agano la kale

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Agano la Kale ni katili?

    https://youtu.be/zUhs8c75ypc?si=gHAZwpRaTLZ_CnRY
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Falme za Israel agano la kale zilikumbukwa Kwa mema au mabaya yaliyotendwa; ndivyo Samia na magufuli watakavyokumbukwa.

    Utawala wa Samia una damu kubwa sana ya watanganyika Kuanzia waliotekwa mpaka waliouwawa 29octoba2025 hivyo utawala wake utakumbukwa kama utawala wa mwanamke muovu kuwahi kutokea katika taifa letu. Na pengine mwanamke muovu zaidi afrika.
  3. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Misingi 13 ya Imani kwa Waisraeli, asili na imani ya Kiyahudi katika Agano la kale

    Kanuni kumi na tatu za imani zimejumuishwa katika kila kitabu cha maombi cha Kiyahudi, na husomwa kama wimbo wa kiliturujia mwishoni mwa ibada. Usomaji huu unajulikana kama kiashiria cha ufafanuzi wa maandishi cha Yigdal na unaangazia nguzo za msingi za imani ya kitamaduni ya Kiyahudi, kama vile...
  4. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Yesu na Mungu wa agano la kale wote ni sawa? Je Brian decon aliyewekwa makanisani ndiyo Yesu?

    Nataka kuokoka ila bado nipo njia panda kila nikisoma biblia nakosa majibu sasa wajuvi wa mambo nauliza hivi kati ya Yesu na Mungu aliyetajwa kwenye biblia la agano la kale ni wote wako sawa? Kwa maana kuna watu au madhehebu tofauti kuna wengine wanaamini Yesu ni Mungu na kuna wengine wanasema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania agano la kale ndio lina sheria ya fungu la kumi leo hii makanisa yanalidai, ila pia limekataza kitimoto,bikira tu ndie aolewe, why makanisa hayafati?

    habari wadau. naombeni mnijibu kwa nini leo hii wachungaji kanisani wanafata mistari ya biblia ya agano la kale kukusanya sadaka za fungu la kumi kwa waumini wao, na wanasisitiza ni sheria ya Mungu usipotoa ujue unamuibia mungu. ila sheria zingine za agano la kale wachungaji na makanisa...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Zamani za Biblia za agano la kale walikuwa wanatumia calendar gani kabla ya calendar za Warumi?

    Kabla ya ujio wa Julian calendar 46 BC watu wa zamani walikuwa wanatumia calendar ipi? Miaka ilikuwa inahesabiwa vipi enzi za Biblia ya agano la kale? Walioishi miaka 900 ni kwa kutumia calendar ya miezi 12 au tofauti?
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Sayansi imethibitisha uwepo wa Adam na Hawa

    Imepita zaidi ya miaka 6000 mpaka 6700 Baba WA wanadamu Nabii Adam na Mama wa Wanadamu Hawa kushushwa kwenye ulimwengu huu wa Dunia. Hatimaye utafiti uliofanywa hivi majuzi wa kisayansi umetoa ushahidi wa kutosha kwamba wanadamu wote waliopo Ulimwenguni wana ukoo mmoja, ambapo inaonyesha...
Back
Top Bottom