzania kilichoanza KAZI kuanzia serikali ya awamu ya tano na awamu hii ya sita kikapewa na kinga...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende Pamoja na Mama Sports Promotion Mohamed Haji amefunguka dhamira ya kufanya Dua maalum Kizimkazi Zanzibar, na kusema kuwa Dua hiyo ni kumshtakia Mungu kuendelea kutupa Amani nchini Pamoja na kuwalinda Viongozi wa Serikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM Taifa, CDE. Mohamed Kawaida amewataka Vijana nchini kutojiusisha na kuvuruga amani ya nchi tuliyonayo katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka Watanzania kujitokeza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu na kuendelea kudumisha amani, akieleza kuwa kutokuwepo kwa amani kunaharibu ndoto ya maendeleo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Siku za karibuni ITV imekuwa shabiki wa siasa za hovyo za watu kama Lissu, chombo hiki kinajua kabisa Lissu kauli zake ni hatari kwa utulivu na amani ya nchi.
Badala waelimishe wananchi wamekuwa chombo cha kuokoteza kila kikundi kinachoenda kinyume na jitihada za serikali. Wajitathmini...
"Ni jukumu letu sisi wananchi kulinda amani ya nchi yetu kwa sababu amani inapatikana kwa shida sana na tukiipoteza hatutaipata" Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.