Agenda-setting describes the "ability (of the news media) to influence the importance placed on the topics of the public agenda". The study of agenda-setting describes the way media attempts to influence viewers, and establish a hierarchy of news prevalence. Nations with more political power receive higher media exposure. The agenda-setting by media is driven by the media's bias on things such as politics, economy and culture, etc. The evolution of agenda-setting and laissez-faire components of communication research encouraged a fast pace growth and expansion of these perspectives. Agenda-setting has phases that need to be in a specific order in order for it to succeed.
Wakuu,
Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live
Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba
https://www.youtube.com/watch?v=caUT4k_qHjs
Katika desturi za kimahakama, uamuzi ukisha fikiwa baina ya watu wawili kuhusu shauri fulani, mahakama hiyo hiyo hairuhusiwi tena kurudia kulisikiliza shauri hilo hilo baina ya watu hao hao tena. Hiyo ndio maana ya Res judicata.
Sasa hivi CCM tayari tuna mgombea urais, Dkt Samia, mchakato...
1. Umri wa mteja (moral decay)
2. Lugha ya mteja,(moral decay)
3. Hali ya uchumi wa mteja( Ugumu wa maisha.
4.Kukithiri kwa biashara haramu ya ngono isiyolipa kodi.
Soon Watu wataacha Agenda Muhimu za NO REFORMS NO ELECTION na kuanza kujadili ujinga ujinga wa Timu Ambazo hazina msaada wowote Ule Kwenye maisha Yao ya Kila SIKU Zaidi ya wao kuzinufaisha hizo Timu.
Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake
Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo
Ni mbinu gani ambayo...
Polisi ya Tanzania inataka kuonekana kwenye media ikiwaadhibu Chadema wakifikiri wanawasaidia. Kibaya ni kwamba hakuna chochote na agenda yeyote inayosikika maana kila siku ni mashindano sio tena ya CCM na vyama bali vyombo vyote na Chadema.
Msajili naye amejiingiza kwenye kiki maana wanajua...
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa...
Wakuu,
Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli?
Wataumiza na kuua wangapi mpaka wajue hawawezi kunyamazisha watu kusema kweli isipokuwa tu kwa kubadilisha mienendo...
agenda
father
kuelekea 2025
kusema
mama samia
mungu
padri muchunguzi
padri samwel muchunguzi
samia
siasa
siasa na dini
siasa za tanzania
watumishi
watumishi wa mungu
Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile
Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa
"kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
Inaonekana na inataka kuzoeleka kuwa wale waliokuwa vilaza na viazi darasani ndio wanapambana kujionesha kwenye mitandao kama ndio wenye akili na wenye mafanikio.
Nawaasa vijana wote mliomo humu ambao ni vipanga hebu amkeni..na muwachape nondo za kisawasawa hawa vilaza waliokosa muelekeo na...
Jakaya Kikwete -Mlimuita mpole
John Pombe Magufuli -Mkasema dikteta
Samia Suluhu Hassan-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi umma wa watanzania.
-----Update-------
Hoja zangu zimeshambuliwa na wananchi ambao Wanaona haiwezekani kwa kuwa serikali zingine zimeshindwa lakina ukweli ni kuwa sisi tutafanikisha Hili suala kwa kujua umhimu wa kuanzia fursa sawa kwa watoto wote wa Tanzania.
----------
Ndugu wananchi...
Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao.
Lissu, Lema, na Maria Sarungi nao pia wana watoto wachache sana kila mmoja, na...
Ukiona mtu yeyote awe rafiki yako au ndugu yako anaepinga no reforms no election ujue ni aidha ananufaika moja kwa moja na mfumo uliopo (CCM) kama sivyo basi ujue huyo mtu HANA AKILI NA NI MJINGA wa kiwango Cha SGR.
Zifuatazo ni hoja walizonazo Wanaopinga no reforms no election ya chadema...
Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu ya "Marekani Kwanza." Ajenda hii ililenga kuboresha uchumi wa Marekani, kuleta ajira, na kulinda...
Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025.
Kwanza waligusia Tume Huru ya Uchaguzi na wakasema kwa uwazi kuwa Tume hii si huru. Pili walisema kuwa ili...
Watanzania wameendelea kupata elimu hii ya bure na kinachotia moyo ni kwa namna wanaielewa sera hii kwa haraka na kwa weledi. Hii ni baada ya ziara ya Kanda ya Nyasa.
Amina.
Askofu Dkt. Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe amesisitiza kuwa ajenda ya mageuzi ni mali ya taifa zima na haipaswi kumilikiwa na chama chochote cha siasa.
Akizungumza kuhusu mchango wa Rais Samia katika mageuzi ya taifa, Askofu Bagonza amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.