akili

Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.

Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).

Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:

  • Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
  • Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
  • Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
  • Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania wana akili ndogo sana kifo cha Gadner Habashi kilisababishwa na uzembe wa Watanzania .

    Juzi kuna msanii amechoma Gari . Lakini huyu msanii anaonekana siku za kuishi zimeisha na anaumwa magonjwa ya kimwili na akili Saikolojia . Niltegemea familia yake imtafute na kumpeleka katika matibabu . Ukimwangalia katika upande wa kushoto amevimba mashavu Anaonekana Ana magonjwa makubwa...
  2. JamiiForums Tanzania ZAMHSO: Mradi wa Afya ya Akili Shuleni utaacha athari chanya na kuleta mabadiliko ya kudumu

    Januari 28, 2025 imekuwa ni siku ya pili ya utekelezaji wa mradi wetu wa Afya ya Akili mashuleni, mradi ambao unalenga kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu afya ya akili kwa wanafunzi na walimu hapa Zanzibar. Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha tunajenga kizazi chenye ufahamu wa kutosha kuhusu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

    Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034. Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Afrika: wenye akili hawana maamuzi, wenye maamuzi hawana akili

    Ni ajabu kuona Afrika kuwa ni bara lenye rasilimali nyingi, tukiwa na ardhi yenye rutuba, madini, mafuta, na nguvu kazi kubwa ila masikini upande wetu Mungu katunyima viongozi wenye kujua waafrika tunataka nini. Afrika ni bara ambalo limekuwa likitegemea misaada kutoka nchi za Magharibi...
  5. JamiiForums Tanzania Special Agent Alex Mahone alimzidi akili Michael Scofield ila kwakuwa Michael ndio star wa Series ilibidi apewe ushindi

    Wakuu nimeirudia tena series ya Prison Break. Kwenye season 2 anaibuka Special Agent wa FBI, Alexander Mahone kusaidia zoezi la kuwakamata wafungwa 8 waliotoroka gereza la Fox River. Jamaa alikuwa na akili na daima alikuwa mbele ya muda sana. Nadiriki kusema jamaa alimzidi Michael Scofield...
  6. JamiiForums Tanzania Je ni kweli wanawake wengi wenye makalio makubwa ni watupu kichwani?

    Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili? Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi? Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.
  7. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Akili Narcissistic Personality Disorder (NPD)

    Ni ugonjwa ambào mtu anakuwa na hisia za Ubinafsi ndani yake, Aina hii ya ugonjwa mtu anakuwa na uhitaji mkubwa wa kusifiwa na kupongezwa katika kile anachokifanya.. Mtu mwenye ugonjwa huu huwa na hisia zilizokithiri za kujiona kuwa yeye ndio wa muhimu hivyo huhitaji kupewa umakini. Watu wenye...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wanavyohatarisha maisha yao kwa bodaboda, pombe kali, mirungi, na korokoro la mchina usiku kwenye night club

    Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana. Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
  9. JamiiForums Tanzania Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili

    Hatimaye bunge la Iraq limepitisha rasmi sheria ya ndoa kuwa miaka 9.. Kwamba mtoto wa kike akifikisha miaka tisa basi ni ruhusa kuolewa Ndoa ninini!? Wengine watakwambia ni ndoano.. Lakini ndoa ni mapatano/makubaliano ya kuishi pamoja watu wa jinsia mbili tofauti kama mke na mume kwa muktadha...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania kumi wenye akili sana na upeo mkubwa wa mambo

    Hawa ni watanzania 10 wenye akili Sana na upeo mkubwa wa mambo. 1 Shekh Yahaya -Mnajimu 2 FID Q Msanii 3 Diamond plutunmz -MSANII 4 KANUMBA -Actor 5 Mbwana samatta -footballer 6 Tundu lissu- MWANASIASA 7 Mwalimu Nyerere mwanasiasa 8 Robert Heriel -Mwanasaikolojia 9 Manfried Entrepreneur &...
  11. JamiiForums Tanzania 2025 inataka inivuruge akili

    Kabla ya kuingia 2025 ilibidi nihudhurie mkesha wa Vuka na Chako kwa mtume Mwamposa Na nilitamka kwa sauti kubwa sana nikiamini huu mwaka navuka na changu. Asee meza imepinduka ndugu yenu nimepigwa katafunua nilitegemea nitavuka n mpenzi wangu asee sijavuka nae kavuka na chinga wa dunia. Nina...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe akili kubwa! Kajua kutuchezesha Taifa na CCM muziki wake

    Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA. Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni viumbe wasioridhika kamwe. Tuendelee kuishi nao kwa akili

    a
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wale nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko wale mabwana waliokutana Idodomia na kufanya maamuzi kama watu waliokatwa vichwa

    Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni. Yaani nyumbu pamoja na ujinga wao wote, wakitaka kuvuka mto mara kwenda upande wa pili, walau hujaribu kutafakari kidogo juu...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna uhaba wa watu wenye Akili haiwezekani .

    Tanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele. Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimpa HELA, atataka MUDA wako. Ukimpa MUDA wako, atataka HELA. Tuishi nao kwa akili

    Habari za muda huu waungwana wa humu jamvini. Katika ulimwengu wa soka na wapenda soka kumezuka habari mbaya kwa upande wa mwalimu wa soka safi lenye kuvutia anajulikana kama GUARDIOLA. NDOA yake ya miaka 30 kama sijakosea imefikia tamati juzi Kati....huku kocha wa mpira akipoteza jumba lake...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Waafrika Tuna Akili ya Kutumia Utajiri Wetu?

    Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini ukitazama takwimu za rasilimali duniani, hali ni tofauti. Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na...
  18. JamiiForums Tanzania Akili za wenzetu

  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

    Kataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine. Mimi siwezi kufanya mambo yote hayo mimi sio baba yako. Kila mtu afe na chake
  20. M

    JamiiForums Tanzania CCM, mnawaona CHADEMA walivyo na akili kubwa na ujasiri?

    Wagombea uongozi wa CHADEMA wanafanya sana midahalo. Mimi nimewapenda sana kwa kufanya hivyo. Ninachokiamini ni kwamba, CCM walivyo waoga, hata ukimwambia mgombea ubunge wa CCM afanye mdahalo na mwanafunzi wa darasa la pili, huyo mgombea ubunge ataogopa na atakimbia mdahalo. CHADEMA mmeonesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…