ajira

  1. S

    JamiiForums Tanzania Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwenye usaili secretariet ya ajira inataka uweke na vyeti ambavyo havihusiani na kazi husika

    Mimi nilienda kufanya usaili wa TA tarehe 14.03.2026 nilikuwa shortlisted kwenye mfumo na sifa ilikuwa ni Degree ya HRM sasa nilipo fika nilikuwa na cheti cha degree na transcript, cheti cha form four, cheti cha kuzaliwa, na kitambulisho. Baadae akasema anataka na vyeti vya Ngazi ya chini...
  3. JamiiForums Tanzania Sababu kwa nini Ulaya ina tatizo dogo sana la ajira

    Hizi ndio sababu kwa nini tatizo la ajira sio kubwa sana Ulaya 1. Ulaya ina makampuni mengi sana Nchi nyingi za Ulaya kama Germany, United Kingdom, France nkzina makampuni mengi sana makubwa kama BMW, Siemens, Volkswagen nk Makampuni haya yanatoa mamilioni ya ajira, direct na indirect 2...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waombaji "Ajira Portal" tunakaa muda mrefu bila majibu, bora wasitangaze nafasi za kazi kama hawajajipanga

    Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview. Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya...
  5. JamiiForums Tanzania Dada tafuta hela, kuolewa siyo ajira

    𝗗𝗔𝗗𝗔 𝗧𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔 π—˜π—Ÿπ—”, π—žπ—¨π—’π—Ÿπ—˜π—ͺ𝗔 π—¦π—œπ—’ π—”π—π—œπ—₯𝗔. Dada hatakama maisha magumu na huna kazi ila usiharakie kuolewa kama back-up ya kupata msaada wa mume. Olewa kama ni mapenzi na mipango ya pamoja kati yako na mwenza wako kuishi pamoja maisha ya ndoa. Ndoa sio ajira. Ingia kwenye ndoa kwasababu za kihisia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya Halmashauri ya Ubungo hatujalipwa tangu Juni 2025

    Sisi ni ajira mpya Halmashauri ya Ubungo, hatujalipwa pesa zetu za kujikimu tokea mwezi wa 6 mwaka jana (2025). Tumejaribu kuafuatilia sana kwenye ofisi za Halmashauri husika, pasipo kupata majibu sahihi kuwa ni lini watatulipa pesa zetu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tuliomba ajira za Posta Agosti 2025, mpaka leo hakuna majibu wala aliyeitwa kazini

    Tumeomba ajira Serikalini tangu Mwaka 2025 Mwezi wa 8 lakini mpaka Machi hii 2026 hakuna aliyeitwa wala majibu yoyote hadi leo. Tuliomba nafasi na tulituma kupitia Ajira Portal upande wa Ajira za Posta.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hela za kujikimu kwa Ajira Mpya Buchosa – Mwanza ni kilio tangu Mwaka 2025

    Wafanyakazi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA Mkoani Mwanza huwa hawalipwi hela za kujikimu pindi wanapopata ajira mpya kutoka Serikalini. Mfano, Mwaka jana 2025 hawakupewa hela zao na Mwaka huu 2026 tangu January mpaka leo Mchi Wafanyakazi wapya hawajapewa hela zao za kujikimu.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Ushetu hatujapata pesa za kujikimu, tukiuliza wahusika wanakuwa wakali

    Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini! Tukienda halmashauri wanakuwa wakali, hakuna majibu ya kueleweka! Swala la hela ya kujikimu kila halmashauri inatakiwa tulipwe...
  10. JamiiForums Tanzania Kipi Kinachoendelea nyuma ya michakato ya ajira katika Utumishi wa Umma?

    Vijana wengi wamekuwa wakipitia msongo mkubwa wa mawazo wanao sababishiwa na hii sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma na haya ni baadhi ya maswali wanayo jiuliza bila majibu 1; Inakuwaje nafasi za kazi zinatangazwa na watu wanajitokeza kufanya usaili lakini zoezi la kuwapangia vituo...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepata majanga ya majina ajira portal

    Jina langu katika cheti cha kuzaliwa ni BAHATI NJEMA DAIMA JINA LANGU KWENYE KITAMBULISHO CHA NIDA NI BAHATI NJEMA DAIMA. JINA LANGU KWENYE CHETI CHA FORM FOUR NI BAHATI N DAIMA JINA LANGU KWENYE CHETI CHA FORM SIX NI BAHATI N DAIMA JINA LANGU KWENYE CHETI CHA SHAHADA NI BAHATI N DAIMA...
  12. JamiiForums Tanzania USHAURI: Ni sahihi kusoma certificate baada ya kuhitimu shahada ili kupata fursa za ajira?

    Kwenye kada za maendeleo ya jamii serikali wanaajili NTA level 4,5 na 6 Lakini kwa upande wa shahada za maendeleo ya jamii mara nyingi nafasi hizo hakuna. Kwasasa mimi nimemaliza shahada ya maendeleo ya jamii je ni sawa kusoma NTA level 5 mwaka mmoja ili niweze kuomba KAZI kwa cheti husika...
  13. JamiiForums Tanzania Mbinu 6 Sifuatazo Zitakukinga na Uzoroto Wa Ubongo katika Kizazi cha AI

    Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nina siku nyingi sijaja humu. Ila leo nimepata nafasi tena. Moto usizime. Mbele daima! Leo tutazungumza kuhusu jinsi ya kutumia AI bila AI kukutumia wewe. AI itawasababisha wengi kuwa na uozo wa akili. Tafiti zinasema kuwa GenZ wa sasa watakuwa the most...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo. Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kutengeneza ajira nyingi kwa kujenga barabara za mawe na zege kwenye mitaa ya miji na majiji

    Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa. Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Je mwajiriwa anaweza kusimamisha ajira yake kwa muda kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mshahara anayodai?

    Habarini wanajukwaa? Naomba kuuliza eti kama mtu ameajiriwa na serikali(ajira mpya) na hajapewa malipo yake ya mshahara kwa zaidi ya mwezi mmoja, je mtu huyo anaweza kuandika barua ya kusimamisha ajira yake kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mishahara ya nyuma?
  17. JamiiForums Tanzania Huu hapa ujanja wa kupata ajira serikalini kwa wasio na connection

    Kama una bachelor degree na bado huja upload vyeti vyako ajira portal Basi tafuta chuo cha kati weka cheti chako cha NTA level 5 Hakika utaitwa sana interview ila kama utaweka bachelor degree basi utalia na kusaga meno Serikali haina Hela ko inaajili watu wanaolipwa kidogo ahsante
  18. JamiiForums Tanzania Samia ndio Rais Pekee Aliyetoa Ajira Nyingi Zaidi katika Historia ya Tanzania

    Samia ndio Rais Aliyetoa Ajira Nyingi Kwa Wananchi Kuliko Rais mwingine Yeyote Katika Historia ya Tanzania. Yaani Toka 2021 amekuwa anamwaga maelfu ya Ajira Kila mwaka Kwa Vijana kiasi kwamba kuwakuta jobless mtaani imekuwa nadra sana.Pia Soma (1) Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu sisi ni Watumishi wapywa wa Mwezi Wa Nane 2025. Ukifatilia wanasema hawana vifungu vya Kulipa. Tunateseka sana, tunaomba mtupaze sauti iwafikie.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke kwenda chuo: Orodha ya kozi zenye nafuu ya ajira au kujiajiri na zile ambazo wahitimu wengi hubaki mtaani jobless wala uwezo wa kujiajiri

    Hii ni kwa mazingira ya Tanzania, sio Chatgpt au google inayochambua ajira kwa mazingira ya Amerika au Europe. (mifumo hio haina data za kutosha kuhusu mazingira yetu hata itakupoteza) Kozi zenye nafuu kuajiriwa Ualimu hasa masomo ya sayansi, hesabu na biashara Uhasibu Engineering -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…