airtel money

Airtel Payments Bank is a public limited company with its headquarters in New Delhi, India. The company is a subsidiary of Bharti Airtel. It is the first company in India to receive a payments bank license from the Reserve Bank of India and it became the first live payments bank in the country. On April 11, 2016 the Reserve Bank of India issued the license under Section 22 (1) of Banking Regulation Act, 1949 to Airtel Payments Bank. Airtel Payments Bank is a joint venture between Bharti Airtel Ltd. and Kotak Mahindra Bank Ltd.. Kotak Mahindra Bank holds 19.9% stake in the Airtel Payments Bank.

View More On Wikipedia.org
  1. rich1

    Kero kwa Airtel money pind unapotuma pesa wakala kwenda kwa wakala mkuu.

    Habar ndugu zangu.... Kunachangamoto na hatari kwa sisi ma wakala wakati wakutuma pesa Airtel kwenda kwa wakala mkuu, hawaonyesh jina mpaka pesa iende ndio jina linakuja, kwa utaratibu huu mliounzisha Airtel n hatari sana kwa sisi mawakala kupoteza pesa.
  2. H

    Baada ya Airtel kuthibitika kutumika kisiasa, wateja tusitumie Airtel Money, ukiweza itupe line au uipumzishe

    Imeelezwa kuwa CHADEMA ilikuwa ikikusanya michango ya wanachama kwaajili ya maadhimisho ya 33 tangu kuanzishwa kwake, kwa kutumia huduma ya Airtel Money. Huku michango ikiwa inaendelea, Airtel baada ya kupokea maelekezo kutoka chama kile cha mauaji na serikali yake, wameamua kuifungia hiyo line...
  3. Ndikusyaganya

    JINSI YA KUWA SUPER AGENT au AGGREGATOR ( MPESA, TIGOPESA, Airtel Money n.k)

    Wakuu habarini hapa Jamvini? Weekend ya leo naomba mwenye uelewa mtoe ujuzi wa namna ya kuwa au kuifhinishwa kuwa Super Agent au AGGREGATOR wa mitandao mbali mbali ya simu haya TZ kwa huduma za e-money like TIGOPESA, M-Pesa, Airtel Money, Halo Pesa na zingine ... NB: Kwenye maduka yao hawatoi...
  4. excel

    Airtel Money sio salama. Nimebadili neno la siri bila Kuhojiwa taarifa zozote Muhimu na wahudumu kuhusu Account yangu

    Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili. Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine? Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭 Sidhani kama...
  5. barakachaplin

    Nafasi ya Kazi: Airtel Money Business Support Officer

    Je, wewe ni mtaalamu wa ukuaji wa biashara, usimamizi wa akaunti muhimu, au huduma za fintech? Jiunge na mteja wetu, kampuni ya simu maarufu, kama Airtel Money Business Support Officer na usaidie kuendeleza matumizi ya pesa za mkononi, ushirikiano wa biashara, na mifumo ya malipo ya dijiti! 🔹...
  6. Fateema

    Airtel Money hii maana yake nini kuidhinisha malipo bila idhini ya mteja. ( Kuna mchezo gani unaendela hapo Airtel Money)

    Nipo nimekaa zangu nashangaa kupokea ujumbe " Ndugu mteja umelipa. Sh 2999 kwenda Google Play. " Kweli Mimi Nina akili zangu timamu nilipe sh elfu 2 na 999 kwenda Google Play? Ili iweje? Toka lini Google Play ikalipiwa? Nimepiga simu kuongea na huduma kwa wateja aliposikia tu shida yangu...
  7. KING MIDAS

    Airtel boresheni malipo ya kamisheni kwa mawakala wenu wa Airtel Money, yaani mnatajirika kwa mitaji yetu na nguvukazi zetu

    Kama ulikua hujui ni mtandao gani hulipa KAMISHENI ndogo zaidi wacha nikufahamishe;- Mtandao unaolipa pesa ndogo zaidi kwa mawakala, Baada ya kufanya biashara ya kutuma na kupokea pesa, Kuliko mtandao wowote hapa TANZANIA ni AIRTEL, Huu mtandao unalipa kiasi kidogo sana cha pesa...
  8. M

    Airtel Money Changamoto Sana

    Jana jumamosi saa 6 mchana Nilifanya muamala airtel money pesa ya kununua ticket ya kusafiria jana usiku kwenda kusheherekea Eid Mkoa fulani. Airtel walikata hela ya nauli na ada yao ya huduma Tsh 900 kwa huduma hiyo. Hadi nafika kituoni kupanda basi jana saa 4 usiku muamala haujakamilika na...
  9. A

    Airtel inabidi mjitafakari. Kwanini mnawabebesha mawakala uzembe wa wateja?

    Kuna mdada anayeishi Tabata, ambaye aliwasajiliwa laini na mawakala wa Airtel waliokuwa wakipita mitaani. Bila yeye kujua, mawakala hao walifanya SIM swap kwenye laini yake. Baadaye, wale waliosajili laini hiyo waliitumia kwenda kwa wakala wa Airtel Money na kutoa pesa kwa njia halali—simu...
  10. Gudasta

    Je Kuna uwezekano wa kubadilisha airtime kwenye airtel kuwa airtel money...

    Naomba kuuliza kama inawezekana kubadili airtime kwenye airtel iende kwenye airtel money na kutoa Kwa wakala cash?
  11. barakachaplin

    Airtel Money Merchant Business Support Officer - Job position

    Company Overview Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult) is a management consulting firm specializing in organizational change, talent search, acquisition, and executive selection. We are currently recruiting on behalf of our client, a well-established Telecommunication Company, for a...
  12. zyuho

    kununua vipande UTT AMIS kwa airtel money najaribu ina goma!

    Naomba kujuzwa namna ya kuweka hela UTT kwa kutumia airtel money . Kila nikijaribu inataka niweke namba ya kampuny na mimi siijui
  13. O

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine.

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000 Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri) Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha...
  14. Cute Wife

    Airtel huduma yenu ya mteja kuomba atumiwe pesa ni nzuri lakini inachochea utapeli, rekebisheni wateja wanalizwa

    Wakuu salaam, Airtel kama mitandao mengine ina huduma inayokuwezesha kuomba kutumiwa pesa na mteja mwingine (kwa TiGO sijaona huduma hii), lakini kwa Airtel iko tofauti kiasi. Kwa Airtel unaweza kutuma maombi hayo kwa mtu mwingine anayetumia Airtel pamoja na wateja wa mitandao mengine, yaani...
  15. Wakili wa shetani

    Benki za kwenye simu ni zaidi ya Benki Kuu!

    Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi? Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu. Hawahangaiki hata kuchapa pesa kama benki kuu, wanachapa tu codes, tunakopeshana keshi wenyewe...
  16. GENTAMYCINE

    Siioni Simba SC ikishika nafasi ya Pili japo jitihada za Airtel Money na Magumashi zinafanyika mno

    “Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.” “Tangu nimekuwa msemaji wa timu yenu timu haijawahi kuja Arusha hivyo nikaona hii ni nafasi nzuri ya kuja tuonane. Nimefurahi kwa...
  17. GENTAMYCINE

    Simba SC tusilazimishe kwa Magumashi ya Airtel Money ili tuwe nafasi ya Pili NBC Premier League, ukweli ni kwamba bado tuna Shida Kubwa za Kimsingi

    Tena natamani sana wana Simba SC Wenzangu wangeingia katika Mawazo yangu ya kutaka tuwe nafasi ya Tatu ili twende Kombe la Shirikisho ( kama litakuwepo ) ili taratibu tunapoanza Kukijenga Kikosi chetu kwa Msimu ujao tuanzie huko kwa Kujipima ila kwa Jicho la langu Tukuka la Kiufundi hata Simba...
  18. O

    Airtel money master card

    Je kila MTU ana experience ratizo hili? Ukitaka kuangalia taarifa za kadi au kutengeza mpya kuna ujumbe napokea ona Toka juzi, nimeshindwa kununua bidhaa, nambieni Voda kukoje nizame maana ni haraka oda isije fungwa
  19. Nrangoo

    Gharama za makato kutoka Skrill kwenda Airtel money

    Habari wakuu Kwa wale watumiaji wa E-wallets haswa Skrill , ninaona wameongeza huduma ya kutoa pesa kwenda Mobile money! Nimejaribu kuangalia makato (Fee) yake kwa kupitia Airtel money naona kama charges zipo juu sana. Vipi ni njia gani nafuu mnazotumia ndugu zangu?
  20. Mamujay

    Nimetumiwa pesa toka CRDB kuja Airtel money tangu jana Alhamis hadi leo Ijumaa haijaingia

    Naombeni msaada Nifanyaje jana mafundi walikuwa site nusu wanipige makofi. Pesa imetumwa kutoka CRDB kuja Airtel money tangu jana alhamis saa 12 jion hadi saiz naandika ni saa 12 asubuh pesa haijafika CRDB Wanasema pesa imeshatumwa Airtell Money wanasema hakuna muamala wowote.
Back
Top Bottom