Wanabodi,
Leo October, 10 kila mwaka ni siku ya Afya ya Akili, kuna ule utafiti, ulioonyesha kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ana tatizo la Afya ya akili.
Matokeo ya utafiti huo, umerudiwa leo asubuhi kwenye TBC na daktari mmoja Mtaalamu wa Afya ya akili kwenye mahojiano ya kipindi cha...
Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Afya ya Akili kesho Jumapili Oktoba 10,2021, imeelezwa kuwa Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayohusiana na afya ya akili.
Hata hivyo, sababu mbalimbali zimetajwa kusababisha matatizo ya afya ya akili huku Jiji la Dar es Salaam...
KUELEKEA SIKU YA AFYA YA AKILI DUNIANI
POMBE NA AFYA YA AKILI
Kila ifikapo tarehe 10 ya mwezi wa 10 kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya afya ya akili duniani.
Nikiwa kama mdau wa Afya ya akili, naomba nichangie kwenye eneo moja kwanza la Pombe na Afya ya akili kwa sasa!
Kwa kifupi sana...
Shirika la UNICEF limesema Mtu 1 kati ya 5 wenye umri wa miaka 15 - 24 duniani husema ana Msongo wa Mawazo. Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka.
Imeelezwa, kila mwaka Vijana wapatao 45,800 hupoteza maisha kwa kujiua, sababu ambayo imetajwa kuwa ya 5 kwa vifo vya...
Utangulizi.
Nadhani sisi sote ni wafuasi wa imani fulani maishani.Either iwe ya kidini ama ya kifikra zaidi(scientific). Na hizi Beliefs system ndizo sana sana zinatuongoza maishani mwetu juu ya kile kipi tunafanya kila siku.
Mada.
Kwa Africa Uislamu-uliletwa na waarabu kipindi cha ukoloni na...
Hivi tumewahi kuchukua sekunde zetu chache kutafakari namna watu wanayaishi maisha ya hatari na ya kutisha siku hizi?
Namna watu wanavyouana kinyama kwa sababu ya mapenzi, mali za urithi, kutapeliana na ahadi za hapa na pale?
Tumewahi kufikiri namna malimwengu tunavyoyapa nafasi kubwa kutawala...
Afya ya akili ndio msingi wa maendeleo kwa kijana yeyote mwenye chachu yakuweza kufanikiwa au kufikia malengo fulani ambayo amejiwekea. Katika kipindi cha ujana vipo vingi ambavyo kama vijana tumekua tukivifanya wenda tukifahamu madhara ya tukifanyacho au pengine hatukuwa na ufahamu juu ya...
Tunaendelea na mada zetu za afya ya akili ambapo leo tutaangalia jinsi simu zinavyoathiri mfumo mzima wa akili na jinsi jamii inavyopeteza uwezo taratibu bila yenyewe kujijua na nini kinaweza kufanyika .
Tupo sasa katika ulimwengu wa kiteknolojia ambapo simu zimechukua nafasi ya vitu kama vile...
MAHUSIANO YANAVYOATHIRIWA NA MAGONJWA YA HAIBA (PERSONALITY DISORDERS AND RELATIONSHIP)
Habari zenu JamiiForums, hususani jukwaa hili la stories of change. Ni tumaini langu nyote ni wazima
Haiba: Ni urithi au vitu unavyozaliwa navyo na baadhi kutoka kwenye mazingira na kukufanya au kumfanya...
Dunia ya leo imesheheni mataifa mengi na jamii nyingi kutoka kila pande ambazo kila moja ya jamii hizo iko na desturi na utamaduni wake wa pekee. Tamaduni na desturi hizo zinaweza kuwa chanzo cha kuongezeka au kudorora kwa maendeleo katika jamii husika, mfano mzuri ni uzingatiaji wa afya ya...
Je, huwa unajisikia kuchoka? Wivu? Kama vile haufai au maisha yako sio bora kama ya wale unaowaangalia kwenye mitandao ya kijamii? Hauko peke yako. Hayo ni madhara machache kati ya mengi ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwenye afya ya akili. Mitandao ya kijamii tunaipenda, inatusaidia kupoteza...