afya

  1. JamiiForums Tanzania Saratani kwa Watoto: Huduma za Afya zinawafikia ipasavyo?

    Leo Februari 15 ni Siku ya Kimataifa ya Saratani kwa Watoto Inakadiriwa Watoto na Vijana wa hadi miaka 19 wapatao 400,000 hugundulika na Saratani kila mwaka. Ugonjwa huo ni sababu kuu ya Vifo licha ya Saratani nyingi za Watoto kutibika. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), baadhi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho. Chanzo: ITV Dakika 45
  3. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje shirika la Afya linaajiri waalimu kudeal na mambo ya Afya? ( client tracking)

    Kuna shirika moja hapa Tanzania ni maarufu sana linahusiana na mambo ya ukimwi lipo mkoani Tabora na sehemu mbalimbali lakini cha ajabu sasa kuna halmashauri moja mkoa wa Tabora imeajiri waalimu kwa ajili ya kuwafuatilia wateja na mambo mengi yahusiano na utoaji wa dawa za kufubaza virus vya...
  4. JamiiForums Tanzania Bunge halijatenda haki kutowasilisha muswada wa Bima ya Afya kwa wote

    Naendelea kushangaa juu ya kigugumizi cha wabunge juu ya muswada huu muhimu unahusu afya za watanzania. Hili ni jipu la muda mrefu sana lenye kuhitaji tiba. Siku za nyuma Serikali imekuwa inakwepa kuwasilisha muswada huu bungeni. Hata hivyo vision ya Rais Samia ilikuwa ni kuwasilisha muswada...
  5. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Afya ya Akili utotoni yanaweza kuchochea kupoteza kumbukumbu

    Matatizo yanayotajwa ni umasikini, migogoro ya familia au kuugua na kingine chochote ambacho kinaendana na utimamu wa Afya ya Akili. Utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge cha England umebaini kuwa mtoto anapofikia hatua ya kufanya maamuzi wakati wa ukuaji wake anaweza kuathirika mfano kusahau...
  6. JamiiForums Tanzania Uchumi imara hujengwa na wananchi wenye afya imara

    UCHUMI IMARA HUJENGWA NA WANANCHI WENYE AFYA IMARA. Na Konakuze Bodi 0759754034 mswaada wa bima ya Afya kwa wote ni sera ambayo inalenga kuijenga, kuisuka, kuimarisha sekta ya Afya na kuwakomboa watanzania kuiuchumi kutokana na uondoaji wa msululu na Utitili wa gharama kubwa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Upendeleo kwenye jambo lolote, maudhui na muktadha wowote si afya

    Wasalaam JF Niseme ya kwamba upendeleo ukizidi si afya iwe kwa namna yoyote ile, mizania iwe sawa iwe kwa wanao wapendeza na wasio wapendeza nyie miungu wa dunia wenye vyombo na mali zenu. Pingu hazitawashibisha fairness iwe ndio msingi wa kazi yenu. Wadiz
  8. JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa Diploma, Chuo cha Muhimbili-COHAS, Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya

    Wanafunzi wa Diploma, chuo cha Muhimbili-COHAS kilichopo Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya. Kumekuwepo na malalamiko ya wanafunzi kulalamika kwa kile kinachoendelea katika chuo hicho ambacho kinatoa Elimu kwa ngazi ya diploma (MUCOHAS) huku walimu wakisema maelekezo...
  9. JamiiForums Tanzania Iringa: Wananchi wahofia kufanyiwa Upasuaji kwenye Kituo cha Afya kisicho na Jenereta

    Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho, Dkt. Selestini Vulua amesema kituo hicho ni kati ya Vituo 6 vilivyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo kinahudumia Kata 7 na Vijiji zaidi ya 30 kwa Huduma ya Upasuaji. Dkt. Vulua amesema "Kuna wakati unafungua Tumbo la Mama halafu Umeme wa TANESCO...
  10. JamiiForums Tanzania 40% ya Wagonjwa wanaotibiwa Saratani Hospitali ya Bugando ni Wanawake wenye Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi. Dkt. Masalu amesema #Bugando inahudumia Wagonjwa wapya 1,500 wenye tatizo la Saratani kwa mwaka huku zaidi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Faida za Muswada wa Bima ya Afya kwa Wananchi wa Kawaida na Masikini

    Naikumbuka vizuri sana siku ya tarehe 6/04/2021 ambapo Rais wangu mpendwa Mama Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali pale Ikulu yetu, alisema kuna suala la Bima ya Afya kwa Wote, wataalam kaeni mlimalize hili, tuleteeni Serikalini tulijadili ili tuone kama linatekelezeka kwa kiwango gani. Agizo...
  12. JamiiForums Tanzania Ufaulu huu anaweza kusoma kozi gani nzuri ya afya?

    habari za humu? Huyu dogo amepata three ya 23 na matokeo kama ifuatavyo; Civic-D, Hist-D, B/Math-F, Eng-D, Biology-C, Kiswahil-B, Physics-D, Chemistry-D
  13. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya anaweza kusoma kozi yoyote na ipi ya afya?

    Habari za humu ndani? Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni: physics-D CHEMISTRY-D BIOLOGY-C B/MATH-F ENG.-D
  14. JamiiForums Tanzania Mjane wa mpendwa wetu, alhamdulilah ana afya nzuri kweli

    Mwenyezi mungu amjalie utulivu na afya iliyo njema.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Sekta ya afya yazidi kuimarika chini ya Serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita imekua na mwendelezo mzuri sana sekta ya afya, imejenga zahanati 786, na vituo vya afya 471, pia imekarabati na kuboresha huduma katika hospitali za almashauri 154, Bila kusahau mkoa wa kigoma ambao kimaendeleo ulisahaulika sana, nao umepata mashine ya CT-scan kwa mara...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Lengo kuu la Bima ya Afya kwa Wote inayopendekezwa ni kwa Serikali kukusanya mapato zaidi

    Tangu tupate uhuru, serikali ya Tanzania haijawahi kuwa na nia njema kwa wananchi wake; kisiasa, kiuchumi, wala kiafya. Kodi tunazolipa hazitumiki kuinua hali ya maisha ya wananchi bali kuneemesha viongozi na ndugu zao. Kwa mfano; serikali kununua gari la Tshs 400m kwa ajili ya mkuu wa wilaya...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Changamoto kubwa inayowakabili Watanzania kupata Huduma za Afya ni gharama

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa changamoto kubwa inayowakumba Watanzania katika kupata huduma za afya ni gharama kuwa juu, hivyo amesisitiza wadau kuwahamasisha kuwa na bima ya afya ambayo amedai kuwa itawawezesha kupata matibabu kwa urahisi. "Ukiwauliza Watanzania leo changamoto...
  18. JamiiForums Tanzania Faida ya kula karoti kwa afya ya mwili wako

    Asilimia kubwa tunapenda kutumia karoti katika kuunga katika mboga ya nyama na si kuila karoti kama karoti. wataalamu wanashauri ili uwe na afya bora unatakiwa ule karoti sita kwa wiki au moja kwa siku. Unaweza kula karoti ya kuchemshaa,juisi au mbichi Faida ya kula karoti ni kama zifuatazo i...
  19. JamiiForums Tanzania Fahamu chakula unachopaswa kula ukiwa na zaidi ya miaka 40

    Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora. Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia faida za lishe bora na kiwango cha chakula ambacho mtu anapaswa kula kwa ajili ya afya yake. Wataalamu...
  20. JamiiForums Tanzania Vitamini D: Faida zake kwa afya ya binadamu

    #VitaminD hupatikana kwenye Vyakula vichache sana vya asili kama Samaki, Maini, Mayai (hasa ya Kienyeji) na Jibini. Pia, Mwanga wa Jua huzalisha Vitamini D ya asili inayosaidia katika vitu vifuatavyo #Mifupa: Vitamini D huusaidia mwili kuongeza ufyonzaji na matumizi ya Madini ya #Calcium...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…