ajenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wapuuzeni Msijibu yale matusi ya vijana wa Chaumma waliokimbia Chadema kwa mahaba ya mbowe wana ajenda yao

    Kuna wale vijana waliotoka chadema kwa ridhaa yao na kuhamia chauma baada ya ajenda yao kujulikana. Hawa vijana wanatafta attention kupitia kuitukana chadema na maneno yasiyo na tija mtandaoni! Watu hao wanaotumia kurasa za mitandao ya kijamii kuishambulia zaidi chadema. Wana ajenda kuu...
  2. Fbn

    Hivi mnafahamu baada USA kumkamata raisi wa Venezuela kulikuwa na ajenda ambao walijitokeza wakiwa upande wa CCM na account zao,Haya angalia na hii

    Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii . Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka. Hili group la CCM lina amrisha sana .
  3. Ritz

    PostGE2025 Hizi sio harakati ni agenda za kuvuruga nchi

    Wanaukumbi. HIZI SIYO HARAKATI NI AJENDA ZA KUVURUGA NCHI 📌 Hakuna jinsi unaweza elezea watu kuwa ni sahihi kufanya maandamano tena ya kisiasa siku ya sherehe muhimu kama Krismasi. Anachokifanya Maria Sarungi na kundi lake ni mfano wa wazi jinsi walivyo na rotten morality towards human beings...
  4. M

    PostGE2025 Wahadhiri Dini ya Kiislam: Lissu aliposhambuliwa Dodoma, TEC hawakutoa tamko sababu rais alikuwa Mkatoliki; Ushahidi wa Tamko la TEC

    Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
  5. President of China

    Tanzania imeunga mkono ajenda zote katika Mkutano wa tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)

    Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
  6. L

    Watakaoshiriki tukio la D9 ajenda yao kubwa ni nini?

    Wanabodi, Watakaoshiriki D09 Wana ajenda ya kudai Miili ya wapendwa wao pamoja na waliotekwa kuweza kurejeshwa wakiwa hai au wamekufa ili wakazike wapendwa wao. Wahusika wanapaswa kuwa macho na kulifanyia kazi suala hilo ili kuepusha yale yaliyotokea MO29. MUNGU ibariki Tanzania
  7. C

    Yamkini Wabunge wa hovyo hovyo watapitishwa ili waingie bungeni kuipeleka ajenda ya Samia for life

    Huenda Ndicho kinacho sukwa kwa sasa. Mtazinduka mmesha jikojolea tayari.
  8. technically

    Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ? Sasahivi kila...
  9. Roving Journalist

    Dkt. Kazungu: Nishati safi ya kupikia ni ajenda ya Dunia, Wizara inaitekeleza kwa vitendo

    Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati Jadidifu, Dkt Khatibu Kazungu leo 04 Julai, 2025 amepokea magari mawili yatakayotumika kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia chini ya kampeni ya nishati safi...
  10. Mindyou

    PreGE2025 Video: Kuna ajenda gani inaendelea kwa hawa Waarabu wa Oman wenye mapenzi ya dhati kwa Wasukuma?

    Wakuu, Hizi hoja za kuwatambua watu kwa misingi ya makabila, kama vile kudai kwamba Waarabu wa Oman wana mapenzi maalum kwa Wasukuma, si jambo la kawaida ni njia ya kujaribu kutafuta sababu ya kuhalalisha uwepo wa Waarabu nchini. Kwa nini kipindi hiki ndo tuanze kusikia kuhusu uhusiano wa...
  11. Mkoba wa Mama

    Serikali inaruhusu watoto waendelee kwenda shule wakati wa likizo kumbe ina ajenda yake

    Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe ajenda zao. Huko Simiyu watoto wa shule za sekondari ambao hawakufunga wamekusanywa wote na sasa...
  12. L

    Katiba Mpya Siyo Kipaombele Cha Mamilioni ya Watanzania ndio Maana Ajenda Hiyo Haiungwi Mkono wala Kuzungumzwa Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kuniita majina yote mabaya ,unaweza nitukana kwa matusi yoyote yale utakayo,unaweza niita lichawa au likupe ,unaweza nitemea hata mate,unaweza kunichukia kuliko hata shetani . Lakini pamoja na hayo yoote napenda kuwaambieni ukweli mchungu kabisa ambao pengine...
  13. Mhaya

    Matukio yote Duniani Yanayofadhiliwa na Marekani ni Ajenda Iliyopangwa Muda Mrefu

    Watu wanashindwa kutambua kuwa Marekani ilishaachana na sera za kujenga mabarabara na shule, ajenda yao kuu ni kuwa na nguvu Duniani, kuitawala Dunia, kuiweka Dunia kiganjani. Ulaya yote hakuna anayekoroma pale ambapo Marekani anatoa maelekezo yake kuhusu Dunia, zaidi ya kuwa watu wa Ulaya ni...
  14. W

    PreGE2025 Msanii Lulu Mapunda anayeiunga mkono ajenda ya 'No reforms No election' huko Instagram amelalamikia kupewa vitisho

    Wakuu hapa tulipofika mbona kama pabaya. Kuna haja gani ya kumtishia kisa tu ameisapoti No reforms, mbona hao chawa wao wanasapoti Oktoba wanatiki na hakuna aliyewatishia? Hakuna haja ya kutishiana wakuu. === "Lulu Mapunda kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Ndugu @saidi8310 umekuja...
  15. MIMI BABA YENU

    Ajenda ya No Reforms No Election inawapiginisha Chadema katika mikutano ya hadhara

    Wingu zito la mgogoro ndani ya CHADEMA juu ya wanaounga mkono na wanaopinga Kampeni ya No Reforms na No Election limeendelea kutanda na sasa limefikia hatua mbaya zaidi, wameshindwa kuuficha mgogoro wao na sasa wameamua kuchapana makonde kwenye mikutano ya hadhara. Chokochoko zilianza kwenye...
  16. technically

    Je Gwajima katumwa kuzima ajenda ya NO REFORM NO ELECTION?

    Ukiangalia hoja za Gwajima kweli Zina mashiko lakini kwa sisi wenye jicho la tatu tunajuwa ametumwa kuzima ajenda ya no reform no Election. Nikikumbuka jinsi Jk alivyomtumia kumleta Lowassa Chadema usishangae akawa anatumika pia kutaka kuzima ajenda ya no reform no Election. Kwanini anavitetea...
  17. Lord Denning

    Kukosa akili kwa CCM na System kunazidi kuthibitisha Uhalali wa Ajenda ya Chadema kuhusu No Reforms No Election.

    Wakati Tundu Lissu akikamatwa na kuswekwa Gerezani kwa tuhuma za hila dhidi yake na Chadema. Wakati viongozi na Makada wa Chadema wakitekwa, kuuwawa na kupotezwa. Wakati Maofisa wa System wakienda kumwaga vitu vya kemikali kwenye Ofisi za Chadema Mbeya kuwatisha Wanachadema na Wanambeya kuacha...
  18. Genius Man

    Ni wazi kujiondoa kwa G55 kuna ajenda ya siri ya kutaka kuyumbusha chama lakini hii nayo inampigia promo Lissu duniani kote

    Kila mmoja anajua na hata ualaya wanajua Lissu amehamasisha uwepo wa uchaguzi huru na wa haki nchini, sasa anae waelewa hawa G55 aje anieleweshe wanapinga nini ? kwenye mabadiliko hayo na progamu hiyo ya chama. Ukiangalia vizuri hawa G55 wana ajenda ya siri nyuma ya pazia au wametumwa na mtu...
  19. C

    CCM msiingize ajenda udini kwenye matamko ya TEC Kama mlivyo anza kufanya ili kutafuta huruma, hata MAGUFULI alionywa mara nyingi na TEC

    Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo...
  20. Rashda Zunde

    Kauli ya Lema yaidhihirisha CHADEMA haina ajenda kwa vijana na michezo

    Kauli ya Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA, Godbless Lema, ya kusema anaomba Mungu Simba na Yanga zipotee zisiwepo, ni kauli isiyoendana na hali halisi ya umuhimu wa michezo katika jamii ya Kitanzania na hata duniani kwa ujumla. Ni muhimu kuelewa kwamba michezo si burudani tu bali pia ni chombo...
Back
Top Bottom