ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dereva wa gari la CHADEMA adakwa kwa kusababisha ajali Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva Yahaya Bakari Idd (43) mkazi wa Gongo la Mboto Mkoa wa Dar es salaam baada kusababisha ajali iliyotokea Juni 5, 2025 katika eneo la Mataa ya Tumbaku kata ya Mafisa Manispaa ya Morogoro. Taarifa ya leo Juni 6, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ajali, Magari matatu yagongana kwenye Flyover Ubungo

    Magari matatu yamegongana kwenye flyover ya Ubungo muda mfupi uliopita, na kusababisha taharuki kwa watumiaji wa barabara hiyo. Hadi sasa, hakuna taarifa za kifo zilizoripotiwa, ingawa uharibifu wa magari na msongamano mkubwa wa magari umetokea eneo hilo. Chanzo Cha ajali hiyo bado...
  3. JamiiForums Tanzania Gari ya muziki ya CHADEMA yapata ajali mmoja ajeruhiwa

    Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati. Gari...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM na mkewe akitoka kwenye mkutano wa halmashauri kuu yao apata ajali na kufariki hapohapo eneo la mji wa Mitumba - Dodoma

    Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake...
  5. JamiiForums Tanzania Picha Ajali: Wasiofahamika wateketea kwa moto katika ajali Mufindi, gari zimeisha kabisa yamebaki majivu

    Watu wasiofahamika Wamefariki Dunia kwa kuteketea kwa moto na kubakia majivu baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso na kisha kuwaka moto na kuteketea na kusababisha vifo hivyo. Akizungumza na Mwandishi wa habari hizi katika eneo la tukio Mei 29,2025 Mkuu wa wa Polisi Wilaya ya Mufindi SSP...
  6. JamiiForums Tanzania Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Lori maeneo ya Tabora leo Mei 28, 2025

    Inadaiwa kuna Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Gari maeneo ya Tabora huko, wenye taarifa zaidi watujuze. ============================= Abiria wa Gari Moshi wamenusurika kifo kufatia ajali ya lori la mizigo lenye trela Namba T 933 DMF lililokuwa likitokea Tabora kuelekea Wilayani...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi

    Tanzania: Ndani ya Saa 24 zimetokea ajali nne za Mabasi 1. Premier line 2. Kandahar invest 3. Msigwa Express 4. Njombe express Kinachouma Jeshi la Polisi hawataki kutoa taarifa. Mifumo ya Nchi imeparalyse kila mtu anafanya atakalo. Matajiri hawaguswi sababu ya Rushwa. Waongea ukweli...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi Trafiki komesheni ajali za wakimbia kwa miguu barabarani

    Polisi Trafiki waelimisheni wanaokimbia au kutembea kwa miguu barabarani watumie upande wa kulia ambao wanatazamana na vyombo vya moto vinavyokuja upande wao. Mara nyingi zimetokea ajali za watembea au wakimbia kwa miguu kugongwa na vyombo vya moto vinavyokuja nyuma yao kutokana na kutoviona.
  9. JamiiForums Tanzania Msaga Sumu apata ajali Ruvuma, apelekwa MOI kwa uchunguzi zaidi

    Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma, Ngollo Malenya amethibitisha taarifa za Msanii maarufu wa singeli, Msaga sumu kupata ajali jana Mei 16,2025 wakati akirejea Dar es salaam akiwa anatokea Wilayani Namtumbo kutumbuiza kwenye mkesha wa mwenge. DC Ngollo amesema "Msaga sumu alikuja Wilaya...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Ajali mtu mmoja adaiwa kufariki, BMW X5 yateketea kwa moto, dereva akwepa Ng'ombe na kugongana na basi la ABC

    Mtu mmoja ameeefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha gari aina ya BMW na Bus la abiria la ABC,ajali hiyo iliyotokea barabara ya Dodoma-Morogoro eneo la Makalavati kwa mujibu wa mashuhuda wanasema dereva wa gari ndogo alikuwa anamkwepa Ng'ombe na kupelekea kwenda kugongana na Bus la abiria la...
  11. JamiiForums Tanzania Ajali ya Treni ya Dar maeneo ya Karume, mabehewa yameacha njia

    Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki Behewa limeacha njia na kuanguka, Watu kadhaa wamejeruhiwa, abiria wanaotoka Magomeni kwenda Mbagala na Tandika watalazimika kutafuta...
  12. JamiiForums Tanzania Basi la mafunzo la NIT laparamia maduka na pikipiki eneo la Maji Chumvi, Tabata

    Nimekuta hili Basi la Mafunzo la Chuo cha Usafirisha (NIT) likiwa limevamia maduka na baadhi ya pikipiki zikiwa uvunguni mwa gari hili hapa eneo la junction kona na mlima mkali Maji Chumvi. Sijaweza kupata madhara yaliyotokea. Kama alikuwa anaendesha mwanafunzi wa mafunzo ndo basi tena...
  13. JamiiForums Tanzania Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

    Aisee, huku mtaani kuna jamaa alinunua bajaji juzi, akampa dereva ili ampelekee hesabu kila siku. Leo asubuhi bajaji imepata ajali mbaya sana—haitamaniki kabisa. Imeharibika vibaya kiasi kwamba sasa ni ya kuuza kama chuma chakavu tu. Milioni kumi zimepotea kizembe sana. Yule jamaa...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, 'Land Cruiser' imeisha kabisa

    Inaripotiwa kuwa ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, huku gari aina ya Land Cruiser ikionekana kuharibiwa vibaya. Aidha inasubiriwa taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka husika juu ya madhara zaidi yaliyotokana na ajali hiyo.
  15. JamiiForums Tanzania Iringa: Watu saba wafariki kwa ajali iliyohusisha ambulance na toyo, wengine 15 wajeruhiwa

    Watu saba wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa katika ajali ya gari la kubeba wagonjwa (ambulance) kugongana na toyo katika eneo la Luganga, lililopo katika Halmashauri ya Mji Mafinga, Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa. Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi wa ajali hiyo leo Jumamosi...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Maswali lukuki ajali, kifo bosi Tanesco

    Wakati aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (Tanesco), Gisima Nyamo-Hanga akizikwa nyumbani kwao katika eneo la Migungani mjini Bunda mkoani Mara kufuatia ajali iliyoondoa uhai wake na dereva wake Muhajiri Haule, maswali bado yanagonga vichwa kuhusu ajali hiyo. Miongoni mwa maswali...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

    Bosi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Nyamo Hanga aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15 i
  18. JamiiForums Tanzania Amepata ajali, kwa anayeweza kumfahamu au ndugu zake

    Amepata ajali maeneo ya mbezi kibanda Cha mkaa jana asubuhi tarehe 15/4 2025. Mwili uko hospitali ya taifa Muhimbili -Mloganzila, kwa anaweza kumfahamu au ndugu zake.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya ajali ya Mkurugenzi wa TANESCO hata katika picha yanatia shaka sana. Polisi wajibu haya maswali

    Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli? Sasa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ajali ya boss wa TANESCO najiuliza haya

    Ajali ilitokea usiku wa manane, dereva na abiria wakafa hapohapo. Tunaambiwa dereva alikuwa anamkwepa mwendesha baiskeli. Je nani alimuona huyo mwendesha baiskeli? Huyo aliyemuona alikuwa wapi? Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…