akili bandia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Akili Mnemba haipaswi kuwa chombo kipya kwa Marekani kuchochea "mashindano ya mataifa makubwa" barani Afrika

    "Mustakabali wa akili bandia barani Afrika ni upi?" Wakati swali hili linaingizwa kwenye majukwaa kadhaa ya akili bandia mitandaoni, jibu lake huwa ni: "mustakabali wa akili bandia barani Afrika umejaa fursa… utaonesha nafasi muhimu katika sekta mbalimbali kama vile huduma za afya, kilimo na...
  2. Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence)

    Habari wanajamii forums, Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence). Hivyo kwa wanaopenda kufanya tafiti katika eneo la matumizi ya akili bandia kwenye mambo ya sayansi na uhandisi karibuni...
  3. SoC04 Tanzania tuitakayo katika Nyanja ya Akili Bandia

    Leo tunakutana hapa kujadili mustakabali wa nchi yetu katika ulimwengu wa teknolojia, hususan Teknolojia ya Akili Bandia (AI). Teknolojia hii ina uwezo wa kubadilisha maisha yetu kwa kiwango kikubwa ndani ya miaka 5 hadi 25 ijayo. Lakini kwanza, tuanze kwa kuelewa akili bandia ni nini...
  4. D

    SoC04 Matumizi ya Akili Bandia katika Sekta ya Afya ya Tanzania

    Karatasi ya Dhana(Concept paper): Matumizi ya Akili Bandia katika Sekta ya Afya ya Tanzania 1. Utangulizi Sekta ya afya nchini Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na upatikanaji mdogo wa huduma za afya bora, rasilimali chache za matibabu, na upungufu wa wataalamu wa...
  5. Onyo la Elon Musk: AI (Artificial Intelligence) Akili mnemba inaweza kufanya kazi za binadamu kuwa za kizamani

    Elon Musk anasema akili ya bandia itachukua kazi zetu zote na hilo sio jambo baya. "Labda hakuna hata mmoja wetu atakayekuwa na kazi," Musk alisema kuhusu AI kwenye mkutano wa teknolojia mnamo Alhamisi. Wakati akizungumza kwa mbali kupitia kamera ya wavuti huko VivaTech 2024 huko Paris, Musk...
  6. B

    SoC04 Kuwekeza kwenye Teknolojia kwa kutumia vyuo vyetu kuyasogelea kwa Karibu Mapinduzi ya Nne ya Viwanda

    Tanzania kama tunavyojiita kuwa ni moja ya Nchi zinazoendelea, hatuwezi kukwepa kujiingiza moja kwa moja kwenye MAPINDUZI YA NNE ya viwanda. Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, ni mapinduzi makubwa ya kiteknolojia ambayo yanaendelea hivi sasa, na yana athari kubwa kwa biashara na jamii kote...
  7. L

    SoC04 Mapinduzi ya Teknolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence) katika kilimo nchini Tanzania

    UTANGULIZI Kuelekea Tanzania tuitakayo, Sekta ya Kilimo nchini Tanzania ni fursa kubwa ya kukuza Uchumi wa nchi, kupunguza umasikini kwa kuboresha maisha ya watu. Sekta hii inachangia kwa 23% katika pato la Taifa, na ndiyo sekta iliyoajiri watanzania wengi takribani 65.5% ukilinganisha na sekta...
  8. Je tasnia ya habari imejiandaa na Program za Akili Bandia (Generative Artificial Intelligence) zenye uwezo wa kutengeneza Fake News and Misinformation

    Tumeshuhudia siku za karibu waziri Dorothy Gwajima akitoa tamko juu ya maudhui ya mwanadada anayeishi na nyoka. Huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja kupitia programu za akili bandia. Program hizi zina uwezo wa kutengeneza fake picha, fake video and fake sauti ili mradi kuleta utata na upotoshaji...
  9. L

    Wakati hofu kuhusu akili bandia ikitanda Afrika, China na Afrika zinaweza kufanya nini pamoja?

    Kutoka kilimo hadi matibabu, akili bandia inabadilisha kila nyanja ya maisha ya binadamu. Hata hivyo, barani Afrika, watu wana maoni tofauti kuhusu akili bandia, na hata hofu ni kubwa zaidi kuliko matarajio. Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti uliofanywa na Mfuko wa Lloyd’s Register ambao makao...
  10. SoC04 Mapambano dhidi ya taarifa chonganishi "Misinformation" zinazotokana na programu za akili bandia “generative artificiai intellegence (Gen AI)"

    Tusipo jiandaa mapema, Watanzania wanaweza wakatumbukia kwenye dimbwi kubwa la migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa matukio yenye uhusiano na magonjwa ya akili. Hii ni kutokana na madhara yatakayosababishwa na program za Akili Bandia zenye uwezo wa kutengeneza...
  11. Kampuni ya Microsoft yamuajili Sam Altman Kuongeza Juhudi katika Akili Bandia

    Baada ya CEO wa open AI Sam Altman kufukuzwa kazi katika Kampuni ya Open AI Microsoft imempa ajira mpya bosi huyo wa zaman wa Kampuni ya Open AI ili Kuongeza Juhudi katika Akili Bandia Chanzo CNN
  12. Matokeo ya darasa la 7 kwa kutumia aplikesheni inayotumia akili bandia (AI)

    Nenda google play kisha tafuta "Matokeo ya darasa la 7" Na furahia teknologia hii
  13. Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

    Nikiwa mmoja wa wafuatiliaji wa karibu sana wa hii teknolojia ya akili bandia inayofahamika kama AI. Nimejionea kwa karibu sana jinsi mambo yanavyokuwa ya moto sana. Kwa kuanzia kidogo tu, nimeonana na mchoraji katuni aliyeamua kusoma kwa nguvu, ananunua bundle then darasa linaanza...
  14. R

    Matapeli watumia Akili Bandia kujifanya Mkuu wa Umoja wa Afrika Moussa Faki, wapiga simu kadhaa kwenda Miji Mikuu Nchi za Ulaya

    Tume ya Umoja wa Afrika imekuwa muhanga wa uhalifu wa mtandaoni baada ya matapeli kutumia akili bandia ili kumuiga mkuu wa tume hiyo Moussa Faki na kuilenga miji mikuu ya nchi za Ulaya. Huu unaweza kuwa upungufu wa kwanza wa kidiplomasia kwa teknolojia mpya. Moussa Faki ambaye ni Mwenyekiti wa...
  15. R

    Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari wa Kenya atengeneza Wakili wa kisasa mwenye ujuzi wa Sheria zote za Kenya

    Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake mapambano ya baba yake kupata haki, na hii ilikuwa kwa sababu baba yake hakuwa na uelewa wa mfumo wa...
  16. Tume ya TEHAMA: Mahakama za Tanzania zinatumia Akili Bandia tangu Mwaka 2022

    Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Tehama Tanzania, Kundwe Moses Mwasaga amesema Tume imeandaa Kongamano la Saba linalotarajiwa kufanyika tarehe 16-20 Oktoba 2023 Kongamano hilo litatanguliwa na mijadala, siku ya kwanza itakuwa ni Siku ya Wanawake kwenye TEHAMA, ambapo wanatarajia kusherekea...
  17. AI (akili bandia) haiwezi kuchukua nafasi ya utashi wa binadamu

    Wazungu wamekuwa wakipambana kuwezeshwa AI (akili bandia) itawale sehemu mbalimbali na kuondoa uhitaji wa akili au maamuzi ya binadamu katika kufanikisha au kufanya kazi mbalimbali. Kuna maeneo watafanikiwa ila sio kote, mfano haya magari ya kujiendesha yenyewe sio salama kabisa maana yapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…