alphard

Alphard , designated Alpha Hydrae (α Hydrae, abbreviated Alpha Hya, α Hya), is the brightest star in the constellation of Hydra. It is a single giant star, cooler than the sun but larger and more luminous. It is about 177 light years away.

View More On Wikipedia.org
  1. salehe magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC izuieni upesi hiyo Alphard nyeusi inayokuja Kambini na Mdau wa Simba SC ina Watu wabaya Kwetu

    Uongozi wa Simba SC pitieni sana hapa Jamiiforums na muwe mnanisikiliza mno Mimi GENTAMYCINE sawa? Nawapambania kuliko hata hao Wanafiki baadhi walioko Kambini kwa sasa. Haya GENTAMYCINE naamuru haraka sana hiyo Gari aina ya Alphard Nyeusi iishie nje na isiingie Kambini ina Mtu Kirusi na...
  3. bysange

    JamiiForums Tanzania ALPHARD AU BREVIS MSAADA TAFADHALI.

    Bila shaka mfungo wa leo imekamilika salama yaani kwa Resma na mwezi mtukufu wa Ramadhani.Nisiwachoshe sana wakuu,mawazo yenu ni muhimu hapa kati ALPHARD na BREVIS kwa sifa ya 1.ubora wa injini 2.matumizi. ya mafuta 3.upatikanaji wa vipuli 4.lipi linastahimili mazingira ya vijijini zaidi Kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Alphard inauzwa Tanga mjini

  5. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe kweli halali kambini Avic Town, huchukuliwa na Alphard tinted

    Hakuna kitu kibaya katika team kama kumfanya mchezaji mmoja kuwa special, na cha kushukuru ni kwamba wale wacongo watatu wameongezewa mkataba na pesa la sivyo. Anyway yule kijana toka Ogadougou Burkinabe msimamo wake wa kutolala kigamboni kaushikilia bwana..analetwa mazoezin na Alphard tinted...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

    Wakuu habari, Naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. 🙏
  7. Ene magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari aina ya Toyota Alphard

    offer offer Unregistered (chassis number) Toyota Alphard Y.O.M 2007 Low Mileages 65200 kM Cc 2360 Full Ac Full file All automatic Doors And Put OG Sports rims & good tyres Clean in and out All duties and tax payed Price: *21. discount mpk million 20.5 inatoa million 1 y udalali naomb ukiwa tyr...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Gari lipi linafaa zaidi? Naombeni ushauri wenu

    Habari. Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF. Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili alilonalo kwa sasa. Kwa sasa anamiliki IST ambayo anaiona ndogo kwa sababu familia imekua kubwa. Mara...
Back
Top Bottom