ajira portal

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Msaada Ajira Portal ya Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Wakuu Portal ya Tume ya Utumishi wa Mahakama ni Pasua kichwa, kila ukijaribu ku register ili ufanye application haikubali ukipiga simu ya maulizo unajibiwa "linafanyiwa kazi na watu wa IT" na deadline imekaribia. Kuna ambaye amejaribu amefanikiwa kutuma application anisaidie ? Au ndio janja...
  2. JamiiForums Tanzania Waombaji wote kupitia ajira portal naombeni mnijibu hili swala

    Je kwenye uandishi wa barua ya maombi, anwani unaandika ya taasisi husika au unaandika anwani ya sekretarieti ya ajira? pia je barua ya maombi inawekwa pale kwenye kipengele cha Recomendation Letter au inawekwa sehwmu gani? naombeni msaada katika hilo wakuu🙏🙏🙏
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal watu wa BCOM Finance mmetusahau

    Tafadharini jamani wahusika wa hili swala(Ajira portal)najua wahusika mko hapa na mnatatua shida zinazolalamikiwa kwenye hili jukwaa,NAWAPONGEZA KWA HILO issue kubwa hapa ni sie wenye bachelor ya finance kutokukumbukwa kwenye kazi zote za account officer, auditing na hata financial management...
  4. JamiiForums Tanzania ANGALIZO: Kutozingatia hivi vitu hutokuwa SHORTLISTED Ajira Portal

    Mama kaachia asali, mpaka July wengi mtakuwa mnasheherekea. Nimekuwekea baadhi ya vidokezo vichache vinavyoweza kukunyima nafasi ya kuchaguliwa kwa ajili ya usaili (SHORTLISTED) kwa wanaopotia ajira portal. Kutosaini barua yako ya maombi, najua kabla ya kupakia barua yako ya maombi mfumo...
  5. JamiiForums Tanzania Namba za help desk Sekretarieti ya Ajira hazifanyi kazi

    Namba za Help Desk +255735398259/+255784398259 Malalamiko ++255736005511/ 255679398259 Ijulikane kuwa hizi namba hazipo au kama mtu ana malalamiko afike hapo Dodoma kuliko kuweka namba ambazo hazipo na hazifanyi kazi.
  6. JamiiForums Tanzania Nina Ordinary Diploma ya Maendeleo ya Jamii, kwenye mfumo wa ajira portal hii ndo inaitwa Diploma/FTC naomba msaada?

    Habari zenu wadau ivi kwenye mfumo wa Ajira Portal ile Diploma/FTC ni special kwa mtu aliye na kiwango kipi cha elimu?
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Habari za muda huu wana jukwaa, leo ningependa kutoa ya moyoni kuhusu majanga yaliyonikuta katika mchakato wa kuomba kazi Serikalini. Huenda sio mimi tu bali wengi wetu yametutokea au yanatukwaza kwa namna moja au nyingine. Nitazungumzia mambo matatu ambayo kwa maoni yangu yanapaswa kuangaliwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Niende moja kwa moja kwenye point. Lengo la hii mifumo ni kurahisisha process ya kuomba ajira na kuongeza umakini katika kuhakiki taarifa za mwombaji. Kwenye mfumo mtu anawajibika kuupload copy za vyeti zilizokuwa certified. Kwanini mfumo usiwe intergrated na necta directly. Kwanini sehemu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ajira portal change of email adress

    Wapendwa kama kuna aliewahi pata Hili tataizo anisaidie alivosaidiwa Email yangu niliotumia kujiunga na ajira portal iko dis abled means siwez kuitumia je kuna uwezekana ajira portal wakanibadilishia taarifa zangu kwenda email nyingine kama kuna aliewahi pata shida kama hii anisaidie...
  10. JamiiForums Tanzania Barua za ajira portal zinaandikwa kwa mkono au kwa ku type

    Hellow wakuu, mdogo wangu alitaka kuweka hapa barua ya kuombea kazi ambayo amaei type kwa computer, kui-print, kasaini kwa mkono, kisha akaipiga picha ili aiweke hapa. Kwa jinsi navyojua sisi enzi zetu barua za kazi tulikuwa tunaandika kwa mkono. Je, ni sahihi kuweka barua iliyoandikwa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Ajira Portal imedukuliwa?

    Wakuu, mfumo wa kuomba ajira wa sekretariet ya utumishi, Ajira Portal (portal.ajira.go.tz) unaonekana kutofanya kazi baada ya kutangazwa kwa ajira za PCCB na TRA. Wahuni wameshafanya yao? :( Hii website huwa ina shida ya Security. Nimejaribu kuingia leo jioni, napelekwa kwenye server za...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Status ya ajira portal leo tarehe 08.10.2021

    tuendelee kunywa mchuzi ....huenda nyama zipo bado chini.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ajira portal Utumishi unaweza kudelete sehemu yoyote ulipokosea lakini kipengele cha education qualifications No!

    Shida nini utumishi mbona sehemu nyingine delete ipo isipokua kwenye academic. Ukikosea kidogo tu unapoteza sifa za kuomba kazi uipendayo badilisheni mtu awe huru.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

    Wapendwa habari! Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate. Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi/ajira kwa walimu kutoka taifa online school

    Job Summary We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE. Job Description A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
  16. JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa. 2. Mfumo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…