Aliko Dangote GCON (born 10 April 1957) is a Nigerian billionaire business magnate. He is the wealthiest person in Africa, with an estimated net worth of US$11.1 billion (May 2021).
Nigerian industrialist Aliko Dangote has cemented his place in history as the wealthiest Black individual on the planet, with his net worth now estimated at around $30 billion — a landmark figure that reflects decades of business success and global influence. 
Dangote, 68, is the founder and...
Streamer of the year Ishowspeed, worth tens of millions, toured 28 African countries in 20 days with a U.S. passport.
Africa’s richest man, Dangote worth about $30B, needs ~35 visas to move across his own continent to invest. Same Africa. Different doors.
Passport power over money 💵.
Wanabodi
List ya Forbes kwa mwaka huu ya mabilionea 100 wa dunia, imetoka leo, https://www.forbes.com/real-time-billionaires/, Bilionea Mwafrika Mweusi ni mmoja tuu, Aliko Dangote!.
Nimekuwa najiuliza, kuna uwezekano Africa tuna tatizo na managing our resources and utilization?.
Japo bara...
Tume huru ya kuzuia rushwa na makosa mengine yanayohusiana (ICPC) inapenda kuthibitisha kuwa leo jumanne tarehe 16 desemba, 2025 imepokea rasmi malalamiko (petition) kutoka kwa alhaji aliko dangote kupitia wakili wake. malalamiko hayo yanamlenga mtendaji mkuu (CEO) wa nmdpra, Alhaji Farouk Ahmed...
Alhaji Aliko Dangote, siku ya Jumapili alidai kuwa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Sekta ya Petroli ya Kati na Chini ya Nigeria (Nigerian Midstream and Downstream Petroleum Regulatory Authority), Farouk Ahmed, alilipa takribani dola za Marekani milioni 5 kwa ajili ya elimu ya sekondari...
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Aliko Dangote – bilionea namba moja Afrika na mfano wa kuigwa kwa wawekezaji wadogo.
Kupitia safari yake ya kibiashara, tunajifunza kuwa mafanikio makubwa yanaweza kuanzia Kwa hatua ndogo kabisa. Dangote alianza na biashara zake Kwa mkopo, aliaminiwa na kukopeshwa na...
Mfanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika, Aliko Dangote, amekiri kuwa anajutia kutokununua klabu ya Arsenal ambaye ni shabiki mkubwa wa Klabu hiyo kipindi ambacho thamani yake sokoni ilikuwa ni dola bilioni 2 tofauti na sasa ni $4 bilioni.
Dangote alifichua kuwa alikuwa na nafasi kubwa ya...
Mfanyabiashara tajiri kutoka Nigeria, Aliko Dangote (66), amerejea kushika nafasi ya kwanza kama mtu tajiri zaidi barani Afrika, kwa mujibu wa Orodha ya Mabilionea ya Bloomberg ya tarehe 7 Septemba 2024, akiwa na utajiri wa thamani ya Tsh trilioni 36.4.
Wiki kadhaa zilizopita, Rupert alikuwa...
Anachofanyiwa Dangote na serikali ya Nigeria na viongozi wake ni masikitiko. Napata mashaka juu ya utimamu wa akili zetu.
Baada ya kutokea mkombozi wa kiteknolojia [Huawei] China serikali ya China ilisimama na Huawei na kuhakikisha kwa namna yoyote Huawei inasimama hata pale ilipopata tishio la...
Baada ya msululu wa vikwazo kutoka Maofisa wa Nchi yake kupamba moto kisa kujenga kiwanda Cha Mafuta,Dangote anaelekea kusalimu amri na kubwaga Manyanga.
Bwana Dangote anadai aliamua kujenga kiwanda kikubwa Cha Mafuta Afrika Ili kuisaisia Nchi yake ila Kuna watu hawajapendezwa nae ambapo...
Bwana Dangote Tajiri Mkubwa Afrika ameeleza Kwa uchungu namna Mtu mweusi ana roho mbaya ya kuthamini vitu vya mweupe lakini sio vitu vya kwao weusi.
Vikwazo alivyokutana navyo bwana Dangote ni uthibitisho wa akili za hovyo za mtu mweusi.Haya hapa Tanzania awamu Ile iliyopita kulibakia kidogo...
Aliko Dangote
Africa’s richest man, Aliko Dangote, has shocked many Nigerians after saying he doesn't own a house outside the country.
Mr Dangote said he had two houses - in his home town of Kano, and Lagos - and lived in a rented apartment whenever he visits the capital, Abuja.
He was listed...
Sasa kama Dangote anaweza kuwa namba 191 duniani kwa utajiri wakati ndio namba moja Afrika, huyo tajiri namba moja duniani si anaweza kununua Afrika yote akiamua?
Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA) Leo Jumatano Machi 16, 2022 imeingia makubaliano ya kibiashara na kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mkoani Mtwara yenye lengo la kurahisisha usafirishaji wa Saruji kwa kutumia bandari ya Mtwara.
Makubaliano hayo Yanawezesha kampuni ya...
Kundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika Aliko Dangote, viongozi wengine wa wafanyabiashara na wataalamu kuingilia kati uchaguzi wa rais wa 2023.
Vijana hao wanasema kuwa uzoefu wao itasaidia kuleta...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara maarufu kutokea Nigeria Alhaji Aliko Dangote
Mazungumzo hayo muhimu yalifanyika leo Mei 24, 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam
Alhaji Dangote ni mfanyabiashara mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.