Habari zenu wanajamvi?
Kama ilivyo ada, humu JamiiForums najua ni kisima cha maarifa.
Wadau naomba msaada wa mawazo na uzoefu wenu. Mara ya mwisho nilikuja hapa kuomba ushauri kuhusu mdogo wangu ambaye alikuwa ameitwa kwenye oral interview, na kweli nilipata mchango mkubwa sana kutoka kwenu...