akabidhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Nanauka akabidhi Sh Bilioni 7 Mwanza kwa Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvI

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, Machi 7, 2026 amezindua program ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) upande wa uvuvi kwa kuwakabidhi hundi yenye thamani ya Bilioni 7 Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvi ili iwawezeshe kimitaji hafla iliyofanyika...
  2. E

    Mwakilishi wa Vijana wa Bara akabidhi Matokeo ya Mkutano wa Vijana kwa Meya wa Johannesburg

    Hassan Ghazaly, Mmisri na mwanachama wa Kamati ya Mawasiliano ya Mfuko wa Ukaguzi wa Maridhiano wa Afrika (APRM) na Mwanzilishi wa Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa, amekabidhi matokeo ya Mkutano wa Tano wa Vijana wa Afrika uliofanyika Afrika Kusini kwa Mheshimiwa Dada Morero, Meya wa Jiji la...
  3. Dkt. Stergomena Tax akabidhi Ukumbi wa CCM Magu kwa uongozi wa Chama Wilaya baada ya ukarabati

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 15 Agosti 2025, ameukabidhi Uongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wilayani Magu Mkoa Mwanza, Ukumbi wa CCM baada ya kukamilisha maboresho na ukarabati mkubwa. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika...
  4. Waziri Dkt. Kijaji Akabidhi Boti za Uvuvi Zenye Thamani ya Bilioni 2

    WAZIRI DKT. KIJAJI AKABIDHI BOTI ZA UVUVI ZENYE THAMANI YA BILIONI 2 Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amekabidhi boti 13 za Uvuvi zenye thamani ya takribani shilingi Bil. 2 kwa Vikundi vya mikoa ya Pwani na Dar-es-salaam ambazo zinatarajiwa kuwanufaisha zaidi ya Wavuvi 205 wa...
  5. Mkurugenzi Manispaa ya Songea akabidhi eneo la Mradi wa Ujenzi wa Soko la Sh Bilioni 22.9 - Manzese A na B

    Machi 28, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com aliwasilisha andiko lake akilalamikia changamoto ya Miundombinu ya soko la Bombambili kwa kueleza Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya Alisema Soko la Bombambili ambapo ndipo Wafanyabiashara walipohamishiwa...
  6. M

    PreGE2025 Mbunge Mashimba Ndaki akabidhi Magari ya wagonjwa Malampaka na Mwabayanda jimboni mwake

    Makabidhiano ya magari hayo yamefanyika kwa nyakati tofauti tofauti katika vituo hivyo yamefanywa na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, Mashimba Ndaki. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo,mbunge Ndaki amewataka wananchi na waganga wafawidhi wa vituo hivyo kuyatunza magari hayo na kuyawekea...
  7. Mbunge Mavunde Akabidhi Mradi wa Shamba kwa Wanawake Wafanyabiashara Wadogo Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MRADI WA SHAMBA KWA WANAWAKE WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA ▪️Mradi wa shamba la zabibu walenga kuwainua wafanyabiashara ▪️Wakinamama wampongeza kwa kuwainua kiuchumi ▪️Awatafutia soko la uhakika wa mazao yao ▪️Rais Samia apongezwa kwa miundombinu rafiki ya biashara...
  8. Mhe. Ndumbaro Akabidhi Vifaa Tiba Hospitali ya Rufaa Songea

    MHE. NDUMBARO AKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi vifaa tiba vya huduma ya utengemao kwa uongozi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Ruvuma, iliyopo Manispaa ya Songea mjini. Mhe. Ndumbaro...
  9. Lugumi akabidhi jengo la ghorofa 7 kwa watoto

    WATOTO ZAIDI YA 800 WAJENGEWA GHOROFA SABA ZA KUISHI DSM Watoto yatima zaidi ya 800 katika Mkoa wa Dar es Salaam wamejengewa ghorofa saba za kuishi ili kuhakikisha kundi hilo la watoto linaishi sehemu nzuri kwa ajili ya malezi yaliyo bora Ghorofa hizo zimejengwa na Mfanyabishara nchini...
  10. Lemma anajua uchaguzi unafanyika leo Arusha, na anatakiwa akabidhi ofisi, kwa nini amekimbilia Canada bila kukabidhi ofisi? Ana chuki na aliyeshinda?

    Ilitarajiwa Lemma akabidhi ofisi ndio aondoke kwenda Canada kwenye ukimbizi wake. Haijulikani atakaa huko kwa miaka mingapi. Lakini hajakabidhi ofisi kwa Mwenyekiti mpya wa Kanda ya Kaskazini. Kaondoka na fedha kiasi gani za Kanda hiyo? au kaondoka na nyaraka kiasi gani za fedha na mambo...
  11. Katibu wa NEC, Issa Gavu akabidhi vifaa vya mamilioni Chwaka

    Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Oganaizesheni, Issa Gavu, amesema Serikali ya Awamu ya Nane chini ya Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi imefanikisha maendeleo makubwa kupitia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa CCM. Akizungumza Desemba 14...
  12. Mbunge Mavunde Akabidhi Nyumba kwa Watoto Walioangukiwa na Nyumba Jijini Dodoma

    ▪️Ni watoto walioachwa na Mama Mzazi aliyefariki kwa kufunikwa na kifusi ▪️Viongozi wa Dini wamshukuru kwa upendo na moyo wa kujitolea ▪️Aahidi kuwasomesha na kuendelea kuwahudumia watoto hao Mbabala, Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde leo amekabidhi nyumba kwa watoto...
  13. Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akabidhi Eneo (Site) Ujenzi wa Soko la Kimkakati la Kabanga kwa Mkandarasi

    06/12/2024 Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh Ndaisaba G Ruhoro kwa ushirikiano na Ofisi ya Kilimo Wilaya wameshiriki kumkabidhi mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi na umaliziaji wa soko la Kimkakati Kabanga. Hii ni utekelezaji wa ahadi ya RUHORO na DIWANI wa Kabanga Mh Hafidhi Abdallah waliyo...
  14. Dkt. Mpango akabidhi magari 96, pikipiki 300 za Chanjo

    Na WAF - Ruvuma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango Disemba Mosi, 2024 amekabidhi magari aina ya Lori 28, Double-Cabing 68 yenye vifaa vya baridi pamoja na pikipiki 300 zenye thamani ya Shilingi Bilioni Nane ambayo yatasambaza huduma za chanjo kote nchini...
  15. Bashungwa Akabidhi Wakandarasi Ujenzi Madaraja Manne - Ushetu, Bilioni 18 Kutumika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametambulisha na kuwakabidhi Wakandarasi Wazawa kutoka Kampuni ya Salum Motors na Jonta Investment kwa Wananchi watakaoanza ujenzi wa madaraja makubwa manne ya Ubagwe, Kasenga, Ng’hwande na Mwabomba yaliyoathiriwa na mvua za El Nino katika Halmashauri ya...
  16. LGE2024 Mbunge Cherehani akabidhi Mabati kwa Bodaboda Nyamilangano

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani akikabidhi Mabati bando 10 kwa ajili ya Ujenzi wa banda la kituo cha Madereva wa Pikipiki (Bodaboda) Kata ya Nyamialangano. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Mbunge Cherehani akabidhi baiskeli kwa wakulima 40 ziwasaidie kufatilia mwendo uzalishaji...
  17. Mbunge Mavunde Akabidhi Uwanja wa Michezo wa Kisasa Shule ya Sekondari K/Ndege Dodoma

    Ni wa michezo ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amekabidhi kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege kiwanja cha kisasa cha michezo ya mpira wa kikapu,pete na wavu kama sehemu ya kukuza na kuendeleza vipaji vya wanafunzi wa Jijini Dodoma. Tukio hilo limefanyika...
  18. Waziri Masauni akabidhi magari 77 kwa Jeshi la Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelikabidhi Jeshi la Polisi magari 77 kwa ajili kurahisha utekelezaji wa majukumu yake ya kusimamia usalama wa raia na mali zao ikiwa ni mwendelezo jitihada za Serikali kulifanya Jeshi hilo kuwa la kisasa lenye vifaa, na weledi wa kuzuia...
  19. Mbunge Sillo akabidhi magunia 10 ya mahidi wahanga wa Mafuriko Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Babati na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo ametoa magunia 10 ya mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara. Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya Kikazi ya kutembelea na...
  20. U

    Muufti akabidhi tiketi kwa wanafunzi 41 wanaokwenda kusoma elimu ya dini ya kiislamu Morocco

    Wadau hamjamboni nyote Taarifa kamili hapo chini: Hatimaye Samaha Mufti wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir Ali Mbwana jana Jumanne amekabidhi tiketi kwa wanafunzi wanaokwenda kusoma elimu ya Dini ya Kiislamu nchini Morocco kupitia Skolashipu alizoziomba kwa mfalme wa Morocco. Ukumbi wa Mfalme...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…