aloyce nyanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Busara za Mchungaji Msigwa kwa mtangazaji Aloyce Nyanda

    Aloyce Nyanda unaweka mjadala mahali pasipo sahihi. Swali halipaswi kuwa: “CHADEMA ibadili msimamo gani ili Lissu aache kuteseka?” Swali sahihi ni: “Kwa nini Serikali inamtesa Lissu kwa sababu ya msimamo wa kisiasa?” Kumhurumia Lissu ni jambo la kibinadamu, lakini kuitumia huruma hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Mwandishi wa Habari Aloyce Nyanda amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kufadhili kikundi cha 'Tanganyika Freedom Fighters'

    Ameandika Ansbert Ngurumo kwenye Mtandao wa X Mwandishi wa habari ALOYCE NYANDA anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Bugarama (Kata ya Bugarama kijijini Ilogi) Geita. Walimkata jana huko Kakola. TUHUMA: Kufadhili kikundi kiitwacho "Tanganyika Freedom Fighters (TFF)." Muda wowote kuanzia sasa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kesi ya mtangazaji aloyce nyanda na Aron Karugumjuli haijapanda Tanzlii mpaka sasa?

    Siku 3 zilizopita tulisikia kwamba mtangazaji na mwandishi wa habari wa star tv ameshinda rufaa yake dhidi ya aliyekuwa mkurugenzi wa nyamagana Aron Karugumjuni lakini mpaka sasa kwenye mtandao wa tanzlii kesi hiyo muhimu ya deformation haijapandishwa. Tunaomba kujua tatizo ni nini Mahakama...
  4. JamiiForums Tanzania Aloyce Nyanda atishiwa kisa Machapisho ya Instagram

    Rafiki yangu mmoja kanitafuta leo asubuhi sana na kuniambia kaka kama unaniheshimu pumzika kuandika na kupost kitu chochote Instagram mpaka uchaguzi mkuu upite, nilipomuuliza sababu akasema nitakueleza baada ya uchaguzi mkuu, akakata simu na hata nilipompigia hakupokea.” Mwandishi wa Habari...
  5. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Star Tv, Aloyce Nyanda aamriwa kumlipa fidia DED Tsh bilioni 2 kwa udhalilishaji wa mtandaoni

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imemhukumu Mwandishi wa habari kituo cha runinga cha Star Tv, Alocye Nyanda kulipa faini ya Sh 2 bilioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kufanya udhalilishaji wa kimtandao. Hukumu hiyo iliyosomwa leo Aprili 11, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mkoa wa...
  6. JamiiForums Tanzania Aloyce Nyanda wa Star TV aachiwa na Polisi baada ya kushikiliwa kwa muda

    Taarifa ya kushikikiwa kwa Mwandishi Aliyce Nyanda Nimepokea simu nyingi toka kwa waandishi mbalimbali juu ya kutaka kujua kama mwenzetu Mwandishi Aloyce Nyanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mwanza. Ukweli ni kuwa, mwandishi mwenzetu aliitwa na jeshi la polisi na kushikiliwa kwa muda mchache...
  7. JamiiForums Tanzania Aloyce Nyanda wa Star TV huenda akafutwa kazi kwa shinikizo la wakubwa

    Duru za kweli kabisa zinatabanaisha bwana Aloyce Nyanda, mtangazaji wa kituo cha runinga Star TV, huenda akafutwa kazi kwa kile kinachodaiwa " hayupo upande wa wakubwa." Nukuu ya chanzo; Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha...
  8. JamiiForums Tanzania Hongereni Edwin Odemba na Aloyce Nyanda kwa uthubutu wa maswali Mazito juu ya wanasiasa wa CCM

    Jambo Jambo? Katika Tasnia nzima ya habari(upande wa luninga na redio) huwa nafurahishwa sana na hawa vijana wawili wakitokea stesheni ya STAR TV, Huwa wana udhubutu wa kuuliza maswali magumu kwa wanasiasa wa nchii hii hususani wenye madaraka. Nakumbuka mwenyekiti wa CCM mwanza alipigwa...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Azam TV kumuajiri Aloyce Nyanda, je watakubali aigeuze kijiwe cha porojo za CHADEMA?

    Aloyce Nyanda, mwanachadema kindakindani ameajiriwa Azam Tv, katika kurasa mbalimbali za kijamii anazomiliki, amekuwa akitukana serikali na viongozi wake. Tunasubiri uongozi wa AzamTv kama watakubali awafitinishe na Serikali kwa maslahi yake binafsi na ya chama chake Cha Chadema.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…