amani ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ERTUGRUL BEY

    Uzi wangu wa kufungia mwaka: Umuhimu wa kuepuka uchochezi,vurugu na Amani ya nchi

    My people, Amani ya nchi ni kama hewa tulivu inayowezesha maisha kusonga mbele bila msukosuko. Bila amani, maendeleo husimama, hofu hutanda, na ndoto za wananchi hukauka kabla ya kuchanua. Ndiyo maana kuepuka uchochezi na vurugu si jambo la hiari, bali ni wajibu wa kila raia mwenye kujali...
  2. R

    PostGE2025 Baba Levo: Nawasihi vijana msishiriki vurugu kuharibu amani ya nchi yetu, kwanini ushambulie jitihada za Rais Samia?

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari amehakikisha maendeleo ya Tanzania akitaja miradi ya huduma za afya na miundombinu ya SGR na bwawa...
  3. baz kaiza

    PostGE2025 Hii propaganda ya Watu wanalipwa kuharibu amani ya nchi ni Kuwafanya wananchi kwamba Hawajui haki zao, ni mazuzu?

    Ukiacha hii Propaganda za watu wanalipwa kuaribu amani ya nchi ni propaganda ambayo sasa imezoleka kwa wananchi ambayo utumiwa na viongozi ukwepa kuwajibika au kuwajibishwa kwenye makosa yao...
  4. MamaSamia2025

    Hata Mungu hawezi vumilia huu uhalifu wa kutaka kuivuruga amani ya nchi

    Nimeona watu wengi wakitamka kuwa Mungu atalipa kwa yaliyotokea baada ya uhalifu uliofanyika. Mimi kama mkristo ninayeijua biblia vizuri niwakumbushe tu kuwa waliofanya uhalifu kuanzia siku ya uchaguzi ni kuwa Mungu pia hafurahishwi na huo upuuzi. Mungu hutoa adhabu kali sana kwa watu kama hao...
  5. Mafyangula

    GE2025 Prof. Mkumbo: Huwezi kuzungumzia Utanzania bila kuzungumzia amani

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema Utanzania hauwezi kuzungumziwa bila ya amani, akiwasihi Watanzania kumuomba mungu ili kuepuka kuizoea amani kiasi cha kupelekea kuipoteza. ‎ Prof. Kitila amezungumza hayo akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
  6. Mafyangula

    GE2025 Kamanda Marwa Kisyeri: Msidanganyike kuvuruga amani ya nchi na kutojihusisha na maandamano yasiyo na tija

    Amani inazidi kupigiwa debe kila kukicha. Na jeshi la polisi wakiwa msatari wa mbele sana kipindi hichi. Uchaguzi ukiisha hapa hizi bwebwe zote kwisha ================== Mkaguzi Msaidizi wa Kata Bulongwa wilayani Makete Mkoa wa Njombe Marwa Kisyeri Oktoba 24,2025 ametoa elimu kwa vijana...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Sheikh Othiman: Wanaowanunua watu wanaohubiri amani wana pesa kiasi gani hao?

    Nimemsikiliza huyu Sheikh kwa utulivu sana! Amezungumzia ishu kubwa ya amani ambayo imeshakuwa wimbo kama wa taifa kwa viongozi na baadhi ya wanasiasa na viongozi wa dini pia. Lakini yeye amehoji kwamba kila anayehubiri amani basi ataambiwa amenunuliwa. Ishu si kuhubiri amani, bali pia nchi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Sheikh Hamis: Amani ni kama yai; likivunjika ni ngumu sana kulirudisha, mataifa mengi ya Afrika yaliyopoteza amani, na sasa wanajuta

    Kiongozi Mkuu wa Taasisi ya Twariqa Tanzania, Sheikh Said Hamis Migire, amesisitiza umuhimu wa kudumisha amani na utulivu kabla, wakati, na baada ya uchaguzi mkuu, akifananisha amani na yai ambalo likivunjika ni vigumu kulirejesha. Akizungumza usiku wa kuamkia Oktoba 24, 2025, katika dua...
  9. Mafyangula

    GE2025 Polisi Tarime: Bodaboda dumisheni na kuilinda amani ya nchi hii

    Miongoni mwa kundi lililopewa elimu na jeshi la polisi kipindi hichi cha uchaguzi basi ni bodaboda. Yani sijuwi wameona kwamba ni rahisi kutumika na wanasiasa au vipi? ================= Afisa Mnadhimu Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joswam Kaijanante amewataka...
  10. Mafyangula

    GE2025 Sheikh Kakulukulu: Amani ndiyo nguzo ya maendeleo. Hakuna maendeleo bila amani, hivyo tuilinde

    Viongozi wa dini mkoani Katavi wamekutana katika kikao maalum kujadili hali ya amani na mshikamano wa Watanzania, wakitoa wito kwa wananchi kuendelea kudumisha umoja na amani, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Wakizungumza kwa pamoja, viongozi hao wamesema...
  11. Mafyangula

    GE2025 Insp. Canatus: Wananchi, msikubali kudanganywa na kuvuruga amani ya nchi yetu

    “Wananchi, msikubali kudanganywa na kuvuruga amani ya nchi yetu katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu.” — Insp. Canatus, Polisi wa Kata ya Dutwa, Bariadi, akizungumza na wananchi
  12. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Paul Kimiti: Wanasiasa msitumie mitandao ya kijamii vibaya na kuvunja amani ya nchi

    MWENYEKITI wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti, amewataka baadhi ya viongozi na wanasiasa kuwa waangalifu katika matumizi ya mitandao ya kijamii, ili kulinda amani na mshikamano wa Taifa. Akizungumza katika mahojiano maalumu na Daily News Digital jijini Dar es...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ujumbe huu uwafikie Watanzania wote wapenda amani

    Mtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe
  14. ngara23

    Kauli ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam ni Dharau, Inachochea Machafuko, Badala ya Kuomba Radhi Anawatisha Wananchi” ✅

    Ni muhimu serikali iache kiburi. Kuomba radhi ni ishara ya uungwana na uwajibikaji, siyo udhaifu. Badala ya kutisha wananchi kwa kauli za kupiga na kuwavunja miguu, viongozi wanapaswa kutafakari: vipi iwapo polisi wakiwapiga wananchi nao wakaamua kupigana nao? Hayo matamshi siyo ya hekima, ni ya...
  15. Mashamba Makubwa Nalima

    Hatuwezi kulinda Amani ya Watekaji na Wauaji, tutalinda Amani ya Nchi pekee

    Tunataka kuona kaka zetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona dada zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona wazazi wetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona babu zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona watoto, wajukuu na vitukuu vyetu wakiifurahia hii nchi. Hatuwezi tukawa tunaishi...
  16. Mashamba Makubwa Nalima

    Hatuwezi kulinda amani ya mafisadi, watekaji, wauaji na watu wasio malengo mazuri na nchi yetu, Tutalinda amani ya nchi pekee

    Hatuwezi kulinda amani ya watu ambao hawako tayari kupigania usalama wetu nchini. Hatuwezi kulinda amani ya watu ambao wanaiba pesa zetu. Hatuwezi kulinda amani wanaotuteka na kutuua kisa ni kuwa WAZALENDO kwa nchi yetu. Hatuwezi kulinda amani ya watu wanaonormalize UFISADI, hii sio sawa na...
  17. M

    Amani ya Nchi Yetu: Ukweli na Uhalisia

    Mara nyingi viongozi wetu huimba wimbo wa amani kana kwamba ni mali ya kila mmoja wetu. Lakini ukweli mchungu ni kwamba amani hiyo ipo kwao tu—sisi wananchi wa kawaida hatuioni wala kuifaidi. Ni sisi tunaotekwa. Ni sisi tunabambikiziwa kesi. Ni sisi tunadhurumiwa. Ni sisi tunaotukanwa na...
  18. Kimbesa11

    Kesi ya Tundu Lissu itumike kutufundisha kuwa Amani ya Taifa letu haichezewi, waasisi wa Taifa letu wameturithisha amani tuitunze na kuilinda

    Ndugu Watanzania wenzangu, linapokuja swala la Amani ya Taifa letu tusichukulie poa, tuwakemee watu wote wenye vimelea vya kuleta vurugu nchini mwetu, hii amani tuliyo ni utajiri tosha, tuepuke upotoshaji. Waasisi wetu walituachia amani, tuendelee kuilinda kwa uzalendo mkubwa, navipongeza...
  19. R

    GE2025 Mchungaji Mashimo: Watanzania Tuitunze amani ya nchi yetu kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu

    Mchungaji Mashimo amefanya mkutano na viongozi wa Dini mbalimbali Agosti 13, 2025 jijini Dar es Salaam kwa lengo la kufikisha ujumbe wa amani kwa Watanzania hasa kuelekea kwenye kipindi hiki cha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika 29 Oktoba mwaka huu Chanzo: Kishamba Media
  20. Poppy Hatonn

    Polepole anavuruga amani ya nchi. Anavyotaka kuzungumza kesho, anataka kusema nini?

    Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini. Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili...
Back
Top Bottom