alipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania NUKUU: Vikao vianze tu hivyo hivyo, hata kama hayupo, amesusa au hajulikani alipo!

    "Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi intelejensia ya Tanzania imeshindwa kufahamu alipo Askofu Josephat Gwajima?

    Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima. ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
  3. JamiiForums Tanzania Kwa anaye hitaji kitu chochote kutoka Dar kimfikie alipo

    Wapendwa Habarini!! Leo nipo mbele yenu kwa wote ambao mpo mikoani na mnauhitaji wa bidhaa au mzigo wowote kama (Sim, electronics parts eg tv/redio, spare parts za magari na n.k) chakufanya wasasiliana nami utapata gharama zote za mzigo unao uhitaji mbaka pale ulipo kwa uaminifu mkubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Pakistani tokea alipoenda kujificha kwenye handaki bila simu hadi leo hajulikani alipo.. Zawadi Nono atakayetoa taarifa.

    Katika usiku wa Mei 9 na 10, kwa kulipiza kisasi dhidi ya mvua ya drones na makombora ya Pakistan yaliyoelekezwa India, New Delhi ilizindua mashambulizi ya kulipiza kisasi, ikilenga mifumo kadhaa ya anga nchini Pakistan, ikiwa ni pamoja na msingi maarufu wa ndege wa Nur Ali Khan, ulioko karibu...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi kamateni Faris Burhan Mwenyekiti UVCCM Kagera kufuatia kutekwa kwa Mdude

    Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute. Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

  7. K

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Rais Samia?

    Uko wapi mama yangu kwenye vilio na misibani hatukuoni Mbwa wako wakali uliowapa mafunzo huko ulaya ambao unawalisha kwa fedha ulizotuchangisha kwa maguvu mbona Sasa wanawang'ata na kuwaparura wenetu!! Nilifikiri utaitikia Ile milio mikali ya kengele za kanisa zilizotishia kupasua...
  8. JamiiForums Tanzania Mnajuaje location alipo mtu kwa simu?

    Hivi huwa mnajuaje mtu yupo sehemu fulani kwa kutumia location ya simu?Nataka kujifunza hili somo naona huyu mdeni ananichezea.
  9. JamiiForums Tanzania ELON MUSK ALIPO ULIZWA KUHUSU BYD MIAKA KAMA KUMI ILIOPITA ALICHEKA SANA ILA SASA HALI IMEBADILIKA GHAFLA

    Hapa akiulizwa na mtangazaji kuhusu gari za EV za BYD Alionekana ni mtu mwenye furaha sana iliyo pitiliza Hali ya sasa ilivyo sasa In 2024, BYD surpassed Tesla to become the world's largest manufacturer of electric vehicles, with BYD selling more new energy vehicles (including battery...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

    Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu. Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

    Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na Antonio Costa wanamhakikishia kiongozi wa Ukraine Volodymyr Zelensky uungwaji mkono usioyumba wa...
  12. JamiiForums Tanzania Pale kaka yake alipo dhamiria kumuua mdogo wake kisa mdogo wake kaondoa Ng'ombe zake kwa kaka yake

    Huenda Heading isilete maana ya moja kwa kwa moja lakini kwenye maelezo nitaeleza kwa kirefu sana.Japo ni ndefu ila nitafupiza sana mimi sijui kuandika ....".inaendelea" Hii ni familia kubwa ya kisukuma ambayo baba yao mzazi alifariki miaka zaidi ya 30 iliyopita.Hivyo kwa utamaduni wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hiyo ya Lema huenda hata Magufuli kacheka huko alipo

    "...wote tulikimbia hapa. Hata yeye mwenyewe alikimbilia Dubai. TUNGEVAA MADERA ENDAPO ANGEBAKI HATA MMOJA WETU." Hahaha!
  14. JamiiForums Tanzania Atakayeona picha ya Bashite kwenye video hii, atueleweshe alipo!

    Iangalie hadi mwisho!
  15. JamiiForums Tanzania Adili Mkwela (Adili Chapakazi) ametoweka, hajulikani alipo, siku tatu sasa hapatikani popote, simu zàke zimezimwa, mwake hayupo na hakuna taarifa

    Adili Mkwela, almaarufu kwa Jina la Adili Chapakazi, Hosabati, ametoweka hewani na nyumbani kwake hajapatikana wala kuonekana kutokea majuzi. Adili ni msanifu wa michoro (graphics designer), mwanamuziki, basketballer, pia ni movie director na producer. Ametwnheneza na kuongoza videos za...
  16. JamiiForums Tanzania Dada alia kwa uchungu: Bado namtafuta Mama yangu, hajulikani alipo tangu ajali ya jengo Kariakoo'

    Irene Mallya anamtafuta Mama yake Happiness Mallya, mfanyabiashara wa Kariakoo mkoani Dar es Salaam, ambaye hajulikani alipo tangu ilipotokea ajali ya kuporomoka kwa jengo Jumamosi Novemba 16, 2024. Irene amezungumza na TBC Digital katika eneo hilo la ajali Kariakoo ambapo shughuli za uokoaji...
  17. JamiiForums Tanzania Kuuliza alipo raisi Samia ni kiherehere

    Nimeona maandiko kadhaa humu toka kwa wadau mbalimbali wakihoji kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Samia a.k.a Nani kama mama. Namimi niwaulize mnataka aonekane ili mumfanye kitu gani?au mnataka aonekane ili aje atusaidie kwa lipi ?au akionekana atatua changamoto zipi? Kumbukeni Rais nae ni...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uandikishaji Wapiga Kura Serikali za mitaa: Mtendaji na Mwenyeki watakiwa kuonyesha alipo Mke wa Mtu.

    Imetokea Mara huko ..Baada ya Mume kuona jina la Mke wake katika orodha ya wapiga kura ingali kuwa Mkewe amepotea kijijini hapo zaidi ya miaka mitatu na alitoa taarifa Kwa Serikali ya Kijiji na Mtendaji. Sema kimeumanaaaa. . Pameshaanza kuchangamka mapema hivi ... Asee CCM Sasa wanaiba mpaka...
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Afande Fatma kusomewa mashtaka popote alipo

    Kesi inayomkabili 'Afande' Fatma Kigondo, anayeshtakiwa kwa kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo, Dovya jijini Dar es Salaam, imeendelea Oktoba 18, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyamburi Tungaraja, ametupilia mbali maombi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

    Ndugu zangu Watanzania, Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe . Amefika hapo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…