Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisoma katika...
Anonymous
Thread
ajiraajiraportal
changamoto
chuo
kozi
kupitia
portal
taifa
utalii
wahitimu
Nilihitimu degree kwenye Chuo cha SUA, Kozi ya Agricultural Investment and Banking, kozi mpya ilianzishwa Mwaka 2020, Mwaka 2023 ilitoa Wahitimu kwa mara ya kwanza.
Mimi nilihitimu Mwaka 2024, nashukuru Mungu Alhamdullilah nina kazi, nimeajiriwa DRC lakini sasa Vijana waliohitimu wanashindwa...
Anonymous
Thread
ajiraajiraportal
investment
kazi
kozi
kupitia
portal
wahitimu
Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview.
Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya...
Anonymous
Thread
ajiraajiraportal
bila
bora
kazi
kupitia
majibu
mrefu
muda
muda mrefu
nafasi
nafasi za kazi
portal
Jina langu katika cheti cha kuzaliwa ni BAHATI NJEMA DAIMA
JINA LANGU KWENYE KITAMBULISHO CHA NIDA NI BAHATI NJEMA DAIMA.
JINA LANGU KWENYE CHETI CHA FORM FOUR NI
BAHATI N DAIMA
JINA LANGU KWENYE CHETI CHA FORM SIX NI
BAHATI N DAIMA
JINA LANGU KWENYE CHETI CHA SHAHADA NI
BAHATI N DAIMA...
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo.
Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
Anonymous
Thread
ajiraajiraportal
akaunti
changamoto
hadharani
kati
kufungiwa
kuhusu
malalamiko
portal
taarifa
umma
yangu
Msaada kwa anayejua namna ya kufuta ngazi ya elimu kwenye mfumo wa ajira portal. Nataka kufuta ngazi ya elimu ya Master na kuacha bachelor degree tuu, naomba kwa mwenye kujua nini cha fufanya au hatua zipi za kufuata plzz.
Exploring Ajira Portal News, Portal Ajira, Ajira Portal Jobs in Tanzania, and Ajira Jobs Portal January, 2026
Ajira Portal News and Updates – January, 2026
The President’s Office Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) has announced several important updates on the Ajira Portal for job...
Siku hizi ajira/mchongo/biashara ni unajuana na nani?
Recommendations tu.
Don't dare to go to an interview or apply for a job.
Bongo kazi nyiiingi mnafundishana mnafanya.
Hakuna Rocket Science kwenye hizi kazi, kazi nyingi ukikaa field husika kwa mda wa siku 90 una Master (miezi mitatu hivi...
Wakuu.
Wengi mtasupport ili, madereva ndio wanaotangazwa sana katika Ajira Portal.
Sizisemi kada nyingine, lakini mfano hapo cheki wana nafasi 40 zimetangazwa, na kila nafasi unakuta zina post 5 kuzidi.
Kwahiyo 40x5 inamaanisha kuna madereva 200 wanahitajika ndani ya hizi week mbili...
Kama una changamoto kama kusahau password,email na kutengeneza akaunti kwa mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL,LOAN BOARD, NK
Wasiliana na 0623446608
kwa msaada binafsi
Nafanyaje chuo changu nilichosomea Diploma hakionekani Ajira Portal Mpya.
Chuo ni Al Maktoum College of Engineering and Technology (AMCET) - Registered by NACTE as REG/EOS/039 (Full Registration) kipo Mbezi Beach.
1. Nimejaribu kupiga chuoni: Wanasema shida sio yao ni ya Ajira Portal.
2...
Au niache tu wakiniita nisiende? Nataka ku-cancel sitaki tena kujisumbuasumbua na kupoteza gharama za stationary, nauli, chakula, nk kisha nabakia mikono mitupu, wapi kuna button ya ku-cancel maombi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.